Kwa hiyo tanzania imemkamata makamu mwenyekiti wa IDU, huu mtego kweli kweli. Yaani hawa jamaa ni noma. Wameacha tukaingia mazima sasa wanasema TZ imekamata makamu mwenyekiti wa IDU. Story imebadirika sasa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Wakuu,
Mama anapata usingizi vizuri kweli? Unatoka kutoa boko unapa taarifa ya kukuchapa kibao🥲😂😂 Yaani ni bandika bandua, kila ukijaribu kumkandamiza ndio kama unamuweka kwenye spotlight ili aonekane vizuri😂.
====
TAARIFA KWA UMMA
KUCHAGULIWA KWA MHE. TUNDU LISSU KUWA MAKAMU MWENYEKITI WA IDU
Muungano wa vyama vya kidemokrasia duniani (IDU) umehitimisha mfululizo wa mikutano yake Jijini Brussels, Ubelgiji kwa kufanya uchaguzi wa safu mpya ya uongozi.
Katika mkutano huo ambako chama kiliwakilishwa na Makamu Mwenyekiti wa Democracy Union of Africa (DUA) Kanda ya Afrika Mashariki, Mheshimiwa Deogratias Munishi, wajumbe walimchagua Waziri Mkuu mstaafu wa 22 wa Canada Mheshimiwa Stephen J Harper kuendelea kuwa Mwenyekiti kwa miaka mitatu ijayo.
Aidha, mkutano mkuu kwa kauli moja ulimchagua Mwenyekiti wa chama Taifa Mhe. Tundu Antiphas Lissu kuwa sehemu ya jopo la Makamu Wenyeviti wa umoja huu.
Rekodi ya msimamo usioyumba katika kupigania haki, utawala bora na demokrasia Tanzania licha ya mazingira hatarishi ikiwemo jaribio la kutolewa uhai kama ilivyoelezwa kwenye mkutano mkuu ndiyo iliyowapa imani wajumbe kutoka mataifa mbali mbali ulimwenguni kumchagua Mhe Lissu katika wadhifa huu.
Zaidi, wajumbe wa mkutano mkuu wa IDU walitanabaisha kuwa, kwa uzoefu wake katika mapambano ya kutafuta demokrasia ya kweli, haki na uhuru wa kweli, Mh Lissu atatoa mchango mkubwa ndani ya IDU hasa katika kumulika maeneo yanayokabiliwa na changamoto za kuporomoka au kudorora kwa demokrasia na kuibuka kwa tawala za kihimla husani bara la Afrika.
Imetolewa leo Jumamosi, 24 Mei 2025.
Brenda Rupia
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi
navyosikiaga sio mtu wa kawaida watu wanadai sijui mwanga wengine mchawi na wengine wanadai alikuwa mwizi wa kuku ikungi 🙂 @no reform no electionHvi Tundu lisu ni mtu wa kawaida kweli?
Llssu ni Mandela WA Tanganyika
Sasa issue inakuwa nzito zaidi pale mpinzani wako anaposema yeye anadai tu uwanja sawa wa kutafuta haki.Kwanza nis
Mimi ni ccm, lakini kusema ukweli sisi wenyewe ndio tumemupaisha lisu Kwa kumweka ndani, tungemuacha akandelea kufanya mikutano yake na kuzurula nchi nzima na sisi tungeanza mikutano yetu ya kampeni baadaye na ushawishi wa wasanii mikutano yetu ingekuwa nyomi na Kwa kazi za mama mambo yangekuwa poa , vile vile ktk duru za siasa kimataifa mambo yangekuwa poa kabisa. Mimi nafikiri washauri wa mama hawamshauri vizuri, mama ni kiongozi mzuri sana, Ila washauri mh!!!!!!
Unajua tunapewa kila mwaka over 10T.Wazungu hawawezi wakakupenda "ngozi nyeusi" burebure...tafakari
Hongera kwake Mh Tundu Lissu! 🙌🏽
Kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa IDU ni hatua kubwa sana! Heshima hii inaonesha jinsi dunia inavyotambua jitihada zake kwenye mapambano ya haki na demokrasia. Tunajivunia yeye! 🇹🇿🔥
#TeamHaki #Chadema #Demokrasia
Tunapewa na naniUnajua tunapewa kila mwaka over 10T.
Hilo unazungumziaje?
That man is spiritHvi Tundu lisu ni mtu wa kawaida kweli?
Mkuu, tuko huku twita tunangoja hizo pongezi.
Watu wamekata fuvuPembe huwa halijifichi.
Kama ipo, ipo tu.
Lissu ana nyota inayong'aa sana.
Wanapiga kwenye mshonoWakuu,
Mama anapata usingizi vizuri kweli? Unatoka kutoa boko unapa taarifa ya kukuchapa kibao🥲😂😂 Yaani ni bandika bandua, kila ukijaribu kumkandamiza ndio kama unamuweka kwenye spotlight ili aonekane vizuri😂.
====
TAARIFA KWA UMMA
KUCHAGULIWA KWA MHE. TUNDU LISSU KUWA MAKAMU MWENYEKITI WA IDU
Muungano wa vyama vya kidemokrasia duniani (IDU) umehitimisha mfululizo wa mikutano yake Jijini Brussels, Ubelgiji kwa kufanya uchaguzi wa safu mpya ya uongozi.
Katika mkutano huo ambako chama kiliwakilishwa na Makamu Mwenyekiti wa Democracy Union of Africa (DUA) Kanda ya Afrika Mashariki, Mheshimiwa Deogratias Munishi, wajumbe walimchagua Waziri Mkuu mstaafu wa 22 wa Canada Mheshimiwa Stephen J Harper kuendelea kuwa Mwenyekiti kwa miaka mitatu ijayo.
Aidha, mkutano mkuu kwa kauli moja ulimchagua Mwenyekiti wa chama Taifa Mhe. Tundu Antiphas Lissu kuwa sehemu ya jopo la Makamu Wenyeviti wa umoja huu.
Rekodi ya msimamo usioyumba katika kupigania haki, utawala bora na demokrasia Tanzania licha ya mazingira hatarishi ikiwemo jaribio la kutolewa uhai kama ilivyoelezwa kwenye mkutano mkuu ndiyo iliyowapa imani wajumbe kutoka mataifa mbali mbali ulimwenguni kumchagua Mhe Lissu katika wadhifa huu.
Zaidi, wajumbe wa mkutano mkuu wa IDU walitanabaisha kuwa, kwa uzoefu wake katika mapambano ya kutafuta demokrasia ya kweli, haki na uhuru wa kweli, Mh Lissu atatoa mchango mkubwa ndani ya IDU hasa katika kumulika maeneo yanayokabiliwa na changamoto za kuporomoka au kudorora kwa demokrasia na kuibuka kwa tawala za kihimla husani bara la Afrika.
Imetolewa leo Jumamosi, 24 Mei 2025.
Brenda Rupia
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi
Hizo ndio vyeo vinamfaa huyo kibaraka wenu sio kuwa Rais .
Harafu Duniani hakuna haki ,wewe Huwa unatenda Haki gani?
Atoe speech akiwa hukohuko kuwathibitishia wana jumuiya ya IDU kwamba anaweza kufanya kazi akiwa popoteWakuu,
Mama anapata usingizi vizuri kweli? Unatoka kutoa boko unapa taarifa ya kukuchapa kibao🥲😂😂 Yaani ni bandika bandua, kila ukijaribu kumkandamiza ndio kama unamuweka kwenye spotlight ili aonekane vizuri😂.
====
TAARIFA KWA UMMA
KUCHAGULIWA KWA MHE. TUNDU LISSU KUWA MAKAMU MWENYEKITI WA IDU
Muungano wa vyama vya kidemokrasia duniani (IDU) umehitimisha mfululizo wa mikutano yake Jijini Brussels, Ubelgiji kwa kufanya uchaguzi wa safu mpya ya uongozi.
Katika mkutano huo ambako chama kiliwakilishwa na Makamu Mwenyekiti wa Democracy Union of Africa (DUA) Kanda ya Afrika Mashariki, Mheshimiwa Deogratias Munishi, wajumbe walimchagua Waziri Mkuu mstaafu wa 22 wa Canada Mheshimiwa Stephen J Harper kuendelea kuwa Mwenyekiti kwa miaka mitatu ijayo.
Aidha, mkutano mkuu kwa kauli moja ulimchagua Mwenyekiti wa chama Taifa Mhe. Tundu Antiphas Lissu kuwa sehemu ya jopo la Makamu Wenyeviti wa umoja huu.
Rekodi ya msimamo usioyumba katika kupigania haki, utawala bora na demokrasia Tanzania licha ya mazingira hatarishi ikiwemo jaribio la kutolewa uhai kama ilivyoelezwa kwenye mkutano mkuu ndiyo iliyowapa imani wajumbe kutoka mataifa mbali mbali ulimwenguni kumchagua Mhe Lissu katika wadhifa huu.
Zaidi, wajumbe wa mkutano mkuu wa IDU walitanabaisha kuwa, kwa uzoefu wake katika mapambano ya kutafuta demokrasia ya kweli, haki na uhuru wa kweli, Mh Lissu atatoa mchango mkubwa ndani ya IDU hasa katika kumulika maeneo yanayokabiliwa na changamoto za kuporomoka au kudorora kwa demokrasia na kuibuka kwa tawala za kihimla husani bara la Afrika.
Imetolewa leo Jumamosi, 24 Mei 2025.
Brenda Rupia
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi
Hata mbowe was once huko
Hongera kwake
Wakuu,