PreGE2025 Lissu achaguliwa kuwa sehemu ya jopo la Makamu Wenyeviti IDU akiwa gerezani

PreGE2025 Lissu achaguliwa kuwa sehemu ya jopo la Makamu Wenyeviti IDU akiwa gerezani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Huwezi kufunika jua kwa ungo, tulisema toka mwanzo. Mungu kumnusuru na zile risasi na kumponyesha majeraha. Alikuwa bado ana kazi naye.

Mpaka hiyo kazi ikamilike, Lissu ni aina ya binadamu wachache, hutumwa na Mungu kwa kazi maalumu. Waache wahangaike naye, lazima atawashinda. Kuna siku historia itaandikwa kivingine kabisa.
Lissu akichukua madaraka hii zawadi pekee tunamuomba kurekebisha mifumo yote ya nchi na kuwafunga washenzi wote walioua wenzao itatosha kutufuta machozi na kuleta maendeleo.
 
Sema kitu bhana.

Wengi wanadai yasipotokea mabadiliko ya msingi katika uhai wa TAL, huenda yasiwepo tena kwa miongo mingi, mingi sana ijayo.

Je, unakubaliana na hoja hiyo?

Yale mawe tuliyoambiwa yataongea wakati viongozi wakweli na wazalendo wa Sidiemu wakinyamazishwa, sasa tunaona waziwazi yameanza kweli kuongea.

All in all, tulitakie taifa letu mchakato mzuri wa haki iletayo amani ya kweli.
Mkuu wapo washikaji ni bakabaka tunakaa nao sehemu wanamkubali sana Lisu ni vile tu jeshini huruhusiwi kuilonyesha hisia za wazi za kisiasa na kwa vile wakubwa wao wanakula milungula ya CCM ila ipo siku watu watakacha haya.
 
🤣🤣🤣
Hivi huko state House, Mkulu wa nchi anajisikiaje kwa taarifa kama hii ?
Tanzania inazidi kupaa kimataifa chini ya uongozi wa Mama na CCM yake:
Tulia Ackson Mwansasu-Rais wa mabunge IPU Duniani
Prof Dr Mohamed Janabi - Mkurugenzi WHO kanda ya Africa
Tundu Lissu - mmoja wa Makamu wenyeviti IDU duniani.
Samia mitano tena!
Kwako Lucas Mwashambwa mama anatosha hadi 200000.
 
Kwanza nis
Sema kitu bhana.

Wengi wanadai yasipotokea mabadiliko ya msingi katika uhai wa TAL, huenda yasiwepo tena kwa miongo mingi, mingi sana ijayo.

Je, unakubaliana na hoja hiyo?

Yale mawe tuliyoambiwa yataongea wakati viongozi wakweli na wazalendo wa Sidiemu wakinyamazishwa, sasa tunaona waziwazi yameanza kweli kuongea.

All in all, tulitakie taifa letu mchakato mzuri wa haki iletayo amani ya kweli.

Huyu Lissu hapana aisee!

Kwanza ni mtu wa kawaida, hana pesa kama ilivyo kwa viongozi wengi useme labda anahonga vikao ili achaguliwe, hapana

Ndani ya Lissu kuna nini?
Mimi ni ccm, lakini kusema ukweli sisi wenyewe ndio tumemupaisha lisu Kwa kumweka ndani, tungemuacha akandelea kufanya mikutano yake na kuzurula nchi nzima na sisi tungeanza mikutano yetu ya kampeni baadaye na ushawishi wa wasanii mikutano yetu ingekuwa nyomi na Kwa kazi za mama mambo yangekuwa poa , vile vile ktk duru za siasa kimataifa mambo yangekuwa poa kabisa. Mimi nafikiri washauri wa mama hawamshauri vizuri, mama ni kiongozi mzuri sana, Ila washauri mh!!!!!!
 
Dar es Salaam. CHADEMA national chairperson Freeman Mbowe has been elected as the co-chairperson of the Democrat Union of Africa (UDA), an alliance of centre-right political parties in Africa, during a conference that took place in Abidjan, Ivory Coast, from November 6 to November 9, 2022.

Mr Mbowe will jointly lead UDA with Louisa Atta- Agyemang, a Ghanaian politician with the country’s ruling party New Patriotic Party (NPP), who was also elected co-chaiperson during the alliance’s annual general meeting.

According to a statement by CHADEMA, the alliance decided to have two chairpersons so as to ensure effective management of its activities, which include “the propagation of the centre-right ideology across the African continent,” the party said.

By becoming UDA’s co-chairperson, Mr Mbowe automatically becomes one of the deputy chairpersons of the International Democrat Union (IDU), an international alliance of centre-right political parties.

Mmesahau kuwa Mbowe nae alikuwa Makamu Mwenyekiti wa IDU? Na ndani ya IDU kuna Priti Patel na Forza Italia?

Amandla...
 
Aisee.
Kwa hiyo Samia na Serikali yake ya CCM wamemweka gerezani kwa tuhuma za kisiasa Makamu Mwenyekiti wa IDU ambayo ndani yake kuna vyama vinavyoongoza Marekani, Uingereza, Ujerumani na Ubelgiji?

Kweli tumefika pazuri sana.
Hata mbowe was once huko

Hongera kwake
 
Back
Top Bottom