Lissu achangiwe ili anunue dawa. Amesisitiza kuishiwa dawa. Ndani ya masaa 24 zipatikane dawa

Lissu achangiwe ili anunue dawa. Amesisitiza kuishiwa dawa. Ndani ya masaa 24 zipatikane dawa

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Kila mpenda haki hapa Tanzania achangie angalau Tsh 500/=

Itakuwa nia aibu Mwenyekiti kukosa dawa wakati watu wanauwezo wa kuchanga mamilioni ya Pesa.
 
Kaishiwa hizo dawa gerezani. Anataka ndugu zake wampelekee.
Most likely hizo dawa ni kutoka Belgium kwa madaktari wake na sio fake hizo ambazo maskini wengi mnakunywa huko mitaani.
Zitanunuliwa tu.
 
Dawa za nini??

Ametaka mwenyewe kuozea jela

MUACHE APIGWE MITI TUH HUKO
THE BIG SHOW akipigwa miti!
Screenshot_20260616-171056~2.png
 
Back
Top Bottom