Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Dawa za nini??
Ametaka mwenyewe kuozea jela
MUACHE APIGWE MITI TUH HUKO
Zitanunuliwa tu.Kaishiwa hizo dawa gerezani. Anataka ndugu zake wampelekee.
Most likely hizo dawa ni kutoka Belgium kwa madaktari wake na sio fake hizo ambazo maskini wengi mnakunywa huko mitaani.
Zitanunuliwa na nani?Zitanunuliwa tu.
Sawa mamaDawa za nini??
Ametaka mwenyewe kuozea jela
MUACHE APIGWE MITI TUH HUKO
eti wachote kwenye sandalusi ila wajaTone tone ndio matumizi yake. Wachote kidogo katika sandalusi wakanunue. Kama ana bima itumike.
Wewe mammalia vipi ile ges ya mtwara itatoka??Dawa za nini??
Ametaka mwenyewe kuozea jela
MUACHE APIGWE MITI TUH HUKO