Tetesi: Lissu adaiwa kumponza Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji

Kutoka Balozi hadi Naibu Katibu Mkuu ofisi ya Makam wa Rais
 
Binadamu tunajisahau sana,cheo ni dhamana.Kashalamba miaka mitatu ya utawala bado mi2 tu aachie ngazi na yeye....Washapita wengi hapo kwenye kiti na yeye atapita na atakiacha atarudi mtaani na kuwa raia wa kawaida.
 
Mleta mada, usituletee taarifa ya habari za dizaini ya Mange Kimambi.....kukurupuka kuwahi kutuma ujumbe hata kama wa uwongo ili tu asifike mtandaoni. Si unaona alivyotangaza habari za Nape wiki iliyopita na kuumbuliwa? Kwa haibu yuko anajipiga vidole na kujiweka Instagram ili watu wamuonee huruma.
 
Taarifa za mange huwa zipo sahihi shida akivujisha basi huwa zinakuwa muted kwa wale wasakwa.
 
Wasiojulikana Katika Ubora
 
Umekosea sana..huku kwetu siasa ni uadui mkubwa kabisa
 
Ana roho mbaya sana. Sasa mtu kumjulia hali mgonjwa imekua nongwa
 
Mkubwa kiaje, kwa vipimo gani, mshahara au.
Leta source to back up your claim.
Balozi wa marekani hapa nchini kwetu ni sawa na msemaji wa ikulu?
 
Sio tetesi hizo ni habari kamili kwani balozi wa India kafanya nini ikiwa kashindwa kuishawishi india wanunue mbaazi?
Lakini hebu tulifikirie jambo hili la mbaazi kiundani zaidi, mbona katika masoko ya Dar na kwengineko nchini bei ya mbaazi ipo juu ya shilingi 1500?! Kwanini wakulima wa huko kusini wasiuzie katika soko la ndani? Au kuna nini hasa kinachoendelea?
 

Mliambiwa tangu mwanzo mnapashwa kuishi kama mashetani. Au huelewi ushetani ni nini?
 
Demotion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…