Ni kushushwa cheoHilo la sijui Marekani na Angola limetoka wapi Mkuu, lakini mada uliyoleta inamzungumzia mtoto wa Sokoine ambaye alikuwa balozi wa Tanzania umoja wa Ulaya ila kupitia mabadiliko madogo yaliyofanyika juzi akahamishiwa ikulu kuwa naibu katibu mkuu, swali langu ni kutaka kujua huko ni kupandishwa cheo ama kushushwa cheo? Naomba unijibu kama ikikupendeza
Jiwe halina mamlaka ya kumtiua Makamu wa Rais. Ila ukitaka kujua adhabu atakayopata yule mama... omba uzima na usubirie uone nani atakuwa mgombea mwenza kwenye uchaguzi 2020.Kama kweli katolewa Ubalozini nadhani hiyo sio sababu, serikali ingelikuwa na shida hata Makamu wa Rais, Mh. Samia Suluhu Hassani asingelikwenda kumuona Lissu alipokuwa Hospitalini Nairobi na hata kutoa salamu za Rais, nadhani hizi ni hisia negative ambazo wengi wetu tuzijenga kwenye fikra zetu.
Ni mtizamo wangu tu
Hivi spika wa bunge ambae ni kiongozi wa lissu amewahi kukanyaga hospatali kumjulia hali mtu wake?Kama kweli katolewa Ubalozini nadhani hiyo sio sababu, serikali ingelikuwa na shida hata Makamu wa Rais, Mh. Samia Suluhu Hassani asingelikwenda kumuona Lissu alipokuwa Hospitalini Nairobi na hata kutoa salamu za Rais, nadhani hizi ni hisia negative ambazo wengi wetu tuzijenga kwenye fikra zetu.
Ni mtizamo wangu tu
Jiwe halina mamlaka ya kumtiua Makamu wa Rais. Ila ukitaka kujua adhabu atakayopata yule mama... omba uzima na usubirie uone nani atakuwa mgombea mwenza kwenye uchaguzi 2020.
Kumbe huna subira? We kazi yako ni kusubiria 2020... lakini naona tayari ushaweka conclusion kuwa ni "hisia". Nakusihi uwe na subira ushuhudie kitakachotokea. Usisahau mtoto wa jiwe atapigiwa chapuo awe mbunge wa Kawe. Na hapo ndipo Kassim ataungana na wa kusini wenzio kupigania wakulima wa korosho.Naomba Mungu anijalie uzima wa afya ya mwili na roho, niwepo hiyo 2020 na pia tuweze kukumbuka hili ulilolisema.
Kuwa na hisia negative katika kitu/jambo ama mtu sio mbaya, lakini sio mara zote huwa ni sahihi.
Mimi huwa nashangazwa huwa nasikia elimu itolewe kwetu sisi itufunze kujiajiri lakini wao watoto wa hao viongozi wanatafutiwa ajira serekalini wakati watoto wao ingekuwa rahisi sana kujiajiri .na tunaambiwa ajira sasa hivi hakuna inamaana watoto wao wanasoma elimu yakuajiriwa nasisi ndio tupangiwe elimu ya kujiajiri nikweli chama hicho nichawachini kama sisi wa hali yachiniPole yake Mtoto wa Sokoine
Nikumbuka wabunge wa ccm walioenda kumuona lema gerezani,walitambuliwa kama wasaliti na JPM!Hata hili lawezekanaHizo ni tetesi...weka nyama kwa kuniambia mafanikio na madhaifu ya balozi huyo hapo belgium
Kikwenu wapi?Kwa tafsiri za kikwetu kutolewa Ulaya kurudishwa Bongo ni demotion tosha, haijalishi umerudi kuwa Waziri.
hahahahaha tangia lini balozi akawa mkubwa kuzidi naibu katibu mkuu ikulu labda kama unaongelea ukubwa wa kukaa nje ya nchi hahahaha....unajua mshahara wa balozi? hahaha bawacha bhana mtu kapandishwa cheo ninyi mnafikiri ameshushwaDemotion
Sasa mbona cheo kapandishwa? au unafikiri kuwa nje ya nchi na kurudishwa nchini ni kushushwa cheo? Balozi anaweza kuwa mkubwa zaidi ya Naibu katibu mkuu ikulu? hahahahaModerator hii habari si tetesi , ni habari ya kweli , kikubwa kilichomponza mtoto wa Sokoine ni kushindwa kutii maagizo ya kuwachomeka hospitalini watu wabaya waliotumwa kwenda ubelgiji kummalizia Lissu
Na naibu mkurugenzi na katibu tawala hapo vipi lumumba fc,nambiehahahahaha tangia lini balozi akawa mkubwa kuzidi naibu katibu mkuu ikulu labda kama unaongelea ukubwa wa kukaa nje ya nchi hahahaha....unajua mshahara wa balozi? hahaha bawacha bhana mtu kapandishwa cheo ninyi mnafikiri ameshushwa
mkuu jibu la karne hiliSio tetesi hizo ni habari kamili kwani balozi wa India kafanya nini ikiwa kashindwa kuishawishi india wanunue mbaazi?
Kabisa mkuu hii habari ni ya kweli kabisa haina chembe ya tetesi.Moderator hii habari si tetesi , ni habari ya kweli , kikubwa kilichomponza mtoto wa Sokoine ni kushindwa kutii maagizo ya kuwachomeka hospitalini watu wabaya waliotumwa kwenda ubelgiji kummalizia Lissu
Cheo cha unaibu katibu mkuu sidhani hata katika katiba yetu kama kipo,kwa kipindi hiki ni demotion tosha refer issue ya Thomas Kashilila toka katibu wa bunge na kuwa naibu katibu mkuu wizara ya Kilimo.Pamoja na kwamba anayejua ukweli wa huo uamuzi wa kumrudisha nchini ni Mh.rais, tungejiuliza kwanza hivi kutoka kuwa balozi mpaka kuwa naibu katibu mkuu ikulu ni Demotion (kushushwa cheo) au promotion (kupandishwa cheo) both interms of opportunity and exposure, labda kuanzia hapo ndo tuanze kuunganisha dot.