Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
- Thread starter
- #21
Sasa kama Lissu katembelewa na Abdul unadhani akina Mdee walitembelewa na nani?
Siasa bongo imekuwa biashara.
Siasa bongo imekuwa biashara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akiongea na wanancho kupitia mtandao wa Maria Sarungi Lissu anaeleza namna alivyodai haki zake za utumishi ubungeni akapigwa danadana. Akaeleza namna alivyofuatwa na Abdul mtoto wa Rais ili "kufanya urafiki", na akaeleza kuwa ukidai haki yako kwa kuiita ni haki hawakupi ila wao wanataka uiombe haki yako kama hisani. Unaweza kusikiliza nazungumzo yake mafupi hapa.
View: https://youtu.be/MYdMZpRhASw?si=QsS5DXxW77GtTmmc
Sawa, vipi utaleta na yaliyojiri kule Njombe kulikovunjika chaguzi mbili?!!! Tutashukuru sana.Kuelekea 2025 Tutaendelea kuanika siri nyingi za aibu ili watu wapime wenyewe
Yako ya Aibu zaidi yanakuja
Kwenye mabwege, wewe unashika namba moja haki ya Mungu. Hebu mharakishieni michango hiyo anunue gari mabwege nyie. Mama Samia, The Mother of Modern Tanzania, ahangaike na huyo chiba wa nini?!!!!!!! Yaani ana kitu gani cha kumsaidia yeye?!!!! Nyie kumbe ndo maana mnaitwa manyumbu ee?Abdul katumwa na mama yake ili amhonge tundulisu?duh!kumbe huyu mama ni mshamba hivi?
Hiyo haki ambayo hapewi Lissu inatokana na katiba ipi?Hii nchi inahitaji katiba mpya haraka kuliko nilivyofikiri.
Ukisikiliza vizuri hiyo clip ni kwamba haki imekuwa hisani.
Akiongea na wanancho kupitia mtandao wa Maria Sarungi Lissu anaeleza namna alivyodai haki zake za utumishi ubungeni akapigwa danadana. Akaeleza namna alivyofuatwa na Abdul mtoto wa Rais ili "kufanya urafiki", na akaeleza kuwa ukidai haki yako kwa kuiita ni haki hawakupi ila wao wanataka uiombe haki yako kama hisani. Unaweza kusikiliza nazungumzo yake mafupi hapa.
View: https://youtu.be/MYdMZpRhASw?si=QsS5DXxW77GtTmmc
Crocodiletooth alitaka awepo wakati Lissu alipotembelewa na mtoto wa rais ndio aamini 🤣🤣Kwa mfano ungetaka nini ili kama proof
Kitu ambacho watanzania wakijakuamka na uongo wa CCM watakikataa hiki chama. Watanzania hawajui kuwa wako so manipulated na CCM kufikia hatua wanahadaika na nguo, vi elf 5 + chakula wakati wa kampeni na kuwachagua bila kupima uwezo na malengo makuu ya hiki chamaCCM huwa wanaamini wao ndio wamiliki halali wa Tanzania...
Mama Abdul na Abdul wanajifanya marafiki wa cdm wanawasaidia hela ya uchaguzi😄
Siasa za Bongo bhana
Mropokaji anaweza ropoka lolote analoona linaweza kum boost, elewa Lissu ni mlevi wa sifa na konyagi elewa hili.Crocodiletooth alitaka awepo wakati Lissu alipotembelewa na mtoto wa rais ndio aamini 🤣🤣
Watanzania ni wamoja, tofauti itikadi na mitazamo katika kutafuta uongozi ili kuendeleza wananchi na taifa kwa ujumla.Kumbe Lissu wanajuana na Familia ya Rais vizuri tu.
Hahaha wacha nikuache na uwelewa wako juu ya TAL, sijui huo uwelewa wako umepandikizwa na CCM au kwa elimu uliyonayo na uchunguzi wako juu yake. Naomba usiwe wa elimu yako maana wengi humu watakudharau bro.😀Mropokaji anaweza ropoka lolote analoona linaweza kum boost, elewa Lissu ni mlevi wa sifa na konyagi elewa hili.