Pre GE2025 Lissu aeleza alivyotembelewa na Abdul mtoto wa Rais

Pre GE2025 Lissu aeleza alivyotembelewa na Abdul mtoto wa Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
ABDUL: lissu naomba tuwe marafiki.
LISSU: kamwambie kwanza mamako anilipe hela zangu.
ABDUL: mama hajapata documents.
LISSU: hizi hapa mpelekee.

Nimecheka sana 😄😄😄
Lissu aishi sana, atasomwa sana na vizazi vijavyo.
 
Back
Top Bottom