CCM MKAMBARANI JF-Expert Member Joined Mar 15, 2017 Posts 2,031 Reaction score 1,514 May 25, 2024 #41 Erythrocyte said: Kuelekea 2025 Tutaendelea kuanika siri nyingi za aibu ili watu wapime wenyewe Yako ya Aibu zaidi yanakuja Click to expand... Na wizi wa join the chain muuanike makamanda,piiipoooz
Erythrocyte said: Kuelekea 2025 Tutaendelea kuanika siri nyingi za aibu ili watu wapime wenyewe Yako ya Aibu zaidi yanakuja Click to expand... Na wizi wa join the chain muuanike makamanda,piiipoooz
Sangizi JF-Expert Member Joined Nov 9, 2015 Posts 1,942 Reaction score 4,230 May 25, 2024 #42 Rabbon said: Hivi Abdul ana Elimu Gani? Na ana Cheo Gani Serikali? Click to expand... Mtoto wa mama ndio cheo chake
Rabbon said: Hivi Abdul ana Elimu Gani? Na ana Cheo Gani Serikali? Click to expand... Mtoto wa mama ndio cheo chake
Sangizi JF-Expert Member Joined Nov 9, 2015 Posts 1,942 Reaction score 4,230 May 25, 2024 #43 MamaSamia2025 said: ABDUL: lissu naomba tuwe marafiki. LISSU: kamwambie kwanza mamako anilipe hela zangu. ABDUL: mama hajapata documents. LISSU: hizi hapa mpelekee. Nimecheka sana πππ Click to expand... Lissu aishi sana, atasomwa sana na vizazi vijavyo.
MamaSamia2025 said: ABDUL: lissu naomba tuwe marafiki. LISSU: kamwambie kwanza mamako anilipe hela zangu. ABDUL: mama hajapata documents. LISSU: hizi hapa mpelekee. Nimecheka sana πππ Click to expand... Lissu aishi sana, atasomwa sana na vizazi vijavyo.
Sangizi JF-Expert Member Joined Nov 9, 2015 Posts 1,942 Reaction score 4,230 May 25, 2024 #44 Crocodiletooth said: Mropokaji anaweza ropoka lolote analoona linaweza kum boost, elewa Lissu ni mlevi wa sifa na konyagi elewa hili. Click to expand... Mamba hana meno dhaifu kiasi hiki.
Crocodiletooth said: Mropokaji anaweza ropoka lolote analoona linaweza kum boost, elewa Lissu ni mlevi wa sifa na konyagi elewa hili. Click to expand... Mamba hana meno dhaifu kiasi hiki.
H HAKI KWA WOTE JF-Expert Member Joined Nov 30, 2022 Posts 1,108 Reaction score 1,132 May 25, 2024 #45 Tatizo lako huwa huelewi kuwa cdm ni ccm na lisu ni magogoni