Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

Kwanini watu wengi wanamwamini?
 
Hivi ni nani aliyeanza kutuhabarisha kuumwa kwa jiwe na ni nani alietueleza jiwe ni mzima na ana chapa kazi?
 
Mbona wewe hujashitakiwa kwa kwenda Dodoma na Bashite kwenda kumpiga risasi?
 
Polisiccm sasa eti wanatumia Sheria za Rwanda kuonea watu hawataki tena kutumia Sheria za Nchi IGP kasema ataiga vya Rwanda ili kuwatishia wananchi wawaogope Polisiccm, hilo nalo mnataka Tundu lisu akae kimya?
 
Kwanini usimfungulie wewe akushikishe ukuta..Unataka amfungulie nani
 
We kweli akili huna kutekwa alikokuwa anamaanisha lissu sio kutekwa unakokujua wewe.Rais anawezaje kutekwa? Una akili tu za kulia mahindi mashambani mwa watu ukiwa na viumbe wenzako mnaorukaga kutoka mti mmoja kwenda mwingine
 
Ww ni kima+ ngedere
 
Hii ni dalili kwamba tunaongozwa na watu wenye akili ndogo sana, yaani WAJINGA ninyi mnashindwaje kuelewa kutekwa anakokuzungumzia Mheshimiwa Lissu?
 
Mkimfungulia mashitaka, mhakikishe anajiwakilisha yeye binafsi, tufaidi jinsi watu watakavyogaragazwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…