Uchaguzi 2020 Lissu aifuta CCM Mtwara, Ajenda ya korosho yawa kaa la moto kwa CCM mkoani humo

Zitto angeungana na Lissu kumuongezea nguvu kwa uwezo wa kujenga hoja wa Zitto hasa kwenye kunadi ilani tungepata landslide victory kwenye kanda ya kusini na victoria, nyasa, Serengeti, kaskazini na kati,
Tatizo Kuna sheria kandamizi zimetungwa na CCM ili kufanya vyama vya upinzani visiungane. Muziki wa UKAWA uliwatisha Sana 2015.

Tundu Lisu alilifafanua vizuri Sana siku ya j3 saa 3 usiku ITV kwenye kipindi cha dakika 45.
 
Tatizo Kuna sheria kandamizi zimetungwa na CCM ili kufanya vyama vya upinzani visiungane. Muziki wa UKAWA uliwatisha Sana 2015.

Tundu Lisu alilifafanua vizuri Sana siku ya j3 saa 3 usiku ITV kwenye kipindi cha dakika 45.
Kwani ACT wangeamua kutosimamisha mgombea urais au angejitoa baada ya Lissu kupitishwa si ingekuwa sawa tu ?
 
15% Lissu
 
Kwani ACT wangeamua kutosimamisha mgombea urais si ingekuwa sawa tu ?
Ili kuungana inatakiwa msajili ajulishwe miezi kitatu kabla.ya tarehe ya mchakato wa uchukuaji wa fomu.
Na kipindi hiki kulikuwa na hofu ya Lisu au Membe kutopewa fomu ya kugombea. Ikashindikana.

Na mgombea akijitoa ni marufuku kutamka hadharani kuwa chama x kitampa mgobea wa chama c kura za urais.

Unaiona mitego hiyo
 
Mlituaminisha kuwa Lissu ,ameifuta rasimi ,ccm mwanza.Leo mapokezi ya Magufuli mwanza kuanzia barabarani.Hakifika mtwara ,pia atapokewa kama mfalme.Lissu bado sana
When you are the incumbent seeking re-election you don’t run on new promises, but run on your past record” Politics 121.

Meko has nothing to present so far.
 
Namwonea huruma sana huyu jamaa hivi Story zinasaidia nini kwenye Kampeni yaani anaudhii sanaa
 
Hahaha sawa nimekuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…