Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Kwani campaign nini kama si kusema madhaifu ya mshindani wako ?!Namwonea huruma sana huyu jamaa hivi Story zinasaidia nini kwenye Kampeni yaani anaudhii sanaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani campaign nini kama si kusema madhaifu ya mshindani wako ?!Namwonea huruma sana huyu jamaa hivi Story zinasaidia nini kwenye Kampeni yaani anaudhii sanaa
Magufuli pekee yake ni wasanii wa east afrika kama sio afrika nzima!!Mapokezi ya watoto na watu Kushangaa wasanii??!
Kumbuka kuwa mojawapo ya miradi mikubwa ambayo Jiwe bin Mwamba ameimwagia pesa za walipakodi kwa kipindi cha miaka mitano ni kuulia mbali upinzani!! Kwa akili yake ya kijiwe alifikiri upinzani ni wabunge na madiwani!! Haishangazi yeye kupata mapokezi makubwa po pote atakapokwenda - kwanza yeye peke yake (akisaidiwa na Bushiri na Polepole) amefanya siasa kwa kipindi hicho chote na pili wanawalazimisha wafanyakazi wa serikali washiriki mikutano kwa kuwatishia wasiposhiriki watapoteza ajira, bila kusahau na bongofleva anayotembea nayo. Cha kushangaza, ni Lissu na CHADEMA ambao wamenyayaswa kwa kadiri ya uwezo wa serikali kwa kipindi hicho hicho na bado wakaweza kukusanya support hiyo unayoiona. To cut the long story short, ni kwamba mnachokiona Watanzania wengi hawafurahishwi na utawala wa kibabe wa jiwe bin mwamba. Aache ubabe, aache ukatili, aache ujima! Watz ni watu wema sana, hawana shida hata kutawaliwa na Mrundi au Mnyarwanda alimradi usiwafanyie ukatili.Mlituaminisha kuwa Lissu ,ameifuta rasimi ,ccm mwanza.Leo mapokezi ya Magufuli mwanza kuanzia barabarani.Hakifika mtwara ,pia atapokewa kama mfalme.Lissu bado sana
Kuwa na staha kidogo...au ulishiriki mpango ule!Risasi za matakoni na mapajani hata NYUMBU hafi.
Mnajifariji watoto?Mapokezi ya watoto na watu Kushangaa wasanii??!
Ooh Kumbe Sikujua Kumbe ndio BAVICHA mnavyotafsiri KampeniKwani campaign nini kama si kusema madhaifu ya mshindani wako ?!
Mlituaminisha kuwa Lissu ,ameifuta rasimi ,ccm mwanza.Leo mapokezi ya Magufuli mwanza kuanzia barabarani.Hakifika mtwara ,pia atapokewa kama mfalme.Lissu bado sana
Wasio wateule hufa hata kwa risasi ya kidole au kujikwaa kwenye kisiki. Lkn Lisu risasi 16 mwilini yuko hai na John anapata presha mpk anatishia wapiga kura.Risasi za matakoni na mapajani hata NYUMBU hafi.
Mwambie huyo mkuu. Ikibidi naye aunge mkono sera ya Uhuru, haki na Maendeleo.Sera sera ya Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu ndiyo gumzo litakalopelekea watu kupiga kura kwa upinzani kwa kura nyingi.
CCM Mpya ambayo inategemea Fiesta-kampeni, Matamasha-kampeni kutokana ya kuwa haina sera wala kauli mbiu ya kuwafanya watu wawe na gumzo la kisiasa wakiondoka uwanjani.
Ina maana waluoenda ktk matamasha / fiesta watakumbuka wasanii waliowaona zaidi ya mgombea wa urais wa CCM Mpya pia wabunge na madiwani wote wa CCM Mpya wamefunikwa na wasanii walioalikwa na Polepole.
Huyo hakutakiwa kufa ili alipie usaliti wake kwa maumivu makubwa.Wasio wateule hufa hata kwa risasi ya kidole au kujikwaa kwenye kisiki. Lkn Lisu risasi 16 mwilini yuko hai na John anapata presha mpk anatishia wapiga kura.
Wapiga kura ni wengi sana wa mwanza, anaglia igoma tu leo wanazidi wa lisu huko mtwala, na wanazidi aliopata alipokuwa mwanza na mkutano, bado wa kisesa na nyakato na barabarani walio kuwa wamesimama mpaka mjini.Wasio wateule hufa hata kwa risasi ya kidole au kujikwaa kwenye kisiki. Lkn Lisu risasi 16 mwilini yuko hai na John anapata presha mpk anatishia wapiga kura.
Kabisa kabisaLissu anawapa makavu live
Hii ndiyo inayotakiwa!
Jiwe siyo wa kumstahi, ni kumpa makavu mpaka atoke kwenye reli
Mkuu una vinasaba vya watanzania kweli?Huyo hakutakiwa kufa ili alipie usaliti wake kwa maumivu makubwa.
Ataishi maisha yake yaliyobaki kwa shida sana. Baada ya uchaguzi huu atakuwa sawa na wale mbuzi wa mjini wanaozurura tu.
Akiongea na wananchi wa Mtwara waliokusanyika maelfu kwa maelfu kumsikiliza, Lissu amekwenda huko na ujumbe dhidi ya unyanyasaji waliofanyiwa wananchi wa huko kwenye ishu ya gesi na korosho.
Lissu amemsiliba vilivyo rais Magufuli kutokana na namna alivyolishughuikia siuala hilo kwa namna ambayo mkulima wa korosho alinyanyasia sana, huku kukiwa na uchukuaji wa korosho kinguvu hali iliyopelekea watu kuwa na maisha magumu, ya umasikini hata kufikia hatua ya kukata tamaa kuendelea na kilimo.
Kissi amelinganisha hatua za serikali za CCM kupeleka jeshi kwa watu wa kusini kama kupelekewa vita na serikali yao wenyewe!
Pia Lissu akaelezea namna serikali ya CHADEMA itakavyokuwa tofauti kwenye kuendesha nchi, ambapo serikali yao italinda Uhuru, Haki na kuleta maendeleo
Kwa taarifa zaidi mtazame hapa Chini akiwa huko Mtwara
Hakunaga kama Lissu Tanzania hii tokahistoria ya ukanda huu ianze kuandikwa miaka ya 600 B.K.Anawapiga spana mwanzo mwisho!
Nilitegemea hoja kujibiwa na hoja kumbe wewe ni walewale wa kulalamika na kulaumu.CCM hawana ubavu wa kufuta risasi na makombora ya Lissu. Kwa nini? Sababu ni ukweli wanaoishi nao watanzania kila siku. Maisha magumu ni wimbo wa taifa zima. Toka ameanza kampeni, Magufuli na CCM yake hawajathubutu kujielekeza kwenye huu upungufu mkubwa wa miakia 5 iliyopita. Wamekazana kwenye nyimbo zilezile za barabara zaidi, ndege zaidi.
Mbaya zaidi, kitendo cha kuzuia mikutano ya wapinzani miaka 5, imemnyima Magu na CCM yake uzoefu wa kukabiliana na makombora ya wapinzani, na wakati huohuo, wananchi wamechoka nyimbo za SGR, Stigla, barabara, nk. Wana hamu ya kuwasikia wapinzani. Nyomi za mikutano ya CCM wala hazitusumbui maana sio OG.
Magu midomo imekauka. Hana lile conf la kawaida. Mwanzo alitumia busara kujikita kwenye sera zake. Lakini sasa kajitumbukiza kwenye mtego wa kumjibu Lissu. Hilo ni kosa la kimkakati. Big mistake. Na atajibu mangapi?
Kisago cha mbwa mwizi anachopata hadi huruma yaani.