Uchaguzi 2020 Lissu aifuta CCM Mtwara, Ajenda ya korosho yawa kaa la moto kwa CCM mkoani humo

Uchaguzi 2020 Lissu aifuta CCM Mtwara, Ajenda ya korosho yawa kaa la moto kwa CCM mkoani humo

Mlituaminisha kuwa Lissu ,ameifuta rasimi ,ccm mwanza.Leo mapokezi ya Magufuli mwanza kuanzia barabarani.Hakifika mtwara ,pia atapokewa kama mfalme.Lissu bado sana
Kumbuka kuwa mojawapo ya miradi mikubwa ambayo Jiwe bin Mwamba ameimwagia pesa za walipakodi kwa kipindi cha miaka mitano ni kuulia mbali upinzani!! Kwa akili yake ya kijiwe alifikiri upinzani ni wabunge na madiwani!! Haishangazi yeye kupata mapokezi makubwa po pote atakapokwenda - kwanza yeye peke yake (akisaidiwa na Bushiri na Polepole) amefanya siasa kwa kipindi hicho chote na pili wanawalazimisha wafanyakazi wa serikali washiriki mikutano kwa kuwatishia wasiposhiriki watapoteza ajira, bila kusahau na bongofleva anayotembea nayo. Cha kushangaza, ni Lissu na CHADEMA ambao wamenyayaswa kwa kadiri ya uwezo wa serikali kwa kipindi hicho hicho na bado wakaweza kukusanya support hiyo unayoiona. To cut the long story short, ni kwamba mnachokiona Watanzania wengi hawafurahishwi na utawala wa kibabe wa jiwe bin mwamba. Aache ubabe, aache ukatili, aache ujima! Watz ni watu wema sana, hawana shida hata kutawaliwa na Mrundi au Mnyarwanda alimradi usiwafanyie ukatili.
 
06 September 2020
Mtwara, Tanzania

Tundu Lissu : Serikali ya CHADEMA kuwapa Uhuru Wakulima kufaidi jasho lao

Tundu Lissu azungumzia ilani ya Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu ktk mambo mengi ikiwemo kilimo na hususan Korosho huko kusini ambapo wakulima wanazongwa zongwa na serikali. CHADEMA inataka Uhuru kwa wakulima kunufaika na jasho lao kupitia sera ya Uhuru na Kazi kwa Maendeleo ya Watu

Mapokezi ya watoto na watu Kushangaa wasanii??!
Mnajifariji watoto?
Subilini siku y uchaguzi ndo mtajua watu walikuwa wanaenda kuangalia vyuma mwilini kwa lisu n kusikia mabango yake.
Lakini suo kumpa kura,
 
Mlituaminisha kuwa Lissu ,ameifuta rasimi ,ccm mwanza.Leo mapokezi ya Magufuli mwanza kuanzia barabarani.Hakifika mtwara ,pia atapokewa kama mfalme.Lissu bado sana

Sera sera ya Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu ndiyo gumzo litakalopelekea watu kupiga kura kwa upinzani kwa kura nyingi.

CCM Mpya ambayo inategemea Fiesta-kampeni, Matamasha-kampeni kutokana ya kuwa haina sera wala kauli mbiu ya kuwafanya watu wawe na gumzo la kisiasa wakiondoka uwanjani.

Ina maana waluoenda ktk matamasha / fiesta watakumbuka wasanii waliowaona zaidi ya mgombea wa urais wa CCM Mpya pia wabunge na madiwani wote wa CCM Mpya wamefunikwa na wasanii walioalikwa na Polepole.
 
Mwambie huyo mkuu. Ikibidi naye aunge mkono sera ya Uhuru, haki na Maendeleo.
 
Wasio wateule hufa hata kwa risasi ya kidole au kujikwaa kwenye kisiki. Lkn Lisu risasi 16 mwilini yuko hai na John anapata presha mpk anatishia wapiga kura.
Huyo hakutakiwa kufa ili alipie usaliti wake kwa maumivu makubwa.
Ataishi maisha yake yaliyobaki kwa shida sana. Baada ya uchaguzi huu atakuwa sawa na wale mbuzi wa mjini wanaozurura tu.
 
Wasio wateule hufa hata kwa risasi ya kidole au kujikwaa kwenye kisiki. Lkn Lisu risasi 16 mwilini yuko hai na John anapata presha mpk anatishia wapiga kura.
Wapiga kura ni wengi sana wa mwanza, anaglia igoma tu leo wanazidi wa lisu huko mtwala, na wanazidi aliopata alipokuwa mwanza na mkutano, bado wa kisesa na nyakato na barabarani walio kuwa wamesimama mpaka mjini.
Siku akiingia mtwara mbwembe za lisu zina futwa zote na bado majaliwa na mama Samia hawajaenda huko.
 
Huyo hakutakiwa kufa ili alipie usaliti wake kwa maumivu makubwa.
Ataishi maisha yake yaliyobaki kwa shida sana. Baada ya uchaguzi huu atakuwa sawa na wale mbuzi wa mjini wanaozurura tu.
Mkuu una vinasaba vya watanzania kweli?
 
Akiongea na wananchi wa Mtwara waliokusanyika maelfu kwa maelfu kumsikiliza, Lissu amekwenda huko na ujumbe dhidi ya unyanyasaji waliofanyiwa wananchi wa huko kwenye ishu ya gesi na korosho.
Lissu amemsiliba vilivyo rais Magufuli kutokana na namna alivyolishughuikia siuala hilo kwa namna ambayo mkulima wa korosho alinyanyasia sana, huku kukiwa na uchukuaji wa korosho kinguvu hali iliyopelekea watu kuwa na maisha magumu, ya umasikini hata kufikia hatua ya kukata tamaa kuendelea na kilimo.
Kissi amelinganisha hatua za serikali za CCM kupeleka jeshi kwa watu wa kusini kama kupelekewa vita na serikali yao wenyewe!
Pia Lissu akaelezea namna serikali ya CHADEMA itakavyokuwa tofauti kwenye kuendesha nchi, ambapo serikali yao italinda Uhuru, Haki na kuleta maendeleo

Kwa taarifa zaidi mtazame hapa Chini akiwa huko Mtwara

Viongozi wa CHADEMA ni wanasiasa UCHWARA. Ni wanasiasa uchwara kwa kuwa nguvu zote wameziweka kwa Lissu wakiamini atakuwa Rais kama walivyomtegemea Lowassa. Tofauti na Lowassa aliyefanikisha CHADEMA kupata wabunge na madiwani wengi, Lissu atakosa Urais na huenda akapata kura chache kabisa ambazo mgombea wao hajawahi kupata.

Karibu viongozi wote wa Kamati kuu ya CHADEMA wanaandama na Lissu na wanapopanda jukwaani kuongea ni kulalamika, vitisho na ghadhabu. Kwa upande wa mgombea yeye ni kumshitaki Magufuli mahakama ya wapiga kura akiamini kufanya hivyo atapewa hukumu. Sera yake ya Haki, Uhuru na Maendeleo anashindwa kuielezea anabaki kung'atang'ata meno na kufoka.

Wewe Missile of the Nation umejiuliza chama chako kimeweka mikakati gani wa kupata wabunge na madiwani? Je, wanayo hiyo Ilani? Na kama wanayo, wanajua maana halisi ya hiyo Sera (maendeleo ya watu)? Je, watakapotoa ahadi za maendeleo ya vitu, wataeleweka na wananchi wenye shida ya maji safi na salama, vituo vya afya, barabara imara, nk?

Naamini mnajitekenya na kucheka wenyewe. Hivi hamjastuka pale ambapo CCM imegawanya viongozi wake wakuu (Rais, Makamu na Waziri Mkuu) kufanya kampeni wakipita na kufuta kauli za Lissu, mgombea wenu! Hamjiulizi kwa nini CCM ina vitabu viwili vya Ilani, wakati Ilani ya CHADEMA haijulikani iko wapi na ina nini zaidi ya mkanganyiko wa kuielezea kwenye kampeni na Lissu, mgombea Urais.

Mnahitaji mtaalamu wa mikakati ya ushindi (Campaign Strategist). Kutegemea nyomi kuwa ndio ushahidi wa ushindi ni utoto kisiasa. Narudia tena na tena kuwa mnafikiri kama watoto.

Kama nyomi ya watu hata hii ni nyomi
 
CCM hawana ubavu wa kufuta risasi na makombora ya Lissu. Kwa nini? Sababu ni ukweli wanaoishi nao watanzania kila siku. Maisha magumu ni wimbo wa taifa zima. Toka ameanza kampeni, Magufuli na CCM yake hawajathubutu kujielekeza kwenye huu upungufu mkubwa wa miakia 5 iliyopita. Wamekazana kwenye nyimbo zilezile za barabara zaidi, ndege zaidi.

Mbaya zaidi, kitendo cha kuzuia mikutano ya wapinzani miaka 5, imemnyima Magu na CCM yake uzoefu wa kukabiliana na makombora ya wapinzani, na wakati huohuo, wananchi wamechoka nyimbo za SGR, Stigla, barabara, nk. Wana hamu ya kuwasikia wapinzani. Nyomi za mikutano ya CCM wala hazitusumbui maana sio OG.

Magu midomo imekauka. Hana lile conf la kawaida. Mwanzo alitumia busara kujikita kwenye sera zake. Lakini sasa kajitumbukiza kwenye mtego wa kumjibu Lissu. Hilo ni kosa la kimkakati. Big mistake. Na atajibu mangapi?

Kisago cha mbwa mwizi anachopata hadi huruma yaani.
 
Nilitegemea hoja kujibiwa na hoja kumbe wewe ni walewale wa kulalamika na kulaumu.

Hivi kweli mnategemea vifaranga wakati mayai yote mmeweka kwenye kapu moja?
 
Back
Top Bottom