Uchaguzi 2020 Lissu aifuta CCM Mtwara, Ajenda ya korosho yawa kaa la moto kwa CCM mkoani humo

Uchaguzi 2020 Lissu aifuta CCM Mtwara, Ajenda ya korosho yawa kaa la moto kwa CCM mkoani humo

[emoji3577]
EhOUPJGWAAAQD16.jpeg
 
Zitto angeungana na Lissu kumuongezea nguvu kwa uwezo wa kujenga hoja wa Zitto hasa kwenye kunadi ilani tungepata landslide victory kwenye kanda ya kusini na victoria, nyasa, Serengeti, kaskazini na kati,
Tatizo Kuna sheria kandamizi zimetungwa na CCM ili kufanya vyama vya upinzani visiungane. Muziki wa UKAWA uliwatisha Sana 2015.

Tundu Lisu alilifafanua vizuri Sana siku ya j3 saa 3 usiku ITV kwenye kipindi cha dakika 45.
 
Kwani ACT wangeamua kutosimamisha mgombea urais au angejitoa baada ya Lissu kupitishwa si ingekuwa sawa tu ?
 
NEC wasanii sana, kuliko hata kina GIGY MONEY na BABA LEVO, sijui kama wamesha jisajili BASATA na wanatambulika kwenye bodi ya sanaa.

Maana uchaguzi huu hatukawii kufanyiwa usanii wa 4G, mara paap Lissu kapata kura 45%, CCM kura 51%, vyama vingine 1% (Ilimradi wananchi waoneshwe Lissu kapambana na Magufuli).
15% Lissu
 
Kwani ACT wangeamua kutosimamisha mgombea urais si ingekuwa sawa tu ?
Ili kuungana inatakiwa msajili ajulishwe miezi kitatu kabla.ya tarehe ya mchakato wa uchukuaji wa fomu.
Na kipindi hiki kulikuwa na hofu ya Lisu au Membe kutopewa fomu ya kugombea. Ikashindikana.

Na mgombea akijitoa ni marufuku kutamka hadharani kuwa chama x kitampa mgobea wa chama c kura za urais.

Unaiona mitego hiyo
 
Mlituaminisha kuwa Lissu ,ameifuta rasimi ,ccm mwanza.Leo mapokezi ya Magufuli mwanza kuanzia barabarani.Hakifika mtwara ,pia atapokewa kama mfalme.Lissu bado sana
When you are the incumbent seeking re-election you don’t run on new promises, but run on your past record” Politics 121.

Meko has nothing to present so far.
 
Akiongea na wananchi wa Mtwara waliokusanyika maelfu kwa maelfu kumsikiliza, Lissu amekwenda huko na ujumbe dhidi ya unyanyasaji waliofanyiwa wananchi wa huko kwenye ishu ya gesi na korosho.
Lissu amemsiliba vilivyo rais Magufuli kutokana na namna alivyolishughuikia siuala hilo kwa namna ambayo mkulima wa korosho alinyanyasia sana, huku kukiwa na uchukuaji wa korosho kinguvu hali iliyopelekea watu kuwa na maisha magumu, ya umasikini hata kufikia hatua ya kukata tamaa kuendelea na kilimo.
Kissi amelinganisha hatua za serikali za CCM kupeleka jeshi kwa watu wa kusini kama kupelekewa vita na serikali yao wenyewe!
Pia Lissu akaelezea namna serikali ya CHADEMA itakavyokuwa tofauti kwenye kuendesha nchi, ambapo serikali yao italinda Uhuru, Haki na kuleta maendeleo

Kwa taarifa zaidi mtazame hapa Chini akiwa huko Mtwara

Namwonea huruma sana huyu jamaa hivi Story zinasaidia nini kwenye Kampeni yaani anaudhii sanaa
 
Ili kuungana inatakiwa msajili ajulishwe miezi kitatu kabla.ya tarehe ya mchakato wa uchukuaji wa fomu.
Na kipindi hiki kulikuwa na hofu ya Lisu kutopewa fomu ya kugombea. Ikashindikana.

Na mgombea akijitoa ni marufuku kutamka hadharani kuwa chama x kitampa mgobea wa chama c kura za urais.

Unaiona mitego hiyo
Hahaha sawa nimekuelewa.
 
Back
Top Bottom