Uchaguzi 2020 Lissu aifuta CCM Mtwara, Ajenda ya korosho yawa kaa la moto kwa CCM mkoani humo

Ishallah! Naomba wanachama na wapenzi wa CHADEMA tuendelee kuchangia kampeni za mgombea huyu hadi basi. Tuma mchango wako kwa kutumia namba ya kumbukumbu CDM 2020 kwnda benki ya CRDB. Ndondondo si chururu.
 
Huku Mtwara kwetu hatuchagui watu wanaosema tukishindwa tutaingia barabarani, tunataka viongozi wapenda amani na si kutumwa kuja kuvuruga amani
 
Mkuu tatizo mnashindwa kurusha vitu live hataa youtube. Ngoja tuendelee na mambo mengine tutaangalia ITV jioni
 
Upinzani mtaliwa kiboga tuu
Matusi ni kwa wenye upungufu wa akili, ukiwa verified halafu unatukana kijinga namna hii kwa kudhani unamfurahisha aliyekutuma, utakuwa unajidanganya sana.
 
Huku mtwara kwetu hatuchagui watu wanaosema tukishindwa tutaingia barabarani, tunataka viongozi wapenda aman na si kutumwa kuja kuvuruga amani
Ha ha ha huyo mhutu wa chama cha mbogamboga hatakiwi kabisa huku Mtwara.
Mida nko hapa Sabasaba. Watu ni wengi haijapata kutokea.
Watu wanamiminika toka Mikindani, Naliendele, Chuno, Ligula, Magomeni, Likonde, Msangamkuu, Kiyangu na wale wanaotoka wilaya za Masasi, Lindi, Tandahimba miji na vijiji mbalimbali vya halmashauri ya Mtwara Vijijini na Nanyamba.

Mtwara tunamchagua Lissu, huyo mhutu arejee kwao Burundi.
 
Muanze kuedit kabisa picha za mafuriko ya Lowasa uchaguzi uliopita.kisha mzipost humu mseme za kusini kwenye kampeni za Lissu itawasaidia kificha aibu.
Ficha aibu yako masikini ...hivi unafikiri Wasukuma wanamuona mwenzao?
 
Ufupishe ibada kisa kampeni
Acheni utani nyie na hao viongozi watakuwa hawapo serious.
 
Anachofanya TAL kata funua halafu analabua vibao vya kelebu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…