Yaani wewe unachekesha sana! Hii post yako ngoja niitunze ili jioni nikuulize swaliHapo patamu akajionee aibu yake kule.Nimetokea huko.Ajiandae aibu. Ya mwaka.Huko CUF na CCM ndio vijogoo. HUKO CHADEMA HAMNA CHENU
Muongo kama yule aliyetuahidi milioni 50 kila kijiji.
Muone anavyotikisa mattercore yake, ukiambiwa uwataje walimtuma kuvuruga amani, utawataja ?Huku mtwara kwetu hatuchagui watu wanaosema tukishindwa tutaingia barabarani, tunataka viongozi wapenda aman na si kutumwa kuja kuvuruga amani
Baada ya wewe kuliwa kiboga kwa lazima hadi kikakukolea basi unatamani kila mtu awe kama weweUpinzani mtaliwa kiboga tuu
Magu ni muongo, muoga na wala hana aibu kuendelea kusema uongo.Muongo kama yule aliye tuahidi milioni 50 kila kijiji.
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Inambidi ama sivyo wanae hawatoenda maliwato.Wewe ndugu una roho ngumu sana, yaani huogopi kupinga ukweli na kutetea uovu.
Kwahiyo wewe mtetea?Hapo patamu akajionee aibu yake kule.Nimetokea huko.Ajiandae aibu. Ya mwaka.Huko CUF na CCM ndio vijogoo. HUKO CHADEMA HAMNA CHENU
HakikaAnachofanya TAL kata funua halafu analabua vibao vya kelebu
We binti! CHADEMA Taifa kubwa, watu wa Mtwara ndio wanaihitaji CHADEMA kuliko inavyowahitaji,Hapo patamu akajionee aibu yake kule.Nimetokea huko.Ajiandae aibu. Ya mwaka.Huko CUF na CCM ndio vijogoo. HUKO CHADEMA HAMNA CHENU
Jioni ndio hii ulizaYaani wewe unachekesha sana! Hii post yako ngoja niitunze ili jioni nikuulize swali
endelea kutufuatilia hapa hapa jfJioni ndio hii uliza
Ila wewe jamaa una gubu hatari.Hawatarusha ni aibu kule wanaenda kuadhirika hawatarusha
Huyu wa sasa sio kama Lowassa. Wanatofautiana sana kwa historia na matendo. Lissu atawashangaza.Uandishi wako we mtu unanikumbusha mwaka 2015 jinsi spensa lamek alivyokuwa anatangaza habari za lowasa, mtu ulkua unahisi mavi yanagonga chupi tukahisi kbsa ccm bye bye kwa zile mbwembwe lakini mwishowe ikawa ziiiii
Lowassa hakushindwa , angalia sarakasi hizi , lowassa alijua lakini akamuachia Mungu , lissu hatofanya ujinga huoUandishi wako we mtu unanikumbusha mwaka 2015 jinsi spensa lamek alivyokuwa anatangaza habari za lowasa, mtu ulkua unahisi mavi yanagonga chupi tukahisi kbsa ccm bye bye kwa zile mbwembwe lakini mwishowe ikawa ziiiii
Masaki one iyoLowassa hakushindwa , angalia sarakasi hizi , lowassa alijua lakini akamuachia Mungu , lissu hatofanya ujinga huoView attachment 1560636
nilikuwa namjulisha Mataga njaa mmoja hivi , hawa vijana wanadhani tumesahauMasaki one iyo
Watu wakiwa kwenye ofisi zao unafikiri pale kwenye mtaa wa Ufipa?Lowassa hakushindwa , angalia sarakasi hizi , lowassa alijua lakini akamuachia Mungu , lissu hatofanya ujinga huoView attachment 1560636