Uchaguzi 2020 Lissu aifuta CCM Mtwara, Ajenda ya korosho yawa kaa la moto kwa CCM mkoani humo

Uchaguzi 2020 Lissu aifuta CCM Mtwara, Ajenda ya korosho yawa kaa la moto kwa CCM mkoani humo

Angalieni wapambe msije mkaingia kwenye makufuru! Ibada zifupishwe Kwa ajiri ya Nani eti?

Ilishindikana kwenye Corona sembuse vitu vya ajabu ajabu!!

Mungu ndiye aliyemuumba huyo na ndiye aliyemponya, kama anaakili timamamu hawezi kufurahishwa na upambe wa kijinga kiasi hiki na uandishi wa makufuru kama huu, Yeye mwenyewe anapaswa aingie Ibada na kuwasihi watumishi waendelee kumwomba Mungu
Nafikiri alikuwa anamaanisha yeye binafsi ametoka ibadani mapema ili aende kwa raisi wake.
 
Lissu atagaragazwa vibaya mno,naona mwenzake membe tayari ameshauelewa muziki wa JPM ameshajikatia tamaa,bado huyu anaendelea kubwabwaja tu
 
Lissu THE GREATEST, Lissu THE GENIUS

 
Haya endeleeni kuedit picha kwanza maana huko mnaenda muoga aibu .
 
06 September 2020
Mtwara, Tanzania

Tundu Lissu : Serikali ya CHADEMA kuwapa Uhuru Wakulima kufaidi jasho lao

Tundu Lissu azungumzia ilani ya Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu ktk mambo mengi ikiwemo kilimo na hususan Korosho huko kusini ambapo wakulima wanazongwa zongwa na serikali. CHADEMA inataka Uhuru kwa wakulima kunufaika na jasho lao kupitia sera ya Uhuru na Kazi kwa Maendeleo ya Watu


c.c Erythrocyte
 
Back
Top Bottom