Uchaguzi 2020 Lissu aifuta CCM Mtwara, Ajenda ya korosho yawa kaa la moto kwa CCM mkoani humo

Nafikiri alikuwa anamaanisha yeye binafsi ametoka ibadani mapema ili aende kwa raisi wake.
 
RC wa Mwanza amesitisha kufunguliwa kwa shule hapo kesho ili walimu na wanafunzi wahudhurie mkutano wa kampeni wa ccm , kwanini mnakusanya watu kwa njia haramu ?
Mtanyooka tu!! Malalamiko FC!
 
Lissu atagaragazwa vibaya mno,naona mwenzake membe tayari ameshauelewa muziki wa JPM ameshajikatia tamaa,bado huyu anaendelea kubwabwaja tu
 
Lissu THE GREATEST, Lissu THE GENIUS

 
Haya endeleeni kuedit picha kwanza maana huko mnaenda muoga aibu .
 
06 September 2020
Mtwara, Tanzania

Tundu Lissu : Serikali ya CHADEMA kuwapa Uhuru Wakulima kufaidi jasho lao

Tundu Lissu azungumzia ilani ya Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu ktk mambo mengi ikiwemo kilimo na hususan Korosho huko kusini ambapo wakulima wanazongwa zongwa na serikali. CHADEMA inataka Uhuru kwa wakulima kunufaika na jasho lao kupitia sera ya Uhuru na Kazi kwa Maendeleo ya Watu

c.c Erythrocyte
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…