Uchaguzi 2020 Lissu aifuta CCM Mtwara, Ajenda ya korosho yawa kaa la moto kwa CCM mkoani humo

Uchaguzi 2020 Lissu aifuta CCM Mtwara, Ajenda ya korosho yawa kaa la moto kwa CCM mkoani humo

Subiri useme saa 12 jioni leo.
Saa hii saa 11 lete picha live kama nyie Chadema wanaume msisubiri giza mchakachukie mtwara HAMNA kitu Lisu ni hopeless kusini he is not a Presidential material kusini kwa Kassim Majaliwa
 
Chezea ngome ya Kassim Majaliwa saa hii saa 11 wanahangaika ku edit picha za 2015 kuchakachua .Kwa Majaliwa mwamba wa kusini hawapati kitu
Teh teh teh teh, wanajisumbua bure, UTV AZAM TV saa 8.00 tutapata majibu
 
Yaan lissu! Yupo kusinu leo sijaon updates zozote mpaka sasa.CDM wahuni sana!
 
Hii ndio taarifa inayozunguka kwa sasa kila mahali, kwamba leo yule Rais mtarajiwa wa awamu ya 6 ambaye ameteuliwa na Mungu mwenyewe baada ya kuzuia kifo chake atakuwa Mtwara katika kinachoitwa Uzinduzi wa Kampeni za uchaguzi 2020 kanda ya kusini.

Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba Shughuli nyingi za kijamii zimesimama na maduka mengi yamefungwa ili kuwezesha kila mtu kuhudhuria Mkutano huo Mkubwa kupita yote iliyowahi kufanyika Mtwara, baadhi ya Makanisa yameamua kufupisha ibada na mengine yamefuta ibada ya mchana ili kuwezesha waumini kuhudhuria tukio hilo adimu.

View attachment 1560206
Tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu yoote ni Mema goo Lisu
 
Back
Top Bottom