Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Tulia dawa ikuingie vizuri. Uzuri wa Lissu anapiga spana huku anakuelimishaNamwonea huruma sana huyu jamaa hivi Story zinasaidia nini kwenye Kampeni yaani anaudhii sanaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia dawa ikuingie vizuri. Uzuri wa Lissu anapiga spana huku anakuelimishaNamwonea huruma sana huyu jamaa hivi Story zinasaidia nini kwenye Kampeni yaani anaudhii sanaa
Za ZimbabweLissu 68%
Nani kasema???? Shazi la Lissu Singida, Tabora, shinyanga, Mara na Simiyu wakati wa kutafuta wadhamini tu limemfunika magufuliSehemu zote alipopita magufuli na lissu hakuna sehemu ambayo lissu kamzidi magufuli.
Utajua hujui mwaka huu! JiandaeZa Zimbabwe
Mlituaminisha kuwa Lissu ,ameifuta rasimi ,ccm mwanza.Leo mapokezi ya Magufuli mwanza kuanzia barabarani.Hakifika mtwara ,pia atapokewa kama mfalme.Lissu bado sana
Niko Mwanza Boss raja sana yaani nyomi mpka Prezooo anaduwaaa mapenzi anayopataaa barabara zinafurikaahuku ndiko walikobwapiga kuraaa tunaendelea kuwafundisha Kampeni chadema. IVI mwaka huuu CHADEMA HAMNA HATA MABANGO YA WAGOMBEATulia dawa ikuingie vizuri. Uzuri wa Lissu anapiga spana huku anakuelimisha
Nyomi la kufuata mziki wa TOT na shoro mwamba???Niko Mwanza Boss raja sana yaani nyomi mpka Prezooo anaduwaaa mapenzi anayopataaa barabara zinafurikaahuku ndiko walikobwapiga kuraaa tunaendelea kuwafundisha Kampeni chadema. IVI mwaka huuu CHADEMA HAMNA HATA MABANGO YA WAGOMBEA
Hahahaha sasa Tunatafuta KURA BABA nenda na wakatiNani kasema???? Shazi la Lissu Singida, Tabora, shinyanga, Mara na Simiyu wakati wa kutafuta wadhamini tu limemfunika magufuli
Mlituaminisha kuwa Lissu ,ameifuta rasimi ,ccm mwanza.Leo mapokezi ya Magufuli mwanza kuanzia barabarani.Hakifika mtwara ,pia atapokewa kama mfalme.Lissu bado sana
Tayali amesha toka kwenye ReliLissu anawapa makavu live
Hii ndiyo inayotakiwa!
Jiwe siyo wa kumstahi, ni kumpa makavu mpaka atoke kwenye reli
Unaumiaaa eee izo ni Strategy kijanaa zinavuta wapiga kura kuja kusikiliza Sera zenye madiniNyomi la kufuata mziki wa TOT na shoro mwamba???
Hao wanamadeni ya pamba zao so hawawezi kuwapa kura zao!! Hapo wanafuata mziki tu hamuoni wanajazana watoto??Hahahaha sasa Tunatafuta KURA BABA nenda na wakati
ule ni mpango mkakati tu , malori si yapo ? hivi kwa akili yako kuna mtu wa kumshangaa magufuli mwanza leo na huku alikuwa anaenda kila wiki , kwa lipi jipya ?Mlituaminisha kuwa Lissu ,ameifuta rasimi ,ccm mwanza.Leo mapokezi ya Magufuli mwanza kuanzia barabarani.Hakifika mtwara ,pia atapokewa kama mfalme.Lissu bado sana
Sehemu zote alipopita magufuli na lissu hakuna sehemu ambayo lissu kamzidi magufuli.
Yaani mtu hajalipwa pamba yake, kijana hajaaliwa tangu 2015 alafu avutiwe na Sera za Ccm??? Hao wanasikiliza mziki tuUnaumiaaa eee izo ni Strategy kijanaa zinavuta wapiga kura kuja kusikiliza Sera zenye madini
Hapa mnajambishana wenyewe mnaruka wenyewe!!Lissu anawajambisha hawa jamaa vibaya sana
Timu farajaMagu kakataliwa mwanza duh aibu
Risasi za matakoni na mapajani hata NYUMBU hafi.Aisee. Lisu mwaka huu hatari sana. Huyu Lisu kumbe ndiyo maana hakufa hata kwa risasi 16. Mungu ana makusudi naye.
Vipi aliyoyasema ?Mlituaminisha kuwa Lissu ,ameifuta rasimi ,ccm mwanza.Leo mapokezi ya Magufuli mwanza kuanzia barabarani.Hakifika mtwara ,pia atapokewa kama mfalme.Lissu bado sana
Nyumbu hiyo editing ya kifaruku sana wadanganye wale watoto matahira pale buguruni.Mataga mnaona nyomi hiyo?