Mindi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2008
- 3,523
- 4,992
Nimekujibu hoja kadhaa hapo, labda kama hujasoma vizuri.Nilitegemea hoja kujibiwa na hoja kumbe wewe ni walewale wa kulalamika na kulaumu.
Hivi kweli mnategemea vifaranga wakati mayai yote mmeweka kwenye kapu moja?
Lakini kuhusu kuongozana, huo ni mkakati wa CHADEMA . CCM nao wana mkakati wao. Siku mbona bado zipo? Mwanzoni mlisema anaongelea maumivu tu sera ziko wapi.
Usilazimishe mikakati ya ccm kwa CHADEMA