Uchaguzi 2020 Lissu aifuta CCM Mtwara, Ajenda ya korosho yawa kaa la moto kwa CCM mkoani humo

Uchaguzi 2020 Lissu aifuta CCM Mtwara, Ajenda ya korosho yawa kaa la moto kwa CCM mkoani humo

Dah amepiga penyewe kabisa ile kauli ya mashangazi atakuwa anaijutia kuitamka
 
Kwani ACT wangeamua kutosimamisha mgombea urais au angejitoa baada ya Lissu kupitishwa si ingekuwa sawa tu ?
Yes, kama sana nia, it is a matter of Membe kujitoa akajiunga na kampeni za CDM, bila kutamka kuwa naungana na CDM kukwepa sheria ya kishenzi.
 
Niko Mwanza Boss raja sana yaani nyomi mpka Prezooo anaduwaaa mapenzi anayopataaa barabara zinafurikaahuku ndiko walikobwapiga kuraaa tunaendelea kuwafundisha Kampeni chadema. IVI mwaka huuu CHADEMA HAMNA HATA MABANGO YA WAGOMBEA
Kuna sehemu jiwe kazomewa, na ni kanda ya huko huko. Jiwe hafai hata kuongoza nyumba kumi
 
Wapiga kura ni wengi sana wa mwanza, anaglia igoma tu leo wanazidi wa lisu huko mtwala, na wanazidi aliopata alipokuwa mwanza na mkutano, bado wa kisesa na nyakato na barabarani walio kuwa wamesimama mpaka mjini.
Siku akiingia mtwara mbwembe za lisu zina futwa zote na bado majaliwa na mama Samia hawajaenda huko.
Jiwe ataenda Mtwara kweli [emoji848]
Kule alikowaibia korosho na kusema atapiga shangazi zao
 
Huu siyo uchaguzi wa kwanza Tanzania. Isitoshe wagombea Ubunge na Madiwani wa CHADEMA, bila kumng'unya maneno ni kama yatima isipokuwa wachache waliokuwapo kabla. Tofauti na CCM ambapo wanatambulishwa na wana mameneja wa kusimamia kampeni zao...
Kuna mgombea mmoja wa ubunge alipandishwa jukwaa wananchi wakamzomea mpaka jiwe akapaniki
 
Mlituaminisha kuwa Lissu ,ameifuta rasimi ,ccm mwanza.Leo mapokezi ya Magufuli mwanza kuanzia barabarani.Hakifika mtwara ,pia atapokewa kama mfalme.Lissu bado sana
Jpm ni Rais anaegombea tena ujue
 
Tatizo Kuna sheria kandamizi zimetungwa na CCM ili kufanya vyama vya upinzani visiungane. Muziki wa UKAWA uliwatisha Sana 2015.

Tundu Lisu alilifafanua vizuri Sana siku ya j3 saa 3 usiku ITV kwenye kipindi cha dakika 45.
Hata hivyo Lisu anatosha. "We are ripe for a revolution".
 
Kuna wanaoletwa na malori na kulazimishwa na wanao kuja wenyewe kwa hiyari yao.

Hao wamebebwa na malori.

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Asisahau na picha hii
FB_IMG_1599394819744.jpg
 
Hapo patamu akajionee aibu yake kule. Nimetokea huko. Ajiandae aibu ya mwaka. Huko CUF na CCM ndio vijogoo. HUKO CHADEMA HAMNA CHENU
Majogoo wa KUPORA KOROSHO zetu? Wale makangomba mlishawafikisha mahakamani? Kesi zao zipo hatua gani?
Yani kiongozi Apore KOROSHO kisha chama chake kiwe vijogooo? Labda vijogoo wa kuteka na kuua watu
Kuwa serious wewe kanjanja la lumumba
 
Kuna sehemu jiwe kazomewa, na ni kanda ya huko huko. Jiwe hafai hata kuongoza nyumba kumi
Wapiga Deal Bwana Mmeshikwa pabaya sana. Ila Kibaya mpo wachache hahha endeleeni kuisikilizia Dawa iwaingie MAGUFULI TANO TENA
 
Hii ndio taarifa inayozunguka kwa sasa kila mahali, kwamba leo yule Rais mtarajiwa wa awamu ya 6 ambaye ameteuliwa na Mungu mwenyewe baada ya kuzuia kifo chake atakuwa Mtwara katika kinachoitwa Uzinduzi wa Kampeni za uchaguzi 2020 kanda ya kusini.

Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba Shughuli nyingi za kijamii zimesimama na maduka mengi yamefungwa ili kuwezesha kila mtu kuhudhuria Mkutano huo Mkubwa kupita yote iliyowahi kufanyika Mtwara, baadhi ya Makanisa yameamua kufupisha ibada na mengine yamefuta ibada ya mchana ili kuwezesha waumini kuhudhuria tukio hilo adimu.

Akiongea na wananchi wa Mtwara waliokusanyika maelfu kwa maelfu kumsikiliza, Lissu amekwenda huko na ujumbe dhidi ya unyanyasaji waliofanyiwa wananchi wa huko kwenye ishu ya gesi, korosho na Mauaji ya kutisha huko Mkuranga, Kilwa na Kibiti.

Lissu amemsiliba vilivyo Rais Magufuli kutokana na namna alivyolishughuikia siuala hilo kwa namna ambayo mkulima wa korosho alinyanyasika sana, huku kukiwa na uchukuaji wa korosho kinguvu hali iliyopelekea watu kuwa na maisha magumu ya umasikini hata kufikia hatua ya kukata tamaa kuendelea na kilimo.

Lissu amelinganisha hatua za serikali za CCM kupeleka jeshi kwa watu wa kusini kama kupelekewa vita na serikali yao wenyewe!

Pia Lissu akaelezea namna serikali ya CHADEMA itakavyokuwa tofauti kwenye kuendesha nchi, ambapo serikali yao italinda Uhuru, Haki na kuleta maendeleo.

Wakati huohuo ndugu Lissu akawaeleza wananchi wa Mtwara kuwa katika mikoa ya Kusini ya maeneo ya Mkuranga, Kilwa na Kibiti kulitokea mauaji ya kutisha, watu kupotea na wngine kuchukuliwa kutoka kwenye misikiti na kwenda kuteswa. akasema, aliyekuwa Mbunge wa Kilwa mheshimiwa Bwege alimueleza Lissu kuhusu unyama na ukatili wa kutisha waiofanyiwa watu wa maeneo hayo katika kipindi cha utawala huu wa awamu ya tano!. Lissu akasema, watu waliokotwa wamekufa katika mito na fukweni mwa bahari. Lissu akasema mambo hayo yanahitaji majibu na akasema kuwa serikali ya Chadema itatawala kwa haki

Kwa taarifa zaidi mtazame hapa Chini akiwa huko Mtwara






==


aweke na akiba ya maneno ya kuja kuongea atakapopewa kazi na mheshimiwa jpm baada ya uchaguzi asipige kelele sana sasahivi wakati haendi ikulu
 
Back
Top Bottom