Mtumpole
JF-Expert Member
- Aug 30, 2010
- 2,278
- 1,288
Siku hizi watoto wanapiga kura!Asisahau na picha hiiView attachment 1561255
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku hizi watoto wanapiga kura!Asisahau na picha hiiView attachment 1561255
Lissu alishamjibu hilo kwa kusema 'kazi hizo zinawafaa waliokotwa jalalani.'aweke na akiba ya maneno ya kuja kuongea atakapopewa kazi na mheshimiwa jpm baada ya uchaguzi asipige kelele sana sasahivi wakati haendi ikulu
Jana niliona mpk kabinti ka Primary kamevaa nguo za shule,nikajiuliza leo si ni J2 sasa huyo mtoto nguo za shule amevaa za nini?
basi atabaki na kupga kelele mahakamani maana ubunge atakuwa hana na urais ndo basiLissu alishamjibu hilo kwa kusema 'kazi hizo zinawafaa waliokotwa jalalani.'
Unajua Nyota Ya Magufuli NibKuanzia Kwa Watoto Vijana Watu wazima Na wazee Ila Like tundu In Kienzi Cha Wahuni na Wapiha Deal HATA YESU ALIWAAITA WATOTO WAENDE KWAKE WATOTO HOYEEEEEE
Msinozomee,NITAONDOKAAAAA.basi atabaki na kupga kelele mahakamani maana ubunge atakuwa hana na urais ndo basi
Ahsante kwa "kujali", kuhusu Mbowe kwenda Hai, bado mapema mno kujaji. Kumbuka CHADEMA wana strategy zao tofauti kabisa. Mazingira yao pia tofauti. Na si kwamba mikutano haifanyiki, viongozi wa kanda wako bize. Tulieni watanzania waendelee kuelimishwa.Huu siyo uchaguzi wa kwanza Tanzania. Isitoshe wagombea Ubunge na Madiwani wa CHADEMA, bila kumng'unya maneno ni kama yatima isipokuwa wachache waliokuwapo kabla. Tofauti na CCM ambapo wanatambulishwa na wana mameneja wa kusimamia kampeni zao.
Tujiulize, itokee Lissu achaguliwe, ambayo ni ndoto ya mchana kweupe, ataweza kuunda baraza la mawaziri?
Endeleeni kujitekenya, wakati ukweli mnaujua, maana hata Mbowe, M/Kiti amegwaya kwenda jimboni kwake kufanya kampeni, anazunguka na Lissu, anapopewa nafasi ya kuongea ni shutuma na vitisho, mwanzo mwisho.
Nyie si mnajichotea hazina? Zingine mnazigawa kama peremendeSiku hizi hamtembezi bakuli?, wana saccos kama hao mngevuna pesa ya kuwasogeza kwenye kampeni.
Kumbuka kabla ya uchaguzi oktoba 28 2020 Mungu atatujalia kupata Rais mwanamke na taifa kulipuka kwa shangweLugha yako siyo muafaka...ndiyo maana huwa mnakosa kura..
Ulikuwa na hoja za msingi lakini ukapoteza uzito wake kwa madai ya kuibiwa kura, kama wanavyodai viongozi wa CHADEMA. Tafsiri yake ni kwamba wanaamini nafasi yao ya ushindi ni finyu kabisa. Kwa matusi wanayoporomosha kwenye kampeni, ati ni "kusema ukweli" wanajidanganya. Jamii ya wastarabu ina lugha ya kukosoa isiyo na maneno yenye kutukana (km mshenzi)Ahsante kwa "kujali", kuhusu Mbowe kwenda Hai, bado mapema mno kujaji. Kumbuka CHADEMA wana strategy zao tofauti kabisa. Mazingira yao pia tofauti. Na si kwamba mikutano haifanyiki, viongozi wa kanda wako bize. Tulieni watanzania waendelee kuelimishwa.
Umeona hadi wanamkataa mgombea wa ccm anayenadiwa na Magu mwenyewe ?
Na Magu nae sababu hajazoea kupingwa anaishia kutisha wapiga kura? Kama siyo panic ni nini hiyo? Watanzania siyo wajinga. Ngojea mshangazwe oktoba. Mtaishia kuiba tu
Hizo ni swaga za Lisu hakuna mtu ana muda na mambo ya shangazi sijui nini.Jiwe ataenda Mtwara kweli [emoji848]
Kule alikowaibia korosho na kusema atapiga shangazi zao
Ni lugha ya uhaini...inafaa ukamatwe na usote gerezani milele...una maana umepanga kumdhuru Rais was Sasa....wewe ni mtu wa hovyo na ovyo kabisa..Kumbuka kabla ya uchaguzi oktoba 28 2020 Mungu atatujalia kupata Rais mwanamke na taifa kulipuka kwa shangwe
Baba Mungu muweza ya yote. Watanzania wote kwa jumla tunakuomba utujalie Rais mwanamke kabla ya uchaguzi mkuu oktoba 2020 ili utuondolee pepoNi lugha ya uhaini...inafaa ukamatwe na usote gerezani milele...una maana umepanga kumdhuru Rais was Sasa....wewe ni mtu wa hovyo na ovyo kabisa..
Inawezekana huna familia wewe...
Very interesting ... kwamba wananchi wanamkataa mgombeavwa ccm mbele ya Magufuli, kwamba ni ishara ya Demokrasia ndani ya ccm! Usinichekeshe.Ulikuwa na hoja za msingi lakini ukapoteza uzito wake kwa madai ya kuibiwa kura, kama wanavyodai viongozi wa CHADEMA. Tafsiri yake ni kwamba wanaamini nafasi yao ya ushindi ni finyu kabisa. Kwa matusi wanayoporomosha kwenye kampeni, ati ni "kusema ukweli" wanajidanganya. Jamii ya wastarabu ina lugha ya kukosoa isiyo na maneno yenye kutukana (km mshenzi)
Kwamba mgpmbea wa CCM amekataliwa na wanachama, mbele ya Maguguli (M/kiti na mgombea Urais) ni ushahidi kuwa CCM ina demokrasia. Jambo hilo kamwe haliwezi kutokea wala kukubaliwa na Mbowe maana CHADEMA ni chama chake. Ushahidi ni humu JF, pamoja na ulevi wake wa kupindukia, hakuna anayethubutu kumsema.
Nilitegemea hoja dhidi ya hoja, ila kama kawaida ulaumu utaratibu wa mchakato wa uteuzoi wa chama cha siasa ambacho mna nia ya kukiondoa Serikalini! Very interesting.Very interesting ... kwamba wananchi wanamkataa mgombeavwa ccm mbele ya Magufuli, kwamba ni ishara ya Demokrasia ndani ya ccm! Usinichekeshe.
1) unalinganishaje ccm ambako kitendo cha kujitokeza kugombea urais kilitosha kumfukuzisha mtu kwenye chama, ili Magufuli apite bila kupingwa? unalinganishaje na chadema ambako kulikuwa na wagombea wngine? Unalibganishaje Magufuli kupata kura 100% za uenyekiti, ambayo hata Nyerere hakuwahi kupata?
2) Hiyo ingekuwa ni kielelezo cha demokrasia ndani ya ccm, basi Magufuli asingetoa vitisho
3) kamavunataka kujenga hoja ya kwamba hayo hayawezekani chadema, tupatie mfano hai. Maana hii ya Magufuli ikovon record.
Hivi nyie si ndio mlidai kuwa Lissu ameomba hifadhi ya kisiasa nchini Norway bado tu unarudi humu kuongea utumbo, unategemea nani atakuamini.Hapo patamu akajionee aibu yake kule. Nimetokea huko. Ajiandae aibu ya mwaka. Huko CUF na CCM ndio vijogoo. HUKO CHADEMA HAMNA CHENU
Heru mimi wa porojo kuliko ninyi mnaozungumzia watu kwa matusi na kushabikia matukio.Porojo tu, ni kutegemea tume na polisi, ccm imebakia hapo tu hawana lolote. Very hopeless indeed.