Uchaguzi 2020 Lissu aifuta CCM Mtwara, Ajenda ya korosho yawa kaa la moto kwa CCM mkoani humo

Uchaguzi 2020 Lissu aifuta CCM Mtwara, Ajenda ya korosho yawa kaa la moto kwa CCM mkoani humo

aweke na akiba ya maneno ya kuja kuongea atakapopewa kazi na mheshimiwa jpm baada ya uchaguzi asipige kelele sana sasahivi wakati haendi ikulu
Lissu alishamjibu hilo kwa kusema 'kazi hizo zinawafaa waliokotwa jalalani.'
 
Huu siyo uchaguzi wa kwanza Tanzania. Isitoshe wagombea Ubunge na Madiwani wa CHADEMA, bila kumng'unya maneno ni kama yatima isipokuwa wachache waliokuwapo kabla. Tofauti na CCM ambapo wanatambulishwa na wana mameneja wa kusimamia kampeni zao.

Tujiulize, itokee Lissu achaguliwe, ambayo ni ndoto ya mchana kweupe, ataweza kuunda baraza la mawaziri?

Endeleeni kujitekenya, wakati ukweli mnaujua, maana hata Mbowe, M/Kiti amegwaya kwenda jimboni kwake kufanya kampeni, anazunguka na Lissu, anapopewa nafasi ya kuongea ni shutuma na vitisho, mwanzo mwisho.
Ahsante kwa "kujali", kuhusu Mbowe kwenda Hai, bado mapema mno kujaji. Kumbuka CHADEMA wana strategy zao tofauti kabisa. Mazingira yao pia tofauti. Na si kwamba mikutano haifanyiki, viongozi wa kanda wako bize. Tulieni watanzania waendelee kuelimishwa.
Umeona hadi wanamkataa mgombea wa ccm anayenadiwa na Magu mwenyewe ?

Na Magu nae sababu hajazoea kupingwa anaishia kutisha wapiga kura? Kama siyo panic ni nini hiyo? Watanzania siyo wajinga. Ngojea mshangazwe oktoba. Mtaishia kuiba tu
 
Ulikuwa na hoja za msingi lakini ukapoteza uzito wake kwa madai ya kuibiwa kura, kama wanavyodai viongozi wa CHADEMA. Tafsiri yake ni kwamba wanaamini nafasi yao ya ushindi ni finyu kabisa. Kwa matusi wanayoporomosha kwenye kampeni, ati ni "kusema ukweli" wanajidanganya. Jamii ya wastarabu ina lugha ya kukosoa isiyo na maneno yenye kutukana (km mshenzi)

Kwamba mgpmbea wa CCM amekataliwa na wanachama, mbele ya Maguguli (M/kiti na mgombea Urais) ni ushahidi kuwa CCM ina demokrasia. Jambo hilo kamwe haliwezi kutokea wala kukubaliwa na Mbowe maana CHADEMA ni chama chake. Ushahidi ni humu JF, pamoja na ulevi wake wa kupindukia, hakuna anayethubutu kumsema.
 
CHADEMA wanatumia propaganda kujipa matumaini hewa. Kiuharisia CHADEMA kura zenu ziko Arusha, Mara, Mbeya na Kilimanjaro. Kama mnanielewa basi kazeni sana buti mitaa hiyo.

Kwingine kote wanawashangaa tu.
 
Jiwe ataenda Mtwara kweli [emoji848]
Kule alikowaibia korosho na kusema atapiga shangazi zao
Hizo ni swaga za Lisu hakuna mtu ana muda na mambo ya shangazi sijui nini.
Kawa wakati serikari inakusanya korosho watu walikuwa wanavusha korosho kutoka msumbiji wakitafuta bei Nzuri iliyokuwa Tanzania,
Sasa lisu anawambia watu wauze wanapojua wakati watazurumiwa bei, hapo nani ana Masada?
Lisu anawaingiza chama,
Bei isiposimamiwa na serikari hakika watauza bei ya 800 kwa kilo.
 
Kumbuka kabla ya uchaguzi oktoba 28 2020 Mungu atatujalia kupata Rais mwanamke na taifa kulipuka kwa shangwe
Ni lugha ya uhaini...inafaa ukamatwe na usote gerezani milele...una maana umepanga kumdhuru Rais was Sasa....wewe ni mtu wa hovyo na ovyo kabisa..
Inawezekana huna familia wewe...
 
Ni lugha ya uhaini...inafaa ukamatwe na usote gerezani milele...una maana umepanga kumdhuru Rais was Sasa....wewe ni mtu wa hovyo na ovyo kabisa..
Inawezekana huna familia wewe...
Baba Mungu muweza ya yote. Watanzania wote kwa jumla tunakuomba utujalie Rais mwanamke kabla ya uchaguzi mkuu oktoba 2020 ili utuondolee pepo
 
Ulikuwa na hoja za msingi lakini ukapoteza uzito wake kwa madai ya kuibiwa kura, kama wanavyodai viongozi wa CHADEMA. Tafsiri yake ni kwamba wanaamini nafasi yao ya ushindi ni finyu kabisa. Kwa matusi wanayoporomosha kwenye kampeni, ati ni "kusema ukweli" wanajidanganya. Jamii ya wastarabu ina lugha ya kukosoa isiyo na maneno yenye kutukana (km mshenzi)

Kwamba mgpmbea wa CCM amekataliwa na wanachama, mbele ya Maguguli (M/kiti na mgombea Urais) ni ushahidi kuwa CCM ina demokrasia. Jambo hilo kamwe haliwezi kutokea wala kukubaliwa na Mbowe maana CHADEMA ni chama chake. Ushahidi ni humu JF, pamoja na ulevi wake wa kupindukia, hakuna anayethubutu kumsema.
Very interesting ... kwamba wananchi wanamkataa mgombeavwa ccm mbele ya Magufuli, kwamba ni ishara ya Demokrasia ndani ya ccm! Usinichekeshe.
1) unalinganishaje ccm ambako kitendo cha kujitokeza kugombea urais kilitosha kumfukuzisha mtu kwenye chama, ili Magufuli apite bila kupingwa? unalinganishaje na chadema ambako kulikuwa na wagombea wngine? Unalibganishaje Magufuli kupata kura 100% za uenyekiti, ambayo hata Nyerere hakuwahi kupata?
2) Hiyo ingekuwa ni kielelezo cha demokrasia ndani ya ccm, basi Magufuli asingetoa vitisho
3) kamavunataka kujenga hoja ya kwamba hayo hayawezekani chadema, tupatie mfano hai. Maana hii ya Magufuli ikovon record.
 
Nilitegemea hoja dhidi ya hoja, ila kama kawaida ulaumu utaratibu wa mchakato wa uteuzoi wa chama cha siasa ambacho mna nia ya kukiondoa Serikalini! Very interesting.

Nisingependa kuorodhesha, na kwa ushahidi, jinsi uteuzi wa wagombea ndani ya hicho chama usivyokuwa wa kidemokrasia. Itoshe tu kukwambia kuwa nguvu ya "mwanasiasa" wa CCM ni pale anapokuwa ndani, nje ya chama ni kama samaki nje ya maji.

Kilichomweka Magufuli madarakani sio nguvu yake kisiasa bali nguvu ya Chama. Ni nguvu hiyo ya chama itakayomrudisha yeye, kuwaweka wabunge na madiwani madarakani. Kwa sababu hizi, malalamishi yako hayana msingi.

Hiyo ni tofauti kubwa sana na vyama vingine vvya siasa ambavyo nguvu za chama ni mwanachama mmoja mmoja. Ni hili lilibainishwa na Lissu kule Zanzibar kwamba nguvu ya ACT-Mzalendo ni Maalim Seif na ya CHADEMA kwa sasa ni Lissu, na ni nguvu zao binafsi zinaweza kuwaweka madarakani. Kwa sababu hiyo, tambua wazi kuwa nguvu za mwanasiasa haziwezi kumweka madarakani.

Kwa taarifa, kama hujui, CCM ina nguvu za kisiasa ikiwa na au bila mwanasiasa yoyote mmoja mmoja. Na nguvu hii mtaiona kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu kwa kuwa Serikali ya CCM, ikiongozwa na Magufuli imetenda jinsi chama kilivyoagiza (Ilani ya Uchaguzi, 2015) ikakipandisha chama kwenye chati, ndani na nje ya nchi.
 
Hapo patamu akajionee aibu yake kule. Nimetokea huko. Ajiandae aibu ya mwaka. Huko CUF na CCM ndio vijogoo. HUKO CHADEMA HAMNA CHENU
Hivi nyie si ndio mlidai kuwa Lissu ameomba hifadhi ya kisiasa nchini Norway bado tu unarudi humu kuongea utumbo, unategemea nani atakuamini.
 
Porojo tu, ni kutegemea tume na polisi, ccm imebakia hapo tu hawana lolote. Very hopeless indeed.
 
Back
Top Bottom