Uchaguzi 2020 Lissu ailipua TCRA na Idara ya Habari Maelezo kwa kunyanyasa Vyombo vya Habari vinavyoripoti habari zake, aahidi kuifutilia mbali

Kwani kila mtanzania anaona YouTube au umejitoa ufahamu hivo unaona sawa vyombo vya habari kutozwa faini sababu ya kumuhoji mgombea urais wa Tanzania. Nchi hii inakwamishwa na watu wenye mawazo kama yakwako.
 
Mbona wanafanya na Rais alisema apewe muda mwengine amalizie miradi tena akasema hakuna mwengine anayeweza kumalizia hiyo miradi sasa Hiyo siyo kampeni pia
 
Kwani vyombo vya habari vina muda wa kutoa habari mbona wewe kama huwahi kufuta ujinga ni wapi huko ambako vyombo vinasubiri muda wa kutoa habari
 
Wana habari wataunda chombo chao huru kama ilivyo TLS Kwani unashangaa nini siyo serikali kuwa refa huku mchezahi
 
Wakifanya hivyo, kwa mara ya kwanza Tanzania haitakalika.
Kaanza mapema sana, awe muangalifu na tume ya uchaguzi Tanzania wasije wakamuacha kati ya wagombea watakao teuliwa kugombea.

Muda wa kampeni bado.
 
Hamna maendeleo Wala nini,hivi mtu anachukua mashine ya kupimia mamilioni ya wagonjwa ventilator na echo mashine kupeleka nyumbani kwake ndio maendeleo? Yeye ndio binadamu wengine sio ,kuchukua billions of money kupeleka kwao Rwanda ndio maendeleo?
 
TCRA ni janga la kitaifa ifutwe tu haina Faida yoyote zaidi kwa nchi.
 
Jiwe mwoga sana. Angekuwa anajiamini angeruhusu vyombo vyote vya habari viwe huru kunadi wagombea wote ili Watanzania wawasikie wagombea wote na kupiga kura kwa uhuru. Alizuia wenzie kufanya siasa kwa miaka 5 huku yeye, Bashiri na Polepole wakizunguka nchi nzima na amejenga madaraja, barabara, SGR nk. Sasa woga wa nini?
Jamaa yako ni domokaya hana jipya ati atafuta TCRA anaanzaje ?!!
aendelee kupiga domo John Pombe anamgaragaza mapema mno, ata akifika Oct 28 lijamaa pumzi itakuwa imekata.
 
Time ikifika ataongea hadi atalala mwenyewe awache kiherehere, hawezi kujilinganisha na
Magu ati kwa vile Rais anafanya hivi na yeye afanye, mwambieni asishindane na tembo kunywa bonga kamanda...
yeye aendelee kunya vipopoo vya mbuzi ndio uwezo wake.
 
Naam anashinda na malaika mkuu, siyo? Siyo vizuri kushindana na malaika mkuu.
Time ikifika ataongea hadi atalala mwenyewe awache kiherehere, hawezi kujilinganisha na
Magu ati kwa vile Rais anafanya hivi na yeye afanye, mwambieni asishindane na tembo kunywa bonga kamanda...
yeye aendelee kunya vipopoo vya mbuzi ndio uwezo wake.
 
Wewe utakuwa unapumulia makalio
Jamaa yako ni domokaya hana jipya ati atafuta TCRA anaanzaje ?!!
aendelee kupiga domo John Pombe anamgaragaza mapema mno, ata akifika Oct 28 lijamaa pumzi itakuwa imekata.
 
Mbonga ndo mnyam
Time ikifika ataongea hadi atalala mwenyewe awache kiherehere, hawezi kujilinganisha na
Magu ati kwa vile Rais anafanya hivi na yeye afanye, mwambieni asishindane na tembo kunywa bonga kamanda...
yeye aendelee kunya vipopoo vya mbuzi ndio uwezo wake.
Bonga ndo mdudu gani acha kukurupuka kuandika jifunze kwanza uandishi unaandika kama upo kuhara vile
 
Kwa akili hiz ni halali wajumbe walivyokupa kura 0. Eti udikteta wa kizalendo. Huwezi kusema uchawi wa kitakatifu, Udikteta ni udikteta tu hata upake rangi vipi.
 
TCRA ndio wanaotakiwa kufata utaratibu kwa mujibu wa sheria mama ambayo ni katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
 
Mbonga ndo mnyam

Bonga ndo mdudu gani acha kukurupuka kuandika jifunze kwanza uandishi unaandika kama upo kuhara vile
Sio kosa lako ushazowea kupakatwa huko ufipa., go fck ya self dude.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…