mb on
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 1,640
- 703
Sio malaika chaliii ni level mbili tofauti huyo Lissu ni kamanda Magu ni Rais ni sawa na ardhi na mbingu.Naam anashinda na malaika mkuu, siyo? Siyo vizuri kushindana na malaika mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio malaika chaliii ni level mbili tofauti huyo Lissu ni kamanda Magu ni Rais ni sawa na ardhi na mbingu.Naam anashinda na malaika mkuu, siyo? Siyo vizuri kushindana na malaika mkuu.
We ulipata kula ngapi ndugu??? Kweli msomi kama wewe?? Upate kura mbili?? Ina maana wanakuona huna akili??Naunga mkono hoja, nchi inaendeshwa kidikiteta, lakini udikiteta wenyewe ni udikiteta wa kizalendo, a benevolent dictatorship, anafanya udikiteta kwa lengo la kuleta maendeleo kwa manufaa ya taifa.
Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!
P
Haya, mntakavyoona ni sawa. Kumbukeni hawana cha kupoteza.TCRA ndio wanaotakiwa kufata utaratibu kwa mujibu wa sheria mama ambayo ni katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Hahaha ni rahisi sana kusema.Wakifanya hivyo, kwa mara ya kwanza Tanzania haitakalika.
Hasim RungweNani anatafuta kimya kimya
Kwani wanalazimika kutoa habari?!Kwani vyombo vya habari vina muda wa kutoa habari mbona wewe kama huwahi kufuta ujinga ni wapi huko ambako vyombo vinasubiri muda wa kutoa habari
Tunaomba asikatwe tu.Hii siyo kampeni mkuu , haya ni malalamiko
Akizungumza kutoka Singida Mgombea huyo wa Urais wa CHADEMA, Mhe. Lissu amefichua njama za kishamba za TCRA na idara ya habari maelezo za kushughulikia vyombo vya habari vinavyoripoti habari zake.
Tayari BBC wamepigwa faini ya Tsh. mil. 15 kwa kurusha mahojiano na Tundu Lissu huku RFA ikiambiwa ijieleze kwanini isiadhibiwe kutokana na kurusha alichoongea Lissu na BBC.
Hata hivyo Mhe. Lissu ameahidi kufutilia mbali TCRA na idara ya habari maelezo iwapo Watanzania wataamua kumpatia Urais.
Lissu anadai malengo ya tume ya Nyalali ya kuondoa SHIHATA na kuleta TCRA yalilenga kuondoa ukiritimba baada ya Shihata kuonekana kuipendelea serikali, jambo ambalo bado halijatimia kwa vile TCRA wameendelea kutumika .
Binafsi naunga mkono TCRA Kufutiliwa mbali.
Makaburu walileta maendeleo makubwa sana "at the expense of the citizens". Maendeleo ya vitu bila watu ni sufuri.Naunga mkono hoja, nchi inaendeshwa kidikiteta, lakini udikiteta wenyewe ni udikiteta wa kizalendo, a benevolent dictatorship, anafanya udikiteta kwa lengo la kuleta maendeleo kwa manufaa ya taifa.
Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!
P
Naunga mkono hoja, nchi inaendeshwa kidikiteta, lakini udikiteta wenyewe ni udikiteta wa kizalendo, a benevolent dictatorship, anafanya udikiteta kwa lengo la kuleta maendeleo kwa manufaa ya taifa.
Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!
P
NORTH KOREA HIYOOO INAKUJA
TUNARUDISHWA KWENYE ENZI
ZA GIZA!!!
Mimi pia nimemdharau sana huyu bwana kwa hiyo comment yake, halafu huwa anaandika madini sana , njaa hizi jamani!!Kaka Pascal Mayalla nakudharau sana
Pasi-kali(pascal) ulikosa maneno/majina ya kumpamba kiongoz wako mpaka umuite dikiteta?Naunga mkono hoja, nchi inaendeshwa kidikiteta, lakini udikiteta wenyewe ni udikiteta wa kizalendo, a benevolent dictatorship, anafanya udikiteta kwa lengo la kuleta maendeleo kwa manufaa ya taifa.
Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!
P
Malim Seif ni mwanasiasa mkubwa sana mwenye kuungwa mkono na Block karibu yote ambayo ni Pemba toka 1995 akiwa mgombea Urais kwa CUF na media hazijawahi kumkimbia au kutozwa faini kwa kumhoji.Kwani kila mtanzania anaona YouTube au umejitoa ufahamu hivo unaona sawa vyombo vya habari kutozwa faini sababu ya kumuhoji mgombea urais wa Tanzania. Nchi hii inakwamishwa na watu wenye mawazo kama yakwako.
Mkuu elewa Lissu anaropoka,huo ndo ukweli usiopingika,asipozuia mdomo wake atapunguza mvuto wa chama,mimi sio CCM.Yule yesu wenu wa lumumba anaharisha au ?.
Udikteta wa kuzuia vyombo vya habari unakupa faida gani wewe Mayala? Tukikubali mambo ya kijinga namna hii, kuna siku kiongozi atawaua raia halafu tutasifia kuwa mauaji ya kizalendo!!Naunga mkono hoja, nchi inaendeshwa kidikiteta, lakini udikiteta wenyewe ni udikiteta wa kizalendo, a benevolent dictatorship, anafanya udikiteta kwa lengo la kuleta maendeleo kwa manufaa ya taifa.
Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!
P
Njaa haina baunsaUdikteta wa kuzuia vyombo vya habari unakupa faida gani wewe Mayala? Tukikubali mambo ya kijinga namna hii, kuna siku kiongozi atawaua raia halafu tutasifia kuwa mauaji ya kizalendo!!
Sent using Jamii Forums mobile app