Pre GE2025 Lissu aishangaa CHADEMA ilimpokeaje Nyalandu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hivi kuna chama kina mipango thabiti au sera mahususi zinazogusa maslahi mapana ya wanachi wa kawaida?,kikaja na mipango thabiti inayohusu mageuzi makubwa ya nchi hii kwenye nyanja zote..,kiukweli naona mipasho ni mingi sana kwenye hivi vyamaa,kiukweli ninayotegemea kuyasikia siyasikii kabisaa
 
Lisu ana tatizo la afya ya akili toka alipojeruhiwa chadema wawe makini kabla hawajampa madaraka makubwa
Usiwastue.Walikuwa wanadai ni mzalendo kumbe kichaa.Na bado hayafika anapotaka kwenda.Hivi karibuni atapinga kupokewa kwa Marehemu Lowassa.
Waliokuwa wanamuunga mkono kwa kufuata herd thinking akili zimeanza kuwarudia.
 
Kwa taarifa yako nilimsifia na kumtetea Mbowe kabla ya ule upuuzi wa kumpokea Lowassa. Hata nafasi yake ya uenyekiti wake wakati ule alikuwa sahihi. Baada ya kosa lile tafuta popote nilimpotetea Mbowe. Ni haki yangu kutetea taasisi, na kuikosoa inapobidi Ili isonge mbele. Ulitaka nifanye kilichokuwa kwenye utashi wako?
 
Mkuu anzisha chama kiongee unayotaka, au ww unangoja wenzio waanzishe vyama lakini waongee utashi wako?
 
Chadema si wanachama, chadema ni Mbowe. Hakuna mwanachama atamnyooshea kidole Mbowe akabaki salama. Si unaona wanachadema wameanza mkataa lissu
 
Mbowe ndio Chadema hawezi ondoka, akiondoka chama kinakufa.
Upinzani sio Chama bali mtazamo. Taasisi inaweza kufa, lakini sio mtazamo. Ndio maana ccm imekuwa ikitumia raslimali za umma kuua vyama vinavyoisumbua, bila kufanikiwa kuteka nyoyo za wapinzani. Matokeo yake wizi wa kura ndio imebaki silaha yake kubwa.
 
Hapa naizungumzia chadema haiwezi survive bila mbowe hata wanazi wa chama wameshakubaliana na ilo wanasema wenyewe wanampa uenyekiti wa kudumu sababu wengine hawawaamini
 
Reactions: Tui
Lissu nadhani anataka kuwa celebrity badala ya kuwa politician.
 
Anakuja vyema na vina utata atasema walimpokeaje lowassa ukweli ukidhihiri uongo hujitenga!
 
Reactions: Tui
Kwanza rekebisha kauli sijakuwepo humu kuanzia 2017 nipo humu kuanzia 2009.
Ilo jina la mambio lisikupoteze.
Pia hata km ulipinga ujio wa Lowasa ila umekuwa king'ang'anizi na mbishi kila inapokuja hoja ya udhaifu wa Mbowe na CHADEMA kwa ujumla.
Kuhusu TISS kuanzisha chama kingine inawezekana ila sio sababu ya eti chadema ni tishio kwa Ccm.
TISS kazi yao ya kuiuwa chadema walishaimaliza tangu 2015 kwa kumletea Mbowe zigo la mavi alibebe yeye akaliita ni gia ya angani.
TISS hawana kazi tena na chama kilichokufa.
 
Mwenendo wa Lissu wa hivi karibuni unaanza kunitia mashaka Kama Lissu anafaa kuwa kiongozi wa nchi.

Inaonekana Lissu hana washauri wala role models wa kujifunza kutoka kwao.


Hili ni tatizo.
 
Mkuu anzisha chama kiongee unayotaka, au ww unangoja wenzio waanzishe vyama lakini waongee utashi wako?
Mkuu elewa ninachosema,kikubwa natamani majukwaa ya vyama vya upinzani kwenye majukwaa yao yawe na sera za kiuchumi, kama unaona suluhu ya hiki ninachosema ni kuanzisha kila mtu chama chake,baki na huo utashi wako..!
 
Mleta habari mpumbavu kweli, heading anaandika "Lissu aishangaa CHADEMA ilimpokeaje Nyalandu" wakati Lissu mwenyewe anasema anashangaa tulimpokeaje Nyalandu, lengo ni nini sasa?
 
Mwenendo wa Lissu wa hivi karibuni unaanza kunitia mashaka Kama Lissu anafaa kuwa kiongozi wa nchi.

Inaonekana Lissu hana washauri wala role models wa kujifunza kutoka kwao.


Hili ni tatizo.
Yes, nadhani uko sahihi. washauri wajaribu kumshauri nini cha kusema publicly na nini cha kusemea in camera!
 
Ni hapa Tanzania na Africa tu ndio kuna huu ujinga wa wanasiasa kuhama hama vyama.

Hawana misimamo ndio maana hata hayo maendeleo kuyapata ni kama tunasikia kwa wengine tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…