Pre GE2025 Lissu aishangaa CHADEMA ilimpokeaje Nyalandu

Pre GE2025 Lissu aishangaa CHADEMA ilimpokeaje Nyalandu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
View attachment 3012443
Akiendeleza kile tunachoita ukosoaji wa maamuzi nyeti ya chama chake yaliyopita kwenye mikono ya mwenyekiti Mbowe.

Lissu amehoji ilikuwaje mpaka Chadema ikampokea Nyalandu.

View attachment 3012526

Niwakumbushe Nyalandu ndio mbunge pekee wa CCM aliyeenda kumjulia hali Lissu akiwa hospital jijini Nairobi.

View attachment 3012350
View attachment 3012530
Aaache unafiki!mbona hakuzungumza kipindi kile Cha kumakaribisha Lowasa na huyo nyalandu !?anakuja kusema leo!!?

Awadanganye wajinga!
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Hapa naizungumzia chadema haiwezi survive bila mbowe hata wanazi wa chama wameshakubaliana na ilo wanasema wenyewe wanampa uenyekiti wa kudumu sababu wengine hawawaamini
Sina tatizo na mtazamo wa hao manazi, Wala matamanio yako.
 
Aaache unafiki!mbona hakuzungumza kipindi kile Cha kumakaribisha Lowasa na huyo nyalandu !?anakuja kusema leo!!?

Awadanganye wajinga!
Bado amezungungumza wakati sahihi kwani Yuko ndani ya cdm Hadi sasa. Huwa tanawapuuza wanaofunguka baada ya kununuliwa na ccm.
 
Kwa hili Lisu nampiga, Nyalandu alifanya kazi kubwa sn kipindi yeye akiwa mgonjwa,
This is immaterial kama alifanya kazi nzuri akiwa mgonjwa haimaanishi ndio alifanya au alifaa kuwa kiongozi au mmoja wao katika uongozi / kiitikadi..., Kumbuka hapa hatuongelei kumkaribisha nyumbani kwake na kumpa chai bali ni kwenye Chama / Kundi la watu wenye mawazo sawa ya jinsi gani nchi inaweza kuendeshaw
mchango wake ni mkubwa sn kwa CHADEMA.
Hio ndio point kama mchango wake ulikuwa mkubwa basi anastahili kuwa rafiki yao, lakini kama mawazo yao / fikra hazipo sawa basi hastahili kuwa kwenye Chama chao..., anaweza kutoka mchango wake akiwa nje...., Ingawa binafsi katika kujenga nchi sioni faida ya uadui katika Siasa
 
Kwanza rekebisha kauli sijakuwepo humu kuanzia 2017 nipo humu kuanzia 2009.
Ilo jina la mambio lisikupoteze.
Pia hata km ulipinga ujio wa Lowasa ila umekuwa king'ang'anizi na mbishi kila inapokuja hoja ya udhaifu wa Mbowe na CHADEMA kwa ujumla.
Kuhusu TISS kuanzisha chama kingine inawezekana ila sio sababu ya eti chadema ni tishio kwa Ccm.
TISS kazi yao ya kuiuwa chadema walishaimaliza tangu 2015 kwa kumletea Mbowe zigo la mavi alibebe yeye akaliita ni gia ya angani.
TISS hawana kazi tena na chama kilichokufa.
Sisi wengine hatuna I'd 2 mbili kama ww, hivyo naangalia I'd hii, sio hizo za kwako nyingine maana sizifahamu. Mbowe nilimtetea kabla ya ujio wa Lowassa maana taasisi ilikuwa inakuwa. Sikukubalina tu na kutokujenga ofisi yenye Hadhi ya chama hicho, na hili liko wazi kwenye post zangu za nyuma.

Hakuna popote nilipomsifia Wala kumtetea Mbowe baada ya ujio wa Lowassa. Isitoshe najua nimtetee Mbowe kwa lipi, na nimkosoe kwa lipi. Sina popote ninapowajibika kumtetea, kumponda au kumkosoa kwa utashi wako. Kwahiyo usinishurutishe kufanya kwa utashi wako kwa kutumia I'd hii ya sasa, ama hizo nyingine unazomiliki. Mimi I'd yangu ni hii hii ya Tindo, na msimamo wangu ni huu, sio kama wakwako unaohamahama kutokana na I'd unazotumia.
 
Mkuu elewa ninachosema,kikubwa natamani majukwaa ya vyama vya upinzani kwenye majukwaa yao yawe na sera za kiuchumi, kama unaona suluhu ya hiki ninachosema ni kuanzisha kila mtu chama chake,baki na huo utashi wako..!
Unalaumu udhaifu wa wenye uthubutu wa kaunzisha vyama kwa jambo lililo ndani ya uwezo wako?! Uhondo wa Ngoma ingia ucheze.
 
Ni hapa Tanzania na Africa tu ndio kuna huu ujinga wa wanasiasa kuhama hama vyama.

Hawana misimamo ndio maana hata hayo maendeleo kuyapata ni kama tunasikia kwa wengine tu.
Trump mpaka anaupata urais wa Marekani alikuwa ameshahama vyama mara tano.
 
Yes, nadhani uko sahihi. washauri wajaribu kumshauri nini cha kusema publicly na nini cha kusemea in camera!
Lissu anatakiwa awe makini sana asijikute yupo kwenye Kundi la Msema hovyo Kama kina Zitto na Mrema.

Ngoma ikilia sana hupasuka.
 
Sisi wengine hatuna I'd 2 mbili kama ww, hivyo naangalia I'd hii, sio hizo za kwako nyingine maana sizifahamu. Mbowe nilimtetea kabla ya ujio wa Lowassa maana taasisi ilikuwa inakuwa. Sikukubalina tu na kutokujenga ofisi yenye Hadhi ya chama hicho, na hili liko wazi kwenye post zangu za nyuma.

Hakuna popote nilipomsifia Wala kumtetea Mbowe baada ya ujio wa Lowassa. Isitoshe najua nimtetee Mbowe kwa lipi, na nimkosoe kwa lipi. Sina popote ninapowajibika kumtetea, kumponda au kumkosoa kwa utashi wako. Kwahiyo usinishurutishe kufanya kwa utashi wako kwa kutumia I'd hii ya sasa, ama hizo nyingine unazomiliki. Mimi I'd yangu ni hii hii ya Tindo, na msimamo wangu ni huu, sio kama wakwako unaohamahama kutokana na I'd unazotumia.
Tugange yajayo.

Nilipinga ujio wa Lowasa.
Nilikuwa kiongozi wa CDM wilaya fulani nikaachana.
2015 nikachagua Magufuli.
Mimi sio toy kuyumbishwa na wanasiasa wasio na misimamo

Chadema ile iliyokuwa imejengeka kitaasisi iliyoibua na kupinga ufisadi kila kona ya nchi angesimama yeyote isipokuwa makapi ya Ccm kugombea 2015 leo tungekuwa tunaongea mengine.
Mbowe alikula mpunga mrefu sana.
Hata mzalendo Magufuli alipowapiga ban na siasa zao za kipuuzi mimi niliona sawa tu.
 
This is immaterial kama alifanya kazi nzuri akiwa mgonjwa haimaanishi ndio alifanya au alifaa kuwa kiongozi au mmoja wao katika uongozi / kiitikadi..., Kumbuka hapa hatuongelei kumkaribisha nyumbani kwake na kumpa chai bali ni kwenye Chama / Kundi la watu wenye mawazo sawa ya jinsi gani nchi inaweza kuendeshaw

Hio ndio point kama mchango wake ulikuwa mkubwa basi anastahili kuwa rafiki yao, lakini kama mawazo yao / fikra hazipo sawa basi hastahili kuwa kwenye Chama chao..., anaweza kutoka mchango wake akiwa nje...., Ingawa binafsi katika kujenga nchi sioni faida ya uadui katika Siasa
Chama ni watu na huwezi kubagua
 
Kundi zima lililofuatana na Lowassa wakati huo, matumaini yao yalikuwa ni juu ya Lowassa na siyo juu ya CHADEMA!
Wote waliohamia chadema wakati wa Lowasa, matumaini yao hayakuwa Lowasa wala Chadema, bali walisukumwa na lengo la kupata ulaji (vyeo) ukiwemo ubunge.
 
Muda ni mwalimu mzuri Sana, unfortunately inakuwa too late, a window of opportunity has slipped or passed away with a sliding frame of time. Ule mwaka angepewa ugombea hata kijana mdogo mradi angetokea CHADEMA mle mle au yeyote toka chama chochote siyo waliotuhumiwa ufisadi mkubwa siasa za Tanzania zingechukua sura mpya na raisi toka chama kipya CHADEMA
Unaongea nini? Ule uchaguzi licha ya kuona Mbowe alifanya kosa ila Lowassa alishinda uchaguzi. Na tuongee ukweli tu angegombea Dr Slaa au Tundu Lissu sidhani kama wangemshinda JPM alikua na nguvu sana ule uchaguzi ila Lowassa pekee ndio neutralized JPM.

labda kosa ni kwamba tulimuita fisadi alafu tukampa ugombea mtu mchafu. Ila je alikua mgombea sahihi? Jibu ni ndio, na kama uchaguzi ungekua huru na haki Yeye na Maalim wangekuwa marais walau kwa awamu moja moja.

Narudia tena CCM haikushinda uchaguzi 2015
 
Kama Kuna kosa kubwa walifanya uongozi wa cdm ni kuwapokea wanasiasa maslahi wa ccm, the likes of Lowassa, Nyalandu, Msindai na takataka za aina hiyo. Mbowe angekuwa anajali uwajibikaji alipaswa kijiuzulu uenyekiti na kukiri kufanya makosa kwa kupokea hao wahuni, na kuwapa nafasi adhimu huko cdm.
Nyalandu aliacha ubunge na posho zake kujiunga Cdm Haina hata posho sidhani Kama ni maslahi

Ila hao wengine ni sawa walifuata maslahi
 
View attachment 3012443
Akiendeleza kile tunachoita ukosoaji wa maamuzi nyeti ya chama chake yaliyopita kwenye mikono ya mwenyekiti Mbowe.

Lissu amehoji ilikuwaje mpaka Chadema ikampokea Nyalandu.

View attachment 3012526

Niwakumbushe Nyalandu ndio mbunge pekee wa CCM aliyeenda kumjulia hali Lissu akiwa hospital jijini Nairobi.

View attachment 3012350
View attachment 3012530
Tundu lisu ana hekima ndogo sana ya kiungozi
Pia Hana ahukrani

Alipaswa ajutie kwanza kumpokea lOwasa aliyemweka kwenye list of shame ya chama chake

Sio Nyalandu aliyeacha ubunge na maslahi yake
 
Chama ni watu na huwezi kubagua
Chama ni muunganiko wa watu wenye fikra / mawazo sawa ili kuunganisha nguvu zao; Sauti ya mawazo yao iweze kusikika / kufanyiwa kazi sasa kama mtu una fikra tofauti kuwa Chama fulani ni kama maigizo au reality ya Vyama vya Tanzania Platform za Kupata Kura ili uende Kula...
 
View attachment 3012443
Akiendeleza kile tunachoita ukosoaji wa maamuzi nyeti ya chama chake yaliyopita kwenye mikono ya mwenyekiti Mbowe.

Lissu amehoji ilikuwaje mpaka Chadema ikampokea Nyalandu.

View attachment 3012526

Niwakumbushe Nyalandu ndio mbunge pekee wa CCM aliyeenda kumjulia hali Lissu akiwa hospital jijini Nairobi.

View attachment 3012350
View attachment 3012530
Lisu anapaswa kupimwa akili, inawezekana risasi zimemletea madhara kwenye mfumo wake wa akili

Ninachokumbuka mimi Nyalandu alijiuzuru ubunge akiwa Arusha na sababu yake kuu ni kupinga tukio la kutaka kumuuwa Lisu.

Kama leo Lisu anaongea huu upumbavu wacha nikae pembeni na siasa za Bongo zimejaa wapumbavu watupu tuliowaamini akiwemo Lisu
 
Back
Top Bottom