MWL RAMADHANI ATHUMANI
Member
- Jun 8, 2024
- 85
- 105
Aaache unafiki!mbona hakuzungumza kipindi kile Cha kumakaribisha Lowasa na huyo nyalandu !?anakuja kusema leo!!?View attachment 3012443
Akiendeleza kile tunachoita ukosoaji wa maamuzi nyeti ya chama chake yaliyopita kwenye mikono ya mwenyekiti Mbowe.
Lissu amehoji ilikuwaje mpaka Chadema ikampokea Nyalandu.
View attachment 3012526
Niwakumbushe Nyalandu ndio mbunge pekee wa CCM aliyeenda kumjulia hali Lissu akiwa hospital jijini Nairobi.
View attachment 3012350
View attachment 3012530
Sina tatizo na mtazamo wa hao manazi, Wala matamanio yako.Hapa naizungumzia chadema haiwezi survive bila mbowe hata wanazi wa chama wameshakubaliana na ilo wanasema wenyewe wanampa uenyekiti wa kudumu sababu wengine hawawaamini
Bado amezungungumza wakati sahihi kwani Yuko ndani ya cdm Hadi sasa. Huwa tanawapuuza wanaofunguka baada ya kununuliwa na ccm.Aaache unafiki!mbona hakuzungumza kipindi kile Cha kumakaribisha Lowasa na huyo nyalandu !?anakuja kusema leo!!?
Awadanganye wajinga!
Angesema kipindi kile tuone uhalisia was kauli zake!!Bado amezungungumza wakati sahihi kwani Yuko ndani ya cdm Hadi sasa. Huwa tanawapuuza wanaofunguka baada ya kununuliwa na ccm.
This is immaterial kama alifanya kazi nzuri akiwa mgonjwa haimaanishi ndio alifanya au alifaa kuwa kiongozi au mmoja wao katika uongozi / kiitikadi..., Kumbuka hapa hatuongelei kumkaribisha nyumbani kwake na kumpa chai bali ni kwenye Chama / Kundi la watu wenye mawazo sawa ya jinsi gani nchi inaweza kuendeshawKwa hili Lisu nampiga, Nyalandu alifanya kazi kubwa sn kipindi yeye akiwa mgonjwa,
Hio ndio point kama mchango wake ulikuwa mkubwa basi anastahili kuwa rafiki yao, lakini kama mawazo yao / fikra hazipo sawa basi hastahili kuwa kwenye Chama chao..., anaweza kutoka mchango wake akiwa nje...., Ingawa binafsi katika kujenga nchi sioni faida ya uadui katika Siasamchango wake ni mkubwa sn kwa CHADEMA.
Sisi wengine hatuna I'd 2 mbili kama ww, hivyo naangalia I'd hii, sio hizo za kwako nyingine maana sizifahamu. Mbowe nilimtetea kabla ya ujio wa Lowassa maana taasisi ilikuwa inakuwa. Sikukubalina tu na kutokujenga ofisi yenye Hadhi ya chama hicho, na hili liko wazi kwenye post zangu za nyuma.Kwanza rekebisha kauli sijakuwepo humu kuanzia 2017 nipo humu kuanzia 2009.
Ilo jina la mambio lisikupoteze.
Pia hata km ulipinga ujio wa Lowasa ila umekuwa king'ang'anizi na mbishi kila inapokuja hoja ya udhaifu wa Mbowe na CHADEMA kwa ujumla.
Kuhusu TISS kuanzisha chama kingine inawezekana ila sio sababu ya eti chadema ni tishio kwa Ccm.
TISS kazi yao ya kuiuwa chadema walishaimaliza tangu 2015 kwa kumletea Mbowe zigo la mavi alibebe yeye akaliita ni gia ya angani.
TISS hawana kazi tena na chama kilichokufa.
Unalaumu udhaifu wa wenye uthubutu wa kaunzisha vyama kwa jambo lililo ndani ya uwezo wako?! Uhondo wa Ngoma ingia ucheze.Mkuu elewa ninachosema,kikubwa natamani majukwaa ya vyama vya upinzani kwenye majukwaa yao yawe na sera za kiuchumi, kama unaona suluhu ya hiki ninachosema ni kuanzisha kila mtu chama chake,baki na huo utashi wako..!
Trump mpaka anaupata urais wa Marekani alikuwa ameshahama vyama mara tano.Ni hapa Tanzania na Africa tu ndio kuna huu ujinga wa wanasiasa kuhama hama vyama.
Hawana misimamo ndio maana hata hayo maendeleo kuyapata ni kama tunasikia kwa wengine tu.
Lissu anatakiwa awe makini sana asijikute yupo kwenye Kundi la Msema hovyo Kama kina Zitto na Mrema.Yes, nadhani uko sahihi. washauri wajaribu kumshauri nini cha kusema publicly na nini cha kusemea in camera!
Naona akili zimeanza kukukaa vizuri. Na bado mtavurugana huko mpaka mkomeKwa hili Lisu nampiga, Nyalandu alifanya kazi kubwa sn kipindi yeye akiwa mgonjwa, mchango wake ni mkubwa sn kwa CHADEMA.
Tugange yajayo.Sisi wengine hatuna I'd 2 mbili kama ww, hivyo naangalia I'd hii, sio hizo za kwako nyingine maana sizifahamu. Mbowe nilimtetea kabla ya ujio wa Lowassa maana taasisi ilikuwa inakuwa. Sikukubalina tu na kutokujenga ofisi yenye Hadhi ya chama hicho, na hili liko wazi kwenye post zangu za nyuma.
Hakuna popote nilipomsifia Wala kumtetea Mbowe baada ya ujio wa Lowassa. Isitoshe najua nimtetee Mbowe kwa lipi, na nimkosoe kwa lipi. Sina popote ninapowajibika kumtetea, kumponda au kumkosoa kwa utashi wako. Kwahiyo usinishurutishe kufanya kwa utashi wako kwa kutumia I'd hii ya sasa, ama hizo nyingine unazomiliki. Mimi I'd yangu ni hii hii ya Tindo, na msimamo wangu ni huu, sio kama wakwako unaohamahama kutokana na I'd unazotumia.
UWT kaeni kwa passwordNaona akili zimeanza kukukaa vizuri. Na bado mtavurugana huko mpaka mkome
Chama ni watu na huwezi kubaguaThis is immaterial kama alifanya kazi nzuri akiwa mgonjwa haimaanishi ndio alifanya au alifaa kuwa kiongozi au mmoja wao katika uongozi / kiitikadi..., Kumbuka hapa hatuongelei kumkaribisha nyumbani kwake na kumpa chai bali ni kwenye Chama / Kundi la watu wenye mawazo sawa ya jinsi gani nchi inaweza kuendeshaw
Hio ndio point kama mchango wake ulikuwa mkubwa basi anastahili kuwa rafiki yao, lakini kama mawazo yao / fikra hazipo sawa basi hastahili kuwa kwenye Chama chao..., anaweza kutoka mchango wake akiwa nje...., Ingawa binafsi katika kujenga nchi sioni faida ya uadui katika Siasa
Wote waliohamia chadema wakati wa Lowasa, matumaini yao hayakuwa Lowasa wala Chadema, bali walisukumwa na lengo la kupata ulaji (vyeo) ukiwemo ubunge.Kundi zima lililofuatana na Lowassa wakati huo, matumaini yao yalikuwa ni juu ya Lowassa na siyo juu ya CHADEMA!
Unaongea nini? Ule uchaguzi licha ya kuona Mbowe alifanya kosa ila Lowassa alishinda uchaguzi. Na tuongee ukweli tu angegombea Dr Slaa au Tundu Lissu sidhani kama wangemshinda JPM alikua na nguvu sana ule uchaguzi ila Lowassa pekee ndio neutralized JPM.Muda ni mwalimu mzuri Sana, unfortunately inakuwa too late, a window of opportunity has slipped or passed away with a sliding frame of time. Ule mwaka angepewa ugombea hata kijana mdogo mradi angetokea CHADEMA mle mle au yeyote toka chama chochote siyo waliotuhumiwa ufisadi mkubwa siasa za Tanzania zingechukua sura mpya na raisi toka chama kipya CHADEMA
Nyalandu aliacha ubunge na posho zake kujiunga Cdm Haina hata posho sidhani Kama ni maslahiKama Kuna kosa kubwa walifanya uongozi wa cdm ni kuwapokea wanasiasa maslahi wa ccm, the likes of Lowassa, Nyalandu, Msindai na takataka za aina hiyo. Mbowe angekuwa anajali uwajibikaji alipaswa kijiuzulu uenyekiti na kukiri kufanya makosa kwa kupokea hao wahuni, na kuwapa nafasi adhimu huko cdm.
Tundu lisu ana hekima ndogo sana ya kiungoziView attachment 3012443
Akiendeleza kile tunachoita ukosoaji wa maamuzi nyeti ya chama chake yaliyopita kwenye mikono ya mwenyekiti Mbowe.
Lissu amehoji ilikuwaje mpaka Chadema ikampokea Nyalandu.
View attachment 3012526
Niwakumbushe Nyalandu ndio mbunge pekee wa CCM aliyeenda kumjulia hali Lissu akiwa hospital jijini Nairobi.
View attachment 3012350
View attachment 3012530
Chama ni muunganiko wa watu wenye fikra / mawazo sawa ili kuunganisha nguvu zao; Sauti ya mawazo yao iweze kusikika / kufanyiwa kazi sasa kama mtu una fikra tofauti kuwa Chama fulani ni kama maigizo au reality ya Vyama vya Tanzania Platform za Kupata Kura ili uende Kula...Chama ni watu na huwezi kubagua
Lisu anapaswa kupimwa akili, inawezekana risasi zimemletea madhara kwenye mfumo wake wa akiliView attachment 3012443
Akiendeleza kile tunachoita ukosoaji wa maamuzi nyeti ya chama chake yaliyopita kwenye mikono ya mwenyekiti Mbowe.
Lissu amehoji ilikuwaje mpaka Chadema ikampokea Nyalandu.
View attachment 3012526
Niwakumbushe Nyalandu ndio mbunge pekee wa CCM aliyeenda kumjulia hali Lissu akiwa hospital jijini Nairobi.
View attachment 3012350
View attachment 3012530