CCM MKAMBARANI
JF-Expert Member
- Mar 15, 2017
- 2,031
- 1,514
Una mikwara..Kiswahili kigumu.
Nikisema kuwa Kenyatta alikuja kuwa rais wa Kenya ina maana mimi lazima niwe Mkenya au nipo Kenya.
Mimi kamanda kabla ya CHADEMA haijazaliwa. Nimevaa khaki suit na Cocoa Tea.
Unamjua Cocoa Tea wewe?
Cc ErythrocyteKama Kuna kosa kubwa walifanya uongozi wa cdm ni kuwapokea wanasiasa maslahi wa ccm, the likes of Lowassa, Nyalandu, Msindai na takataka za aina hiyo. Mbowe angekuwa anajali uwajibikaji alipaswa kijiuzulu uenyekiti na kukiri kufanya makosa kwa kupokea hao wahuni, na kuwapa nafasi adhimu huko cdm.
Ili iweje?
Hilo unajua ww.Mbowe aache family business?
Biashara zake zilikwama zoteSijui mkuu 'Benjamini Neta', kama Lissu kakosea au la kuhusu Nyalandu. Huenda kuna mambo mengi ndani ya CHADEMA yanachangia kuhusu mikanganyiko yote hii.
Inawezekana Nyalandu alikwenda CHADEMA kwa kutopenda yaliyokuwa yanatokea ndani ya chama chake CCM wakati huo. Alipofika CHADEMA kagundua kuwa mambo hayakuwa kama alivyotegemea ndani ya chama hicho.
LOOOooh. Pole yake. Asikate tamaa, hiyo ndiyo hali ya maisha ilivyo.Biashara zake zilikwama zote
Si mikwara, maisha yangu hayo.Una mikwara..
Vizuri sanaSi mikwara, maisha yangu hayo.
Lissu inaonekana hana washauriNi katika mwendelezo wa yale ya mabilioni kwa Magufuli, kumsema Mwalimu Nyerere kuwa mdanganyifu, n.k.,
Haya ni mambo yasiyomletea heshima hata kidogo.
Kama ushahidi upo kuhusu tuhuma husika, atumie hadhara maalum na kwa wakati mahsusi kuibua maswala ya aina hii. Siyo katika mikutano ya kuwaelimisha wananchi wajue wajibu na haki zao.
Anaivuruga kazi yake nzuri aliyolenga kuifanya.
Dr Slaa ndiye mzalendo wa Kweli
Aliamua kujiweks pembeni akina Lowasa walipokaribishwa jikoni
Wafweya🤣🤣🙌View attachment 3012443
Akiendeleza kile tunachoita ukosoaji wa maamuzi nyeti ya chama chake yaliyopita kwenye mikono ya mwenyekiti Mbowe.
Lissu amehoji ilikuwaje mpaka Chadema ikampokea Nyalandu.
View attachment 3012526
Niwakumbushe Nyalandu ndio mbunge pekee wa CCM aliyeenda kumjulia hali Lissu akiwa hospital jijini Nairobi.
View attachment 3012350
View attachment 3012530