Pre GE2025 Lissu aishangaa CHADEMA ilimpokeaje Nyalandu

Pre GE2025 Lissu aishangaa CHADEMA ilimpokeaje Nyalandu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kiswahili kigumu.

Nikisema kuwa Kenyatta alikuja kuwa rais wa Kenya ina maana mimi lazima niwe Mkenya au nipo Kenya.

Mimi kamanda kabla ya CHADEMA haijazaliwa. Nimevaa khaki suit na Cocoa Tea.

Unamjua Cocoa Tea wewe?
Una mikwara..
 
Kama Kuna kosa kubwa walifanya uongozi wa cdm ni kuwapokea wanasiasa maslahi wa ccm, the likes of Lowassa, Nyalandu, Msindai na takataka za aina hiyo. Mbowe angekuwa anajali uwajibikaji alipaswa kijiuzulu uenyekiti na kukiri kufanya makosa kwa kupokea hao wahuni, na kuwapa nafasi adhimu huko cdm.
Cc Erythrocyte
 
Sijui mkuu 'Benjamini Neta', kama Lissu kakosea au la kuhusu Nyalandu. Huenda kuna mambo mengi ndani ya CHADEMA yanachangia kuhusu mikanganyiko yote hii.
Inawezekana Nyalandu alikwenda CHADEMA kwa kutopenda yaliyokuwa yanatokea ndani ya chama chake CCM wakati huo. Alipofika CHADEMA kagundua kuwa mambo hayakuwa kama alivyotegemea ndani ya chama hicho.
Biashara zake zilikwama zote
 
Ni katika mwendelezo wa yale ya mabilioni kwa Magufuli, kumsema Mwalimu Nyerere kuwa mdanganyifu, n.k.,
Haya ni mambo yasiyomletea heshima hata kidogo.
Kama ushahidi upo kuhusu tuhuma husika, atumie hadhara maalum na kwa wakati mahsusi kuibua maswala ya aina hii. Siyo katika mikutano ya kuwaelimisha wananchi wajue wajibu na haki zao.
Anaivuruga kazi yake nzuri aliyolenga kuifanya.
Lissu inaonekana hana washauri
 
View attachment 3012443
Akiendeleza kile tunachoita ukosoaji wa maamuzi nyeti ya chama chake yaliyopita kwenye mikono ya mwenyekiti Mbowe.

Lissu amehoji ilikuwaje mpaka Chadema ikampokea Nyalandu.

View attachment 3012526

Niwakumbushe Nyalandu ndio mbunge pekee wa CCM aliyeenda kumjulia hali Lissu akiwa hospital jijini Nairobi.

View attachment 3012350
View attachment 3012530
Wafweya🤣🤣🙌

Ndugu haya ni mambo yetu tuachee; kinapigwa kilugha kitamu sana hapa😀
 
Back
Top Bottom