noma sanaWatu wenye vifijo na bashasha za kila aina wamemsubiri Tundu Lissu tangu asubuhi uwanja wa Mashujaa. Hawataki kunyamazishwa na mtu waimba rais, rais, rais duh Lissu ni ana mvuto.
https://www.jamiiforums.com/data/attachment-files/2020/09/2535222_BdH_lQCAKL9EjZkc.mp4
Ni kosa lakini Armstadam si yupo kwaajili ya kutetea wavunjifu wa sheria.Hatari sana. Lakini vipi kisheria imekaaje mpaka giza limeingia si kosa?
Hatari sana. Lakini vipi kisheria imekaaje mpaka giza limeingia si kosa?
Uko sahihi kabisa. Barabara zilifungwa na watu walijaa hadi barabara zote za kuingia uwanjani.Huyu Mwamba ni kiboko.
Naambiwa Lissu alipaswa kuwa na mkutano Moshi mjini saa tisa mchana, watu wakaanza kumsubiria toka asubuhi uwanjani, kufika saa kumi jioni bado hajafika Moshi mjini(maana msafara wake ulikuwa unasimamishwa njiani na wananchi wakitaka kumuona na kumsikia), joto la mashabiki likawa linazidi kupanda, Polisi ikabidi wafunge barabara za karibu na uwanja ili kupunguza foleni za magari na kupunguza msongamano kukaribia uwanja.
Naambiwa ameombwa na polisi waliokuwa wakilinda doria hapo uwanjani afike tu awasalimie na kuwaomba watawanyike ili watu waliokuwa wakimsubiria waridhike na waende majumbani. Nguvu ya polisi isingeweza kuwaondoa kirahisi hao watu walioapa kukesha hapo uwanjani na barabarani mpaka wamuone Lissu na kumsikia.Hatari sana. Lakini vipi kisheria imekaaje mpaka giza limeingia si kosa?
Amini usiamini,Watu wenye vifijo na bashasha za kila aina wamemsubiri Tundu Lissu tangu asubuhi uwanja wa Mashujaa. Hawataki kunyamazishwa na mtu waimba rais, rais, rais duh Lissu ni ana mvuto.
https://www.jamiiforums.com/data/attachment-files/2020/09/2535222_BdH_lQCAKL9EjZkc.mp4
Magufuli kapoteza kura nyingi Sana baada ya Ujio wa Lissuhatariiii sna lissuu una kura zangu tatu mbili kutoka kwa watu wawili nmekula nao sahani moja wamegair kupiga kwa magufuli wameanza kumchukia kuliko mimi niliyewashawishi