Uchaguzi 2020 Lissu akamilisha ujazaji wa fomu za Urais Tanzania

Uchaguzi 2020 Lissu akamilisha ujazaji wa fomu za Urais Tanzania

Hivi nimakundi gani hasa yenye ushawishi ktk jamii yanayomuunga mkono Lissu.
Anaota kwenda ikulu kwa kura zipi hasa, maana idadi ya watu waliohamia ccm ndani ya miaka mitano si ya kubezwa.
Basi atashinda MAGUFULI tulia usitufokee kuandika kwenyewe tu haujui vizuri
 
Twende kazi sasa!!![emoji91][emoji91][emoji91]

Huku Lissu na Nguvu ya Umma, huku Kigogo 2014 na mautaalam yake ya IT.

Niko Tayari kubeti na yeyote yule. Magu hashindi uraisi mwaka huu!!!
Kigogo karudi mjini?
 
Mungu Baba wa Mbinguni aliyemponya mja wake kwenye tukio baya kabisa la kushambuliwa kwa risasi, tunakuomba tena na tena Mungu Baba wa Mbinguni ukawe na mja wako huyu katika safari yake ya kutafuta kibali machoni pako cha kuwatumikia wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. AMINA
 
Kama kuna sehemu ya kuweka nukta kwenye form na akuweka hiyo form itakuwa ni batili.ngoja sasa ataona mziki wake.
 
Mungu akutangulie na akulinde, Mh, Lissu ututoe kwenye MATESO ya CCM ya Magufuli /Wasiojulikana
#NIYEYE
#LISSURAIS2020
 
Hivi nimakundi gani hasa yenye ushawishi ktk jamii yanayomuunga mkono Lissu.
Anaota kwenda ikulu kwa kura zipi hasa, maana idadi ya watu waliohamia ccm ndani ya miaka mitano si ya kubezwa.
Tupe idadi siyo unaleta mhemko wa kiccm hapa.
 
Kila lakher kamanda lissu Mwenyezi Mungu akutangulie na hakika tupo pamoja katika kuitafuta Tanzania tunayoitaka.
 
Back
Top Bottom