Bado.....Zanzibar ameenda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado.....Zanzibar ameenda?
Form yake ya mwisho itakua ya kukubali matokeoTUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwenye Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020, amekamilisha hatua za mwisho za ujazaji fomu za uteuzi kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Leo Ijumaa tarehe 21 Agosti 2020, Lissu akiambatana na mgombea mwenza, Salum Mwalimu, wamefika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam, kwa ajili ya hatua ya mwisho ya kisheria ya ujazaji wa fomu zao za kugombea.
Akizungumza baada ya kukamilisha hatua hiyo, Lissu amesema wamefika katika mahakama hiyo kula kiapo cha ujazaji wa fomu hizo.
“Mimi ni mteule wa CHADEMA kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Salum anagombea makamo wa rais, taratibu ya sheria ya uchaguzi baada ya kutafuta wadhamini.”
“Kinachofuata ule kiapo mbele ya Jaji Mkuu, ukija kula kiapo kama sehemu ya kukamilisha ujazaji fomu ya uteuzi wa kugombea kinachofuata ni safari ya Dodoma kuwasiliha fomu za uteuzi siku ya Jumanne,” amesema Lissu.
Uteuzi wa wagombea urais itafanyika tarehe 25 Agosti 2020 Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jijini Dodoma.
Baada ya uteuzi wa wagombea, kampeni za uchaguzi huo zitafanyika kuanzia tarehe 26 Agosti hadi 27 Oktoba 2020.
Wewe huna unachojuwa kumbe wakati yupo tanga hujuwi kwamba alienda Zanzibar na kurudi.Zanzibar ameenda? Lazime adhaminiwe na mikoa miwili huko
Kama ameenda nifahamishe tu nijue, Wala huna haja ya swali juu ya swali.Magufuli umeona ameenda popote?
1 milUnaweka nini?
TunawaombeaTUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwenye Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020, amekamilisha hatua za mwisho za ujazaji fomu za uteuzi kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Leo Ijumaa tarehe 21 Agosti 2020, Lissu akiambatana na mgombea mwenza, Salum Mwalimu, wamefika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam, kwa ajili ya hatua ya mwisho ya kisheria ya ujazaji wa fomu zao za kugombea.
Akizungumza baada ya kukamilisha hatua hiyo, Lissu amesema wamefika katika mahakama hiyo kula kiapo cha ujazaji wa fomu hizo.
“Mimi ni mteule wa CHADEMA kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Salum anagombea makamo wa rais, taratibu ya sheria ya uchaguzi baada ya kutafuta wadhamini.”
“Kinachofuata ule kiapo mbele ya Jaji Mkuu, ukija kula kiapo kama sehemu ya kukamilisha ujazaji fomu ya uteuzi wa kugombea kinachofuata ni safari ya Dodoma kuwasiliha fomu za uteuzi siku ya Jumanne,” amesema Lissu.
Uteuzi wa wagombea urais itafanyika tarehe 25 Agosti 2020 Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jijini Dodoma.
Baada ya uteuzi wa wagombea, kampeni za uchaguzi huo zitafanyika kuanzia tarehe 26 Agosti hadi 27 Oktoba 2020.
Hivi nimakundi gani hasa yenye ushawishi ktk jamii yanayomuunga mkono Lissu.
Anaota kwenda ikulu kwa kura zipi hasa, maana idadi ya watu waliohamia ccm ndani ya miaka mitano si ya kubezwa.
[emoji2][emoji2]Tuko pamoja na ww rais Tundu Lissu
Haoti bali atakwenda Ikulu kwa kura za Watanzania wote waliochoka na uongozi mbovu wa Serikali ya Chama tawala kibovu ikiwa ni pamoja na wanachama wa CCM hasa wale walioenguliwa na wafuasi wao. Hakuna kiongozi yeyote dunia nzimà anayeingia madarakani kwa kura za wanachama wa Chama chake pekee hata wasio na Chama chochote kikatiba wanaruhusiwa mradi wamejiandikisha. Pamoja na ujinga tunaouona kati yetu, itashangaza kuona Wafanyakazi wa Serikali ambao miaka 5 ya Awamu ya Tano walinyimwa nyongeza za mishahara yao watakipigia kura CCM tena wanyimwe nyongeza miaka 5 mingine. Wafanyakazi na wanaowategemea ni kundi moja muhimu lingine ni la wafanya biashara ilibidi wafunge biashara zao Awamu hii sasa wanaishi kama mashetani bila vipato nao sioni wanapanga foleni kumpigia kura mgombea yeyote wa CCM. Mimi na wa nyumba yangu, Mh. Tundu A. Lissu Ikulu!Hivi nimakundi gani hasa yenye ushawishi ktk jamii yanayomuunga mkono Lissu.
Anaota kwenda ikulu kwa kura zipi hasa, maana idadi ya watu waliohamia ccm ndani ya miaka mitano si ya kubezwa.
Shetani na malaika zake wanaomwabudu hawapendi kusikia habari njema kama hiziSafi sana!
Mungu aliyempa uponyaji na aliyeliponya taifa na corona anaenda kufanya tena miujiza yake kitaifa kupitia Lissu[emoji2][emoji2]
Ila bado kura mkuu
Au unasemaje..
Kila la kheri kwa na hongera kwa Lissu kwa mzunguko wenye mafanikio makubwa, nafikiri sasa hata kama uchaguzi ungekuwa wiki ijayo basi Lissu angeshinda bila wasiwasi.TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwenye Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020, amekamilisha hatua za mwisho za ujazaji fomu za uteuzi kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Leo Ijumaa tarehe 21 Agosti 2020, Lissu akiambatana na mgombea mwenza, Salum Mwalimu, wamefika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam, kwa ajili ya hatua ya mwisho ya kisheria ya ujazaji wa fomu zao za kugombea.
Akizungumza baada ya kukamilisha hatua hiyo, Lissu amesema wamefika katika mahakama hiyo kula kiapo cha ujazaji wa fomu hizo.
“Mimi ni mteule wa CHADEMA kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Salum anagombea makamo wa rais, taratibu ya sheria ya uchaguzi baada ya kutafuta wadhamini.”
“Kinachofuata ule kiapo mbele ya Jaji Mkuu, ukija kula kiapo kama sehemu ya kukamilisha ujazaji fomu ya uteuzi wa kugombea kinachofuata ni safari ya Dodoma kuwasiliha fomu za uteuzi siku ya Jumanne,” amesema Lissu.
Uteuzi wa wagombea urais itafanyika tarehe 25 Agosti 2020 Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jijini Dodoma.
Baada ya uteuzi wa wagombea, kampeni za uchaguzi huo zitafanyika kuanzia tarehe 26 Agosti hadi 27 Oktoba 2020.
Duuuh kumbe bado siku chache sana, hahahahaha! Sasa wale wasiopenda lugha Kali mtajuta, labda mlikate jina lake.TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwenye Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020, amekamilisha hatua za mwisho za ujazaji fomu za uteuzi kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Leo Ijumaa tarehe 21 Agosti 2020, Lissu akiambatana na mgombea mwenza, Salum Mwalimu, wamefika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam, kwa ajili ya hatua ya mwisho ya kisheria ya ujazaji wa fomu zao za kugombea.
Akizungumza baada ya kukamilisha hatua hiyo, Lissu amesema wamefika katika mahakama hiyo kula kiapo cha ujazaji wa fomu hizo.
“Mimi ni mteule wa CHADEMA kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Salum anagombea makamo wa rais, taratibu ya sheria ya uchaguzi baada ya kutafuta wadhamini.”
“Kinachofuata ule kiapo mbele ya Jaji Mkuu, ukija kula kiapo kama sehemu ya kukamilisha ujazaji fomu ya uteuzi wa kugombea kinachofuata ni safari ya Dodoma kuwasiliha fomu za uteuzi siku ya Jumanne,” amesema Lissu.
Uteuzi wa wagombea urais itafanyika tarehe 25 Agosti 2020 Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jijini Dodoma.
Baada ya uteuzi wa wagombea, kampeni za uchaguzi huo zitafanyika kuanzia tarehe 26 Agosti hadi 27 Oktoba 2020.
Mbona Magufuli au Membe hawajaenda popote na uulizi swali kama hilo ?Zanzibar ameenda? Lazime adhaminiwe na mikoa miwili huko
Kigogo 2014 amefufua account yake ?Twende kazi sasa!!![emoji91][emoji91][emoji91]
Huku Lissu na Nguvu ya Umma, huku Kigogo 2014 na mautaalam yake ya IT.
Niko Tayari kubeti na yeyote yule. Magu hashindi uraisi mwaka huu!!!
Unajitekenya mwenyewe, unacheka. Ya Lissu mwachie mwenyewe. Kwaninj unateseka?Hivi nimakundi gani hasa yenye ushawishi ktk jamii yanayomuunga mkono Lissu.