Uchaguzi 2020 Lissu akamilisha ujazaji wa fomu za Urais Tanzania

Form yake ya mwisho itakua ya kukubali matokeo
 
Tunawaombea
 
Hivi nimakundi gani hasa yenye ushawishi ktk jamii yanayomuunga mkono Lissu.
Anaota kwenda ikulu kwa kura zipi hasa, maana idadi ya watu waliohamia ccm ndani ya miaka mitano si ya kubezwa.

Baba na Shangazi zako
 
Kazi ndio inaanzia ya kujianika na kuanikwa,

Niko Na Magufuli mwanzo mwisho
 
Hivi nimakundi gani hasa yenye ushawishi ktk jamii yanayomuunga mkono Lissu.
Anaota kwenda ikulu kwa kura zipi hasa, maana idadi ya watu waliohamia ccm ndani ya miaka mitano si ya kubezwa.
Haoti bali atakwenda Ikulu kwa kura za Watanzania wote waliochoka na uongozi mbovu wa Serikali ya Chama tawala kibovu ikiwa ni pamoja na wanachama wa CCM hasa wale walioenguliwa na wafuasi wao. Hakuna kiongozi yeyote dunia nzimà anayeingia madarakani kwa kura za wanachama wa Chama chake pekee hata wasio na Chama chochote kikatiba wanaruhusiwa mradi wamejiandikisha. Pamoja na ujinga tunaouona kati yetu, itashangaza kuona Wafanyakazi wa Serikali ambao miaka 5 ya Awamu ya Tano walinyimwa nyongeza za mishahara yao watakipigia kura CCM tena wanyimwe nyongeza miaka 5 mingine. Wafanyakazi na wanaowategemea ni kundi moja muhimu lingine ni la wafanya biashara ilibidi wafunge biashara zao Awamu hii sasa wanaishi kama mashetani bila vipato nao sioni wanapanga foleni kumpigia kura mgombea yeyote wa CCM. Mimi na wa nyumba yangu, Mh. Tundu A. Lissu Ikulu!
 
Kila la kheri kwa na hongera kwa Lissu kwa mzunguko wenye mafanikio makubwa, nafikiri sasa hata kama uchaguzi ungekuwa wiki ijayo basi Lissu angeshinda bila wasiwasi.
 
Duuuh kumbe bado siku chache sana, hahahahaha! Sasa wale wasiopenda lugha Kali mtajuta, labda mlikate jina lake.
 
Twende kazi sasa!!![emoji91][emoji91][emoji91]

Huku Lissu na Nguvu ya Umma, huku Kigogo 2014 na mautaalam yake ya IT.

Niko Tayari kubeti na yeyote yule. Magu hashindi uraisi mwaka huu!!!
Kigogo 2014 amefufua account yake ?
 
Hivi nimakundi gani hasa yenye ushawishi ktk jamii yanayomuunga mkono Lissu.
Anaota kwenda ikulu kwa kura zipi hasa, maana idadi ya watu waliohamia ccm ndani ya miaka mitano si ya kubezwa.
Unajitekenya mwenyewe, unacheka. Ya Lissu mwachie mwenyewe. Kwaninj unateseka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…