Lissu akishinda tunatarajia CCM italazimika kuibua akiba yake ya makada wenye akili. Machawa nafasi yao inaweza kuwa hatarini

Kwa nini mnamuogopa Lissu.
Ujio wa Lissu na Heche sio wa kitoto, lazima ccm watafute Mgombea makini , mipango ya ccm imekufa ghafla , nakuanza kujipanga upya sio leo tena,

Kamati ya siasa ya ccm ipo ICU ,hili upende usipende hali mbaya sana ccm, hesabu zao zimekwama vibaya sana
 
Akili mgando hizi. Eti unajiita doctor na una phd kabisa. Ubelgiji hakwenda kutibiwa? Shida wanasiasa/viongozi wa Tanzania hawataki mawazo tofauti na ya kwao.
Kutibiwa hadi ashindikizwe na Balozi tena baada ya kumaliza uchaguzi ..atakuwa anamatibabu special huyu.
 
relax na ufuatilie mambo kwa utulivu na ukaribu zaidi, itakusaiadia sana kuongeza uelewa na ufahamu wa mambo haya ya siasa gentleman πŸ’
Wewe unao huo uelewa wa siasa ndugu chawa ?
 
Hebu tutajie makada watano waliopo CCM wenye akili tufanye ulinganifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…