ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
Kwakweli 😅 !Yaani na iwe mabadiliko yenye kutufaa nasi huku mbali bushbush huku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakweli 😅 !Yaani na iwe mabadiliko yenye kutufaa nasi huku mbali bushbush huku.
Kwa muda mrefu wanaccm mlioko humu mlitamani Mbowe aondoke na asigombee uenyekiti vipi leo mnatamani ashinde? au ni mtu wenu.Kamwe na katu lissu hawezi kushinda Uenyekiti wa CHADEMA
Kwa muda mrefu wanaccm mlioko humu mlitamani Mbowe aondoke vipi leo mnatamani ashinde?.
We nani ndani ya cKamwe na katu lissu hawezi kushinda Uenyekiti wa CHADEMA
Ccm wamejaa kwenye mfumo ,walicheza mchezo flani sass kimewalamba, iyo kambi inaenda kuwa ,na turajie mabadiloko makubwa ya siasa za nchi hiiCCM hawawezi kubali hili litokee. Ngoja tuone
Ujio wa Lissu na Heche sio wa kitoto, lazima ccm watafute Mgombea makini , mipango ya ccm imekufa ghafla , nakuanza kujipanga upya sio leo tena,Kwa nini mnamuogopa Lissu.
Mwenyekit ndo kila kitu bwasheeUkisoma post za watu unaweza kudhani Lisu hakuwa kiongozi mkubwa wa Chadema.
Kutibiwa hadi ashindikizwe na Balozi tena baada ya kumaliza uchaguzi ..atakuwa anamatibabu special huyu.Akili mgando hizi. Eti unajiita doctor na una phd kabisa. Ubelgiji hakwenda kutibiwa? Shida wanasiasa/viongozi wa Tanzania hawataki mawazo tofauti na ya kwao.
Huyu naye PHD...maajabu makubwa hayaTusubili [emoji735] Tusubiri [emoji736]
CCM Wanamchukulia Mbowe kama Punch Bag washamzoea, wanamjua vilivyo
Kwa kujipachika PHD ya jalalan au?????Akili mgando hizi kwa mtu unayeonekana ni intellectual siyo sawa hata kidogo.
Jinga kabisa wewe. Yamkini hata wenye ccm yao hawakutambui. Kichwani mwako kumejaa kamasi tu....idiot!Kamwe na katu lissu hawezi kushinda Uenyekiti wa CHADEMA
Wewe unao huo uelewa wa siasa ndugu chawa ?relax na ufuatilie mambo kwa utulivu na ukaribu zaidi, itakusaiadia sana kuongeza uelewa na ufahamu wa mambo haya ya siasa gentleman 🐒
jifunze bila manung"uniko gentleman itakusaidia sanaWewe unao huo uelewa wa siasa ndugu chawa ?
