Uchaguzi 2020 Lissu akishinda urais, nchi italipuka kwa shangwe isiyo ya kawaida

Hilo ndilo tatizo lenu kwamba wanaohudhuria mikutano ya wapinzani sio wapiga kura, ila wakihudhuria mikutano ya ccm wanakuwa wapiga kura that's pathetic.

Hao wapiga kura ambao hawahudhurii mikutano unajuaje kama ni wafuasi wa ccm?

Acha kuwaza kwa kutumia tumbo
 
bahati mbaya ni kwamba hatashinda.

ila natamani angeshinda halafu nione akitengeneza ajira kama anavyobwabwaja.

akiongeza mishahara mikubwa bila kukusanya kodi kandamizi kama anavyopenda kuzungumza.

akiboresha elimu tena akiitoa bure kama anavyotamka kwa sauti ya juu.

tatizo urais sio kama kombe la shirikisho.
 
Wewe wasema. Mungu ameshasema, Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025 ni Tundu Antiphas Lissu
 
CCM wajinga sana kwa iyo umejuaje Kama wanaohudhuria mikutano ya chadema sio wapigakura????

Huo upuuzi muishie kudanganyana huko Lumumba
 
Yani Lisu ashinde urais?

Wa wasafi ama?
Hawa jamaa wamemwagwa kwenye mitandao ya kijamii, kazi yao ni propaganda. Kuaminisha Lissu anakubalika kila pembe ya nchi hii. Fuatilia thread zinazoanzishwa humu asilimia kubwa zinaongelea mapokezi ya Lissu.
 
Wajiandae kisaikolojia Magufuli ndiyo Rais wa Tanzania
 
Hawa jamaa wamemwagwa kwenye mitandao ya kijamii, kazi yao ni propaganda. Kuaminisha Lissu anakubalika kila pembe ya nchi hii. Fuatilia thread zinazoanzishwa humu asilimia kubwa zinaongelea mapokezi ya Lissu.
Kwani thread zenu zinahusu nini??? Chadema isiyo na pesa za kutosha inawezaje kumwaga watu humu???

Watu tofauti humu wanaiunga mkono chadema na hawajulikani hata na viongozi wa Chadema. Ni mapenzi yao tu na kweli. Lumumba mtateseka sana mwaka huu 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…