Uchaguzi 2020 Lissu akishinda urais, nchi italipuka kwa shangwe isiyo ya kawaida

CCM watavuna walichopanda.

Tutawaadhibu kupitia Sanduku la Kura.

Tunaiomba NEC isichezee Sanduku la Kura.

Sanduku la Kura ni vizuri likaheshimiwa.
Wakicheza nalo na kufanya nalo uhanithi, hatua zipi zinafaa kuchukuliwa ili kuwatia adabu ?
 
Siku hiyo ikulu itafurika maana wakumpa mkono wa pongezi ni wengi nikiwemo mimi mwenyewe na wana ccm wenzagu tunaopinga utawala huu wa manyanyaso na ukandamizwaji wa haki za watu
 
Endelea kuota ndoto yako
 
Natamani kila mtanzania asikilize ilani za chadema na kampeni za lissu alafu wafanye maamuzi kupitia hizo, hata kama unamchukia vipi ukisikiliza mipango na maadhimio yake, hakika utampigia kura
 
Msikikize anachoongea alafu kiingize katika maisha halisi ya mtanzania uone kama hautampigia kura, tatizo hamsikilizi mnaleta mihemko tuu
 
Wakifa wahuni haina shidaa hata wafe mia ili kulinda amani ya watu milion 60
Waovu wakitawala nchi huugua.. Lkn wenye haki wakitawala nchi huinuka.....

Magufuli akitangazwa itakua msiba mkubwa sn kwa taifa kuliko hata kifo cha baba wa taifa
 
Mwalimu aliwahi kusema hatuwezi kuiachia nchi ma mbwa. Nadhani ulikuwa hujazaliwa.
 
Waovu wakitawala nchi huugua.. Lkn wenye haki wakitawala nchi huinuka.....

Magufuli akitangazwa itakua msiba mkubwa sn kwa taifa kuliko hata kifo cha baba wa taifa
Utakuwa msiba kwa WAHUNI aka WAZEE wa FARAGHA Ila kwa wazalendooo ni Shrehe
 
Namna magufuli alivyoongoza watanzania kwa fujo uonezi ukali visasi asubuhi mapemaaa watu wanaenda kumpatiliza sawasawa na alivyowafanyia.
 
Hahahahaaaaaa huwa ni kichekesho sana siku ya kutangaza matokeo, utaona tu dalili jinsi maandalizi ya jukwa yatakavyokuwa yatakupa picha ya nani ni mshindi
 
Utakuwa msiba kwa WAHUNI aka WAZEE wa FARAGHA Ila kwa wazalendooo ni Shrehe
Waovu wakitawala nchi huugua.. Lkn wenye haki wakitawala nchi huinuka.....

Magufuli akitangazwa itakua msiba mkubwa sn kwa taifa kuliko hata kifo cha baba wa taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…