Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 10,592
- 15,404
Tulichokua tumetabiri sisi wengine aina ya Mashahidi wa Lissu katika kujenga kesi yake ndiyo kilichotokea na Leo Tundu Lissu ameomba kufunga Ushahidi hivyo kesi pande zote ushahidi umefungwa na Jumatano tarehe 23/09/2026 ni Final Submission kwa pande zote Final Submission inaweza kuwa ya Mdomo/Oral au maandishi hivyo baada ya Final Submission/Majumuisho ya Mwisho na kila upande unakua na hiari kuwasilisha au kutowasilisha, Mahakama itapanga siku ya hukumu na huko kutakua ndiyo Mwisho wa Kesi hii.