Lissu akubali yaishe Afunga Ushahidi tarehe 23 Majumuisho ya mwisho Final Submission

Lissu akubali yaishe Afunga Ushahidi tarehe 23 Majumuisho ya mwisho Final Submission

Tulichokua tumetabiri sisi wengine aina ya Mashahidi wa Lissu katika kujenga kesi yake ndiyo kilichotokea na Leo Tundu Lissu ameomba kufunga Ushahidi hivyo kesi pande zote ushahidi umefungwa na Jumatano tarehe 23/09/2026 ni Final Submission kwa pande zote Final Submission inaweza kuwa ya Mdomo/Oral au maandishi hivyo baada ya Final Submission/Majumuisho ya Mwisho na kila upande unakua na hiari kuwasilisha au kutowasilisha, Mahakama itapanga siku ya hukumu na huko kutakua ndiyo Mwisho wa Kesi hii.
Kwani wale Mashahidi Wa Lissu Wanaharakati wa Kenya na Uganda walishatoa ushahidi wao?
 
Bila kuathiri maamuzi ya mahakama,huyo nguchiro baada ya hukumu anatakiwa week yote apigwe miti kwa kusumbua sumbua mahakama
Hii account Kuna mtu ameichukua?Maana miaka 10 iliyopita nakumbuka ilikuwa inajenga hoja na kujibizana kwa staha humu jukwaani!Imekuwaje tena?Maana naona unaandika vitu vya hovyo thread mbalimbali mpaka najiuliza Kulikoni?
Au Mwenye account alishakufa,ameirithi kijana wake Gen z?
Kwa uzoefu wa zaidi ya miaka 14 jukwaani,hukupaswa kujishusha level hizi!
 
Basi na wewe nenda kamsaidie lisu katika hilo,unamuachia apigwe miti pekeyake tuh?
Maandiko yako haya machafu ndo yanayosababisha Mama yako atukanwe.
Ukitukana watu ujue watukanisha wazazi wako mwenyewe
 
🗣️Haya yote yatapita ila neno la bwana wa majeshi halitapita hivihivi …. Tungeni sheria zenu nazo zitapita ila biblia kitabu kitakatifu hakiji badirisha ukurasa

#udongo utatufyonza wote ni suala la wakati tu kwa kila mmoja
 
Bila kuathiri maamuzi ya mahakama,huyo nguchiro baada ya hukumu anatakiwa week yote apigwe miti kwa kusumbua sumbua mahakama
Screenshot_20260616-171056~2.png
 
Lengo la shahidi ni kuongea ukweli juu ya jambo analijua sio kutetea
Lisu sio fala hivyo alijua lazima waruke sarakasi na kikoi ona sasa njululu nje
Mwenye kuthibitisha kambia kuna nini tena hapo
 
Yes,
ni vizuri akubali ili akale kitanzi kwa amani, kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi. Hakuna haja ya kuweweseke saaana 🐒
Vipi kama akishinda kesi na akaachiliwa huru utakuja na poroja gani mpya wewe mwanamke??
 
Akubali yaishe vipi wakati waliosema wametishiwa na wameitwa mahakamani waseme vitisho vyenyewe ni vipi m
wameingia mitini chawa.
 
Back
Top Bottom