Kwani wale Mashahidi Wa Lissu Wanaharakati wa Kenya na Uganda walishatoa ushahidi wao?Tulichokua tumetabiri sisi wengine aina ya Mashahidi wa Lissu katika kujenga kesi yake ndiyo kilichotokea na Leo Tundu Lissu ameomba kufunga Ushahidi hivyo kesi pande zote ushahidi umefungwa na Jumatano tarehe 23/09/2026 ni Final Submission kwa pande zote Final Submission inaweza kuwa ya Mdomo/Oral au maandishi hivyo baada ya Final Submission/Majumuisho ya Mwisho na kila upande unakua na hiari kuwasilisha au kutowasilisha, Mahakama itapanga siku ya hukumu na huko kutakua ndiyo Mwisho wa Kesi hii.
Hii account Kuna mtu ameichukua?Maana miaka 10 iliyopita nakumbuka ilikuwa inajenga hoja na kujibizana kwa staha humu jukwaani!Imekuwaje tena?Maana naona unaandika vitu vya hovyo thread mbalimbali mpaka najiuliza Kulikoni?Bila kuathiri maamuzi ya mahakama,huyo nguchiro baada ya hukumu anatakiwa week yote apigwe miti kwa kusumbua sumbua mahakama
Maandiko yako haya machafu ndo yanayosababisha Mama yako atukanwe.Basi na wewe nenda kamsaidie lisu katika hilo,unamuachia apigwe miti pekeyake tuh?
Bila kuathiri maamuzi ya mahakama,huyo nguchiro baada ya hukumu anatakiwa week yote apigwe miti kwa kusumbua sumbua mahakama
Vipi kama akishinda kesi na akaachiliwa huru utakuja na poroja gani mpya wewe mwanamke??Yes,
ni vizuri akubali ili akale kitanzi kwa amani, kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi. Hakuna haja ya kuweweseke saaana π
labda ashinde njaa πVipi kama akishinda kesi na akaachiliwa huru utakuja na poroja gani mpya wewe mwanamke??
Sawa mdada mzuri tutakutanalabda ashinde njaa π