Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Hivi na wewe unaona yupo sawa?Kuuanika uovu ndiyo usaliti wenyewe au kipi haswa?
Mnahaha sasa vimbwenelehi
🤣Ishamshinda
I agree. Tena niseme pengine sasa hivi ni bilionea tayari kwa sababu hawa watu wenye utamaduni wa kiarabu huwa wanakufuru inapokuja suala la ufisadi. Na watanganyika kawaida yao wanakaangana kwa mafuta yao wenyewe. Zile zile zama za waarabu kuchukuwa watumwa huku watu weusi wamekaa wanaangalia.Hadi mama anamaliza urais shekh Abdul atakuwa bilionea $ dollars 🤣🤣🤣🤣
Bongo tambarare from kizmkazi kuja kumiliki uchumi wa Tanganyika
Wewe ni zaidi ya mjinga
Angekuwa anahongwa, hapo sawa.Anakata mzizi wa fitna kwa kupeleka madai yake halali kwa Abdul?
Lissu shughuli za kiserikali anazifanya usiku tena nyumbani kwake?
Huyu mtu ni hatari anatakiwa kuogopwa na yoyote asiye emotional.
Watanzania tunaamini kupitia Lisu tutaungana kutokomeza CCM na nyie mapandikizi yakeHivi na wewe unaona yupo sawa?
The. Mtarudi kulekule kule au kwenye vita zaidiWatanzania tunaamini kupitia Lisu tutaungana kutokomeza CCM na nyie mapandikizi yake
Nilisema Lissu ana mdomo mrefu watu hawakunielewaView attachment 3182157
Haya ni maneno ya Tundu Lissu
“nilimwambia Abdul anisaidie kupata malipo yangu na nikampa documents,angefanikiwa angekuwa rafiki yangu”
Huyu ndio wafuasi wake wanasema ni mkweli kanyooka anachukia utawala wa CCM.
Mtu aliyenyooka na anaejua utaratibu anaalika mtoto wa rais nyumbani kwake wafanye discussion ya kulipwa pesa kwa mgongo wa nyuma.
Mropokaji huyu na mfitinishi lazima afunzwe adabu na Mbowe ili iwe funzo kwa wasaliti wengine.
Sasa hapo shida ipo wapi?View attachment 3182157
Haya ni maneno ya Tundu Lissu
“nilimwambia Abdul anisaidie kupata malipo yangu na nikampa documents,angefanikiwa angekuwa rafiki yangu”
Huyu ndio wafuasi wake wanasema ni mkweli kanyooka anachukia utawala wa CCM.
Mtu aliyenyooka na anaejua utaratibu anaalika mtoto wa rais nyumbani kwake wafanye discussion ya kulipwa pesa kwa mgongo wa nyuma.
Mropokaji huyu na mfitinishi lazima afunzwe adabu na Mbowe ili iwe funzo kwa wasaliti wengine.
Jipe moyoThe. Mtarudi kulekule kule au kwenye vita zaidi
Taratibu watakuelewaNilisema Lissu ana mdomo mrefu watu hawakunielewa
Hahaaa Leo sio😁Kipanya sasa umepoteza mvuto!
Tujadili kwa kutumia akili za kawaida, bila upendeleo na kutumia weledi.Basi angempatia kupitia kwa katibu wa rais kuliko kupitia kwa mtoto. Hiki ndicho kinacho mwangusha Lisu, maana anajua taratibu za malipo ya serikali.
Anapambania haki yake stahiki kabisa, mengineyo ni kumpakaziana kumchafua kwa propaganda za kisiasa tu. Mishahara yake halali ya kibunge, malipo ya kuuguzwa nje ya nchi kwa miaka 4 na nk sio hisani au huruma ni sheria na haki ya jamaa. Halalami, anadai na anastahili kudai. Haki yake itaminywa kwa mabavu ila haiondoi ukweli kuwa ni stahiki yake.View attachment 3182157
Haya ni maneno ya Tundu Lissu
“nilimwambia Abdul anisaidie kupata malipo yangu na nikampa documents,angefanikiwa angekuwa rafiki yangu”
Huyu ndio wafuasi wake wanasema ni mkweli kanyooka anachukia utawala wa CCM.
Mtu aliyenyooka na anaejua utaratibu anaalika mtoto wa rais nyumbani kwake wafanye discussion ya kulipwa pesa kwa mgongo wa nyuma.
Mropokaji huyu na mfitinishi lazima afunzwe adabu na Mbowe ili iwe funzo kwa wasaliti wengine.
Lissu ana vitabia vya umbeaLissu kwa utaratibu huu, hata kesi ya Tigo itakushinda !
Kapige kura acha porojo!! Lissu ni mzandiki na mfitini sana!!Maadam amekataa rushwa, huyu ndio tunaemtaka.
Hujakosea mkuuLissu ana vitabia vya umbea