Lissu alimwambia Abdul endapo angefanikisha kumsaidia kupata pesa angekuwa rafiki yake. Hajafanikiwa, anachafua kila mtu

Lissu alimwambia Abdul endapo angefanikisha kumsaidia kupata pesa angekuwa rafiki yake. Hajafanikiwa, anachafua kila mtu

Shida Kamdomo kamdomo hayo yote yanamtoka ili apet attention
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Hadi mama anamaliza urais shekh Abdul atakuwa bilionea $ dollars 🤣🤣🤣🤣
Bongo tambarare from kizmkazi kuja kumiliki uchumi wa Tanganyika
I agree. Tena niseme pengine sasa hivi ni bilionea tayari kwa sababu hawa watu wenye utamaduni wa kiarabu huwa wanakufuru inapokuja suala la ufisadi. Na watanganyika kawaida yao wanakaangana kwa mafuta yao wenyewe. Zile zile zama za waarabu kuchukuwa watumwa huku watu weusi wamekaa wanaangalia.
 
Kwa sasa lissu ndo mtu pekee chadema muwazi, wenje ni mpiga Dili mkubwa.Mbowe kamtetea wenje na Abdul.Binafsu simuamini kabisa mbowe hasa tangu aombe mil 150 kwa Samia Ili kumnunulia gari askofu shoo
 
Attachments

  • IMG-20241220-WA0006.jpg
    IMG-20241220-WA0006.jpg
    62 KB · Views: 3
Anakata mzizi wa fitna kwa kupeleka madai yake halali kwa Abdul?

Lissu shughuli za kiserikali anazifanya usiku tena nyumbani kwake?

Huyu mtu ni hatari anatakiwa kuogopwa na yoyote asiye emotional.
Angekuwa anahongwa, hapo sawa.
 
View attachment 3182157

Haya ni maneno ya Tundu Lissu

“nilimwambia Abdul anisaidie kupata malipo yangu na nikampa documents,angefanikiwa angekuwa rafiki yangu”

Huyu ndio wafuasi wake wanasema ni mkweli kanyooka anachukia utawala wa CCM.

Mtu aliyenyooka na anaejua utaratibu anaalika mtoto wa rais nyumbani kwake wafanye discussion ya kulipwa pesa kwa mgongo wa nyuma.

Mropokaji huyu na mfitinishi lazima afunzwe adabu na Mbowe ili iwe funzo kwa wasaliti wengine.
Nilisema Lissu ana mdomo mrefu watu hawakunielewa
 
View attachment 3182157

Haya ni maneno ya Tundu Lissu

“nilimwambia Abdul anisaidie kupata malipo yangu na nikampa documents,angefanikiwa angekuwa rafiki yangu”

Huyu ndio wafuasi wake wanasema ni mkweli kanyooka anachukia utawala wa CCM.

Mtu aliyenyooka na anaejua utaratibu anaalika mtoto wa rais nyumbani kwake wafanye discussion ya kulipwa pesa kwa mgongo wa nyuma.

Mropokaji huyu na mfitinishi lazima afunzwe adabu na Mbowe ili iwe funzo kwa wasaliti wengine.
Sasa hapo shida ipo wapi?
 
Kwani Abdul ni adui wa Upinzani? au wa mtu flani?

CDM imefanya nini hasa kumsaidia Lissu kupata haki yake?
 
Basi angempatia kupitia kwa katibu wa rais kuliko kupitia kwa mtoto. Hiki ndicho kinacho mwangusha Lisu, maana anajua taratibu za malipo ya serikali.
Tujadili kwa kutumia akili za kawaida, bila upendeleo na kutumia weledi.
Kipi cha Lissu kilitumia mfumo wa kawaida wa serikali kikafanikiwa?
Hata hayo malipo kiasi aliyopata ilikuwa hisani ya Mama Samia tu.
Mfumo wa serikali ulimtia maumivu tu, hakuna malipo ya matibabu, futa ubunge, nyima kiinua mgongo,....
Katibu wa Rais yupo kwenye mfumo huo huo.
 
View attachment 3182157

Haya ni maneno ya Tundu Lissu

“nilimwambia Abdul anisaidie kupata malipo yangu na nikampa documents,angefanikiwa angekuwa rafiki yangu”

Huyu ndio wafuasi wake wanasema ni mkweli kanyooka anachukia utawala wa CCM.

Mtu aliyenyooka na anaejua utaratibu anaalika mtoto wa rais nyumbani kwake wafanye discussion ya kulipwa pesa kwa mgongo wa nyuma.

Mropokaji huyu na mfitinishi lazima afunzwe adabu na Mbowe ili iwe funzo kwa wasaliti wengine.
Anapambania haki yake stahiki kabisa, mengineyo ni kumpakaziana kumchafua kwa propaganda za kisiasa tu. Mishahara yake halali ya kibunge, malipo ya kuuguzwa nje ya nchi kwa miaka 4 na nk sio hisani au huruma ni sheria na haki ya jamaa. Halalami, anadai na anastahili kudai. Haki yake itaminywa kwa mabavu ila haiondoi ukweli kuwa ni stahiki yake.
 
Back
Top Bottom