Hujakosea mkuuKapige kura acha porojo!! Lissu ni mzandiki na mfitini sana!!
Mtu wa madili huyo....Lissu muongo sana sanaaaa, baada ya kuitazama kwa makini sana video hii ya Mh. Wenje tokea juzi, nimegeuza akili kabisa, bora mara 1000 Mh. Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti wa Chadema, Lissu mtu wa uongo na anachafua watu sana, kumbe sio mkweli hata kidogo aisee..!!
Argumentum ad hominem....Wote ni dini ile! Hawanaga akili
Lissu ni kibaka.Mtu wa madili huyo....
Rejea alivyokuwa anawapinga wawekezaji kule Migodini kipindi cha nyuma.... serikali iliporekebisha "terms" za mikataba kuwa mizuri zaidi kwa maslahi ya taifa akageuka na kuwa WAKILI wa wawekezaji aliowapinga kule nyuma....
Wewe anatokea mtu anataka kukusaidia upate haki yako halali utakataa?Basi angempatia kupitia kwa katibu wa rais kuliko kupitia kwa mtoto. Hiki ndicho kinacho mwangusha Lisu, maana anajua taratibu za malipo ya serikali.
Kumuamini wenje huyu huyu kanjanja na ukaacha kusadiki anayo yasema lissu , basi nadiriki kusemq kabisa wewe bado mtoto sana kwenye analyisis au ulikimbia umande shuleni, wenje ni muhuni sana sana kwa sisi tunao mfahamu kabla hata hajaanza hizi harakatiLissu muongo sana sanaaaa, baada ya kuitazama kwa makini sana video hii ya Mh. Wenje tokea juzi, nimegeuza akili kabisa, bora mara 1000 Mh. Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti wa Chadema, Lissu mtu wa uongo na anachafua watu sana, kumbe sio mkweli hata kidogo aisee..!!
Unatafuta pa kumchafulia lisu ila hupapati naona unalazimisha kumchafulia sehemu ambayo hata hachafuki, hiyo speech sudhani kama umeielewa hata robo.Anakata mzizi wa fitna kwa kupeleka madai yake halali kwa Abdul?
Lissu shughuli za kiserikali anazifanya usiku tena nyumbani kwake?
Huyu mtu ni hatari anatakiwa kuogopwa na yoyote asiye emotional.
Kibaka labda anaweza akawa mama yako zaid kuliko lisu, kwa tunao mfahamu lisu amenyooka sana , na wanao mpinga ni wale wanao penda njia za panya, lisu hana ubabaishaji labda kqmq humfahamuLissu ni kibaka.
Wajumbe kutoka kwa Rais mwenyewe kwa wakati huo wanapo tekeleza majukumu waliyo pewa na Rais unajua wanakuwa na hadhi gani kwa wakati huo? Kumbuka hao sio wajumbe wa ofisi ya Rais bali ni wajumbe kutoka kwa Rais. Tatizo mnajifanya wajuaji wakati vichwani mmejaza makamasi.Basi angempatia kupitia kwa katibu wa rais kuliko kupitia kwa mtoto. Hiki ndicho kinacho mwangusha Lisu, maana anajua taratibu za malipo ya serikali.
Usiwe mwongo na mfitini. Kwa nini mmekatakata hiyo clip.View attachment 3182157
Haya ni maneno ya Tundu Lissu
“nilimwambia Abdul anisaidie kupata malipo yangu na nikampa documents,angefanikiwa angekuwa rafiki yangu”
Huyu ndio wafuasi wake wanasema ni mkweli kanyooka anachukia utawala wa CCM.
Mtu aliyenyooka na anaejua utaratibu anaalika mtoto wa rais nyumbani kwake wafanye discussion ya kulipwa pesa kwa mgongo wa nyuma.
Mropokaji huyu na mfitinishi lazima afunzwe adabu na Mbowe ili iwe funzo kwa wasaliti wengine.
Ha ha haLissu ni kibaka.
Maccm mna hasira sana na LissuView attachment 3182157
Haya ni maneno ya Tundu Lissu
“nilimwambia Abdul anisaidie kupata malipo yangu na nikampa documents,angefanikiwa angekuwa rafiki yangu”
Huyu ndio wafuasi wake wanasema ni mkweli kanyooka anachukia utawala wa CCM.
Mtu aliyenyooka na anaejua utaratibu anaalika mtoto wa rais nyumbani kwake wafanye discussion ya kulipwa pesa kwa mgongo wa nyuma.
Mropokaji huyu na mfitinishi lazima afunzwe adabu na Mbowe ili iwe funzo kwa wasaliti wengine.
Huwezi kukemea rushwa bila kufuata utaratibu, unataka ulipwe pesa kupitia kwa mtoto wa rais. Ofisi zinazohusika hazipo hadi ufuatwe nyumbani?Wajumbe kutoka kwa Rais mwenyewe kwa wakati huo wanapo tekeleza majukumu waliyo pewa na Rais unajua wanakuwa na hadhi gani kwa wakati huo? Kumbuka hao sio wajumbe wa ofisi ya Rais bali ni wajumbe kutoka kwa Rais. Tatizo mnajifanya wajuaji wakati vichwani mmejaza makamasi.
Mpuuzi tu wewe hutaki kuelewa kwa makusudi unajitoa ufahamu, Mtu mwenye akili timamu ameelewa nilicho andika bila shaka lakini wwe punguani unajifanya mjuaji wakati sufuri kabisa , je?Ni sahihi rais kutuma mtoto wake ambaye si sehemu ya wajumbe wa kamati ya siasa wala si kiongozi wa serikali na wala si kiongozi wa chama akashawishi viongozi wa upinzani kwa kuwapa rushwa? Huwezi kuutafuta ukamilifu kwenye haramu, shwainHuwezi kukemea rushwa bila kufuata utaratibu, unataka ulipwe pesa kupitia kwa mtoto wa rais. Ofisi zinazohusika hazipo hadi ufuatwe nyumbani?
Kama ninemuelewa vizuri hakumualika alipelekwa na dalali, kuna audio imeeleza vizuri sana the whole moveHuyu ndio wafuasi wake wanasema ni mkweli kanyooka anachukia utawala wa CCM.
Mtu aliyenyooka na anaejua utaratibu anaalika mtoto wa rais nyumbani kwake wafanye discussion ya kulipwa pesa kwa mgongo wa nyuma.
Makes a lot of meaningView attachment 3182166
CHADEMA kwa sasa
Huwezi lazimisha kila mtu aelewe unavyotaka wewe,kama mtoto wa rais alikuwa sehemu ya wajumbe nini kinamliza Lisu, kulalamika kuwa Abdul anawahonga chadema.Mpuuzi tu wewe hutaki kuelewa kwa makusudi unajitoa ufahamu, Mtu mwenye akili timamu ameelewa nilicho andika bila shaka lakini wwe punguani unajifanya mjuaji wakati sufuri kabisa , je?Ni sahihi rais kutuma mtoto wake ambaye si sehemu ya wajumbe wa kamati ya siasa wala si kiongozi wa serikali na wala si kiongozi wa chama akashawishi viongozi wa upinzani kwa kuwapa rushwa? Huwezi kuutafuta ukamilifu kwenye haramu, shwain
Na hiyo ni rushwa kwa sura nyingine.View attachment 3182157
Haya ni maneno ya Tundu Lissu
“nilimwambia Abdul anisaidie kupata malipo yangu na nikampa documents,angefanikiwa angekuwa rafiki yangu”
Huyu ndio wafuasi wake wanasema ni mkweli kanyooka anachukia utawala wa CCM.
Mtu aliyenyooka na anaejua utaratibu anaalika mtoto wa rais nyumbani kwake wafanye discussion ya kulipwa pesa kwa mgongo wa nyuma.
Mropokaji huyu na mfitinishi lazima afunzwe adabu na Mbowe ili iwe funzo kwa wasaliti wengine.
Ila kuto elewa jambo lililo wazi ni upungufu mkubwa sana wa akiliHuwezi lazimisha kila mtu aelewe unavyotaka wewe,kama mtoto wa rais alikuwa sehemu ya wajumbe nini kinamliza Lisu, kulalamika kuwa Abdul anawahonga chadema.
Ni vizuri kujibu hoja bila kutukana maana wenye akili hawafanyi hivyo.Ila kuto elewa jambo lililo wazi ni upungufu mkubwa sana wa akili