Lissu alimwambia Abdul endapo angefanikisha kumsaidia kupata pesa angekuwa rafiki yake. Hajafanikiwa, anachafua kila mtu

Lissu muongo sana sanaaaa, baada ya kuitazama kwa makini sana video hii ya Mh. Wenje tokea juzi, nimegeuza akili kabisa, bora mara 1000 Mh. Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti wa Chadema, Lissu mtu wa uongo na anachafua watu sana, kumbe sio mkweli hata kidogo aisee..!!
Mtu wa madili huyo....
Rejea alivyokuwa anawapinga wawekezaji kule Migodini kipindi cha nyuma.... serikali iliporekebisha "terms" za mikataba kuwa mizuri zaidi kwa maslahi ya taifa akageuka na kuwa WAKILI wa wawekezaji aliowapinga kule nyuma....
 
  • Nzuri
Reactions: Tui

Lissu ni kibaka.
 
Basi angempatia kupitia kwa katibu wa rais kuliko kupitia kwa mtoto. Hiki ndicho kinacho mwangusha Lisu, maana anajua taratibu za malipo ya serikali.
Wewe anatokea mtu anataka kukusaidia upate haki yako halali utakataa?

Lissu angetaka pesa za kuzunguka angehongwa mabilioni.
 
Lissu muongo sana sanaaaa, baada ya kuitazama kwa makini sana video hii ya Mh. Wenje tokea juzi, nimegeuza akili kabisa, bora mara 1000 Mh. Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti wa Chadema, Lissu mtu wa uongo na anachafua watu sana, kumbe sio mkweli hata kidogo aisee..!!
Kumuamini wenje huyu huyu kanjanja na ukaacha kusadiki anayo yasema lissu , basi nadiriki kusemq kabisa wewe bado mtoto sana kwenye analyisis au ulikimbia umande shuleni, wenje ni muhuni sana sana kwa sisi tunao mfahamu kabla hata hajaanza hizi harakati
 
Anakata mzizi wa fitna kwa kupeleka madai yake halali kwa Abdul?

Lissu shughuli za kiserikali anazifanya usiku tena nyumbani kwake?

Huyu mtu ni hatari anatakiwa kuogopwa na yoyote asiye emotional.
Unatafuta pa kumchafulia lisu ila hupapati naona unalazimisha kumchafulia sehemu ambayo hata hachafuki, hiyo speech sudhani kama umeielewa hata robo.

Walipo peleka rushwa yeye akawambia mwambieni aliye watuma kwamba mimi sitaki rushwa ila anilipe stahiki zangu na kwakuwa anasema hana document basi mpelekeeni hizo hapo , na aliye pewa ni mtu wa wizara ya fedha aliye kuwa amebeba maburungutu ya rushwa ambayo badae waliyatudisha yaliko toka very simple
 
Basi angempatia kupitia kwa katibu wa rais kuliko kupitia kwa mtoto. Hiki ndicho kinacho mwangusha Lisu, maana anajua taratibu za malipo ya serikali.
Wajumbe kutoka kwa Rais mwenyewe kwa wakati huo wanapo tekeleza majukumu waliyo pewa na Rais unajua wanakuwa na hadhi gani kwa wakati huo? Kumbuka hao sio wajumbe wa ofisi ya Rais bali ni wajumbe kutoka kwa Rais. Tatizo mnajifanya wajuaji wakati vichwani mmejaza makamasi.
 
View attachment 3182157

Haya ni maneno ya Tundu Lissu

“nilimwambia Abdul anisaidie kupata malipo yangu na nikampa documents,angefanikiwa angekuwa rafiki yangu”

Huyu ndio wafuasi wake wanasema ni mkweli kanyooka anachukia utawala wa CCM.

Mtu aliyenyooka na anaejua utaratibu anaalika mtoto wa rais nyumbani kwake wafanye discussion ya kulipwa pesa kwa mgongo wa nyuma.

Mropokaji huyu na mfitinishi lazima afunzwe adabu na Mbowe ili iwe funzo kwa wasaliti wengine.
Usiwe mwongo na mfitini. Kwa nini mmekatakata hiyo clip.

Kabla ya kufikia kwenye clip mliyoikata, Lisu alisema wazi.

Lisu hakumwalika Abdul, badala yake alipelekwa na Wenje. Abdul alimwambia Lisu kuwa aache kumsema mama yake, na akiacha kuna malipo yake, wenzake wamekwishapokea. Ndipo Lisu akasema kuwa hahitaji hiyo hela, yeye anachokihitaji ni marejesho ya pesa yake ya haki, pesa ya matibabu. Ndipo Abdul akasema kuwa kama ni hiyo, yupo tayari kumsaidia. Mama yake hajafikishiwa hayo madai. Ndipo inakuja hiyo clip yako mliyoikatakata.
 
View attachment 3182157

Haya ni maneno ya Tundu Lissu

“nilimwambia Abdul anisaidie kupata malipo yangu na nikampa documents,angefanikiwa angekuwa rafiki yangu”

Huyu ndio wafuasi wake wanasema ni mkweli kanyooka anachukia utawala wa CCM.

Mtu aliyenyooka na anaejua utaratibu anaalika mtoto wa rais nyumbani kwake wafanye discussion ya kulipwa pesa kwa mgongo wa nyuma.

Mropokaji huyu na mfitinishi lazima afunzwe adabu na Mbowe ili iwe funzo kwa wasaliti wengine.
Maccm mna hasira sana na Lissu
 
Wajumbe kutoka kwa Rais mwenyewe kwa wakati huo wanapo tekeleza majukumu waliyo pewa na Rais unajua wanakuwa na hadhi gani kwa wakati huo? Kumbuka hao sio wajumbe wa ofisi ya Rais bali ni wajumbe kutoka kwa Rais. Tatizo mnajifanya wajuaji wakati vichwani mmejaza makamasi.
Huwezi kukemea rushwa bila kufuata utaratibu, unataka ulipwe pesa kupitia kwa mtoto wa rais. Ofisi zinazohusika hazipo hadi ufuatwe nyumbani?
 
Mpuuzi tu wewe hutaki kuelewa kwa makusudi unajitoa ufahamu, Mtu mwenye akili timamu ameelewa nilicho andika bila shaka lakini wwe punguani unajifanya mjuaji wakati sufuri kabisa , je?Ni sahihi rais kutuma mtoto wake ambaye si sehemu ya wajumbe wa kamati ya siasa wala si kiongozi wa serikali na wala si kiongozi wa chama akashawishi viongozi wa upinzani kwa kuwapa rushwa? Huwezi kuutafuta ukamilifu kwenye haramu, shwain
 
Huyu ndio wafuasi wake wanasema ni mkweli kanyooka anachukia utawala wa CCM.

Mtu aliyenyooka na anaejua utaratibu anaalika mtoto wa rais nyumbani kwake wafanye discussion ya kulipwa pesa kwa mgongo wa nyuma.
Kama ninemuelewa vizuri hakumualika alipelekwa na dalali, kuna audio imeeleza vizuri sana the whole move
 
Mpuuzi tu wewe hutaki kuelewa kwa makusudi unajitoa ufahamu, Mtu mwenye akili timamu ameelewa nilicho andika bila shaka lakini wwe punguani unajifanya mjuaji wakati sufuri kabisa , je?Ni sahihi rais kutuma mtoto wake ambaye si sehemu ya wajumbe wa kamati ya siasa wala si kiongozi wa serikali na wala si kiongozi wa chama akashawishi viongozi wa upinzani kwa kuwapa rushwa? Huwezi kuutafuta ukamilifu kwenye haramu, shwain
Huwezi lazimisha kila mtu aelewe unavyotaka wewe,kama mtoto wa rais alikuwa sehemu ya wajumbe nini kinamliza Lisu, kulalamika kuwa Abdul anawahonga chadema.
 
View attachment 3182157

Haya ni maneno ya Tundu Lissu

“nilimwambia Abdul anisaidie kupata malipo yangu na nikampa documents,angefanikiwa angekuwa rafiki yangu”

Huyu ndio wafuasi wake wanasema ni mkweli kanyooka anachukia utawala wa CCM.

Mtu aliyenyooka na anaejua utaratibu anaalika mtoto wa rais nyumbani kwake wafanye discussion ya kulipwa pesa kwa mgongo wa nyuma.

Mropokaji huyu na mfitinishi lazima afunzwe adabu na Mbowe ili iwe funzo kwa wasaliti wengine.
Na hiyo ni rushwa kwa sura nyingine.
 
Huwezi lazimisha kila mtu aelewe unavyotaka wewe,kama mtoto wa rais alikuwa sehemu ya wajumbe nini kinamliza Lisu, kulalamika kuwa Abdul anawahonga chadema.
Ila kuto elewa jambo lililo wazi ni upungufu mkubwa sana wa akili
 
Back
Top Bottom