SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Mandamanoni
CHADEMA hiyo
CHADEMA hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mumeo halalamiki ya CCM inaliwa na akina Makonda Zanzibar?Mkuu amuka ruzuku ya chama inaliwa na akina Lissu huko AfCon
Kweli wewe ni Makojo! Kwani sisi tulioenda Qatar kwa ajili ya kombe la dunia ni makocha?Kwahiyo Lissu ni Kocha hata awe huko wakati wote?
Wewe si ungeumbiwa ANUS kichwani na matakoni tu!Unatumia kichwa kubebea nywele na meno? Maana sioni kama kuna ubongo humo, possibly kichwa chako kimeungwa na mfumo wa maji taka.
Kibatala huyu anayevuta cha Tarime na mlevi wa pombe kali?
Yaani aishangilie Msumbiji, halafu Urais apewe na Watanzania? Anaota!!!Hivi apart from politics, kwani Lissu hana haki ya kufanya mambo yake private hasa ya kiburudani?
Kwamba Lissu kuwa mwanansiasa, ndio kila siku awe majukwaani anapiga kelele mwaka mzima?!
Acha utoto. Taifa Stars iko Ivory Coast, usijisahaulishe.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Wanajeshi waliitwa wakafanye nini vile ndugu Mwandishi?Mnara wa Babeli?
Lissu anaonekana akiwa na furaha kubwa sana huko Ivory Coast akishangilia timu ya Msumbiji.
Lissu amegundua kwamba Mbowe anamuwekea mtego ili kumuonyesha kwamba aina ya siasa anazozitaka hazifanikiwagi, hasa Tanzania? Yaani anamuonyesha kwamba, si unataka siasa za maandamano? Haya nimeitisha, unamuona yoyote wa kuandamana?
Akiwa Marekani, Mbowe aliwahi kuongea na diaspora, akawaambia, siasa za Tanzania ni tofauti na za nchi nyingine, akatoa mfano wa Kenya ambapo maandamano yakiitwa hata usiku wa manane kila mtu atakurupuka na blanketi kwenda baranarani.
Wakati huo Mbowe alikuwa ametoka segere matata kwa kesi ya ugaidi, na kwa wakati wote huo, wanachadema hawakuandamana ili aachiwe, na wengi kama akina John Mrema walikuwa wanapiga kilauri tu mitaa ya Tabata na Sinza.
Kwa nini Lissu yuko bize na ya kwake katika wakati huu muhimu kuelekea tarehe yao ya maandamano? Kuna kitu kakistukia kuhusu chadema, chama ambacho ambacho amekitumikia mpaka karibu apoteze uhai wake?
Je, ameona "raha ajipe mwenyewe" na bora na yeye afanye ya kwake, na ya chama ni kupoteza muda kwa kuwa hakina malengo ya kisiasa zaidi ya kuchumia tumbo? Tamko lile la Mbowe hutolewa mbele ya viongozi wa chama wakiwa full cabinet.
Je, kushindwa kwa maandamano itakuwa ni aibu tosha kwa Mbowe kwamba ameshindwa kuonyesha uongozi, hivyo Lissu kaamua kujitenga na aibu hiyo, ili baadae akiwa anataka kumtoa katika nafasi ya uenyekiti "amzabue" Mbowe kisiasa vilivyo na awaaminishe wana CDM kwamba Mbowe ni "zilipendwa", hawezi kukusanya hata wana CDM 200 kwa jambo la chama?
Je kuna "joto" la kutosha la kisiasa linalofaa kuitisha maandamano? Maana ni kama nchi imetulia kabisa kama maji ya kisima chini ya uongozi wa Mwamba wa Kizimkazi, General Samia Suluhu Hassan.
Tanzania pia uhuru wetu hatukuupata kwa kuandamana, tulifanya mazungumzo, kwa hiyo, ili uupate moyo wa mtanzania, na akuelewe, jadiliana naye, huwa hapendi matata na mikiki mikiki.
View attachment 2874188
HahaaaKumiliki akili limekuwa tatizo kubwa huko CCM?
UVCCM mnawashwa!Mnara wa Babeli?

Mwambie huyo BATAMZINGAHapo unapoishi, ungeweka bango kubwa, halafu uandike:
MGANGA MAARUFU TOKA SUMBAWANGA. NAPIGA RAMLI CHONGANISHI NA KUTIBU MAGONJWA YOTE.
Inaonekana una kipaji hicho.
Ila unachotakiwa kutambua ni kuwa katika mapambano yoyote, wapambanaji huwa hawajikusanyi pamoja, hata ikitokea bahati mbaya adui kawazingira, wote mkateketea.
Tanzania ilipata uhuru kwa njia ya majadiliano ndiyo, Chadema inatafuta Uhuru gani? Tatizo wengi hamtulizi akili, mnakurupuka kuandika kichawa.Mnara wa Babeli?
Lissu anaonekana akiwa na furaha kubwa sana huko Ivory Coast akishangilia timu ya Msumbiji.
Lissu amegundua kwamba Mbowe anamuwekea mtego ili kumuonyesha kwamba aina ya siasa anazozitaka hazifanikiwagi, hasa Tanzania? Yaani anamuonyesha kwamba, si unataka siasa za maandamano? Haya nimeitisha, unamuona yoyote wa kuandamana?. Akiwa Marekani, Mbowe aliwahi kuongea na diaspora, akawaambia, siasa za Tanzania ni tofauti na za nchi nyingine, akatoa mfano wa Kenya ambapo maandamano yakiitwa hata usiku wa manane kila mtu atakurupuka na blanketi kwenda baranarani.
Wakati huo Mbowe alikuwa ametoka segere matata kwa kesi ya ugaidi, na kwa wakati wote huo, wanachadema hawakuandamana ili aachiwe, na wengi kama akina John Mrema walikuwa wanapiga kilauri tu mitaa ya Tabata na Sinza.
Kwa nini Lissu yuko bize na ya kwake katika wakati huu muhimu kuelekea tarehe yao ya maandamano? Kuna kitu kakistukia kuhusu chadema, chama ambacho ambacho amekitumikia mpaka karibu apoteze uhai wake?
Je, ameona "raha ajipe mwenyewe" na bora na yeye afanye ya kwake, na ya chama ni kupoteza muda kwa kuwa hakina malengo ya kisiasa zaidi ya kuchumia tumbo? Tamko lile la Mbowe hutolewa mbele ya viongozi wa chama wakiwa full cabinet.
Je, kushindwa kwa maandamano itakuwa ni aibu tosha kwa Mbowe kwamba ameshindwa kuonyesha uongozi, hivyo Lissu kaamua kujitenga na aibu hiyo?
Je kuna "joto" la kutosha la kisiasa linalofaa kuitisha maandamano? Maana ni kama nchi imetulia kabisa kama maji ya kisima chini ya uongozi wa Mwamba wa Kizimkazi, General Samia Suluhu Hassan.
Tanzania pia uhuru wetu hatukuupata kwa kuandamana, tulifanya mazungumzo, kwa hiyo, ili uupate moyo wa mtanzania, na akuelewe, jadiliana naye, huwa hapendi matata na mikiki mikiki.
View attachment 2874188
Kiitwe Chachakuruchadema KWA KULA RUZUKU HAPANA KWA KWELI