Tanzania ilipata uhuru kwa njia ya majadiliano ndiyo, Chadema inatafuta Uhuru gani? Tatizo wengi hamtulizi akili, mnakurupuka kuandika kichawa.
Ktk siasa hakuna njia moja ya kufikia malengo. Siasa ni mchezo unaoitaji akili na mikakati. Lisu na Mbowe wapo kwenye game la siasa muda mrefu na wanajuwa wafanye nini na kwa wakati gani, mnaoweweseka ni nyie wapiga debe ambao hata siku moja hamjawahi kupanda kwenye jukwaa la siasa japo kusalimia lakini huku mitandaoni mnajifanya mafundi wa kuchambua.
Kuonekana kwa Lisu ktk viunga vya Ivory coast kwa wakati huu ni mkakati mahususi wa kisiasa. Ni bahati mbaya mwenzetu wewe umekariri neno majadiliano. Nakupa pole kujikunja na kuandika hizi pumba.