Pre GE2025 Lissu alitaka siasa za mapambano, Mbowe akataka maridhiano, Mbowe karudia siasa za mapambano, Lissu anakula bata AFCON

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwahiyo Lissu ni Kocha hata awe huko wakati wote?
Kweli wewe ni Makojo! Kwani sisi tulioenda Qatar kwa ajili ya kombe la dunia ni makocha?
Kuhudhuria mashindano hayo ni moja ya burudani zimpasazo mtu kushuhudia kama nafasi anayo, na Lissu anastahili pia.
Mbona ccm mna tafsiri za kijinga kama Mwenezi wenu?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Unatumia kichwa kubebea nywele na meno? Maana sioni kama kuna ubongo humo, possibly kichwa chako kimeungwa na mfumo wa maji taka.

Kibatala huyu anayevuta cha Tarime na mlevi wa pombe kali?
Wewe si ungeumbiwa ANUS kichwani na matakoni tu!
 
Kama raia mwenye fikra huru zisizofungamana na chama chochote cha siasa, nakiri umeanza na hoja fikirishi kabla hujaharibu na mambo ya Kizimkazi.

Wakati huu wa vuguvugu la maandamano makamu mwenyekiti kuwa nje ya nchi kunafikirisha, ngoja tuone itamchukua muda gani kurejea kuungana na wenzie katika maandamano hayo.
Na kwa kuwa Lissu hakuwa sehemu ya maridhiano inaleta maswali zaidi...
 
Yaani aishangilie Msumbiji, halafu Urais apewe na Watanzania? Anaota!!!
 
Wanajeshi waliitwa wakafanye nini vile ndugu Mwandishi?

General Samia anaogopa Maandamano?
 
UVCCM mnawashwa!
CHADEMA wasipo onekana michezoni nongwa, wakienda nongwa, wakiongea kelele, wakikaa kimya cha,a kimekufa, kinawauma nini?
Si muendelee na vikao hapo Kizimkazi?
 
Wanajeshi waliitwa wakafanye nini vile ndugu Mwandishi?

General Samia anaogopa Maandamano?
Haijawahi tokea akaogopa, ila tutawaonyesha shoo moja matata sana, asiyesikia la mkuu!
 
Mwam
Mwambie huyo BATAMZINGA
maana Nchi hii tuna hasars taslimu Kwa watu dizain yake
Majitu mengine Bora Mungu angeyapenda zaidi.
Sijui linateseka likiwa wapi vile!.
Emu liulize Hilo zumbukuku mkuu
 
Tanzania ilipata uhuru kwa njia ya majadiliano ndiyo, Chadema inatafuta Uhuru gani? Tatizo wengi hamtulizi akili, mnakurupuka kuandika kichawa.

Ktk siasa hakuna njia moja ya kufikia malengo. Siasa ni mchezo unaoitaji akili na mikakati. Lisu na Mbowe wapo kwenye game la siasa muda mrefu na wanajuwa wafanye nini na kwa wakati gani, mnaoweweseka ni nyie wapiga debe ambao hata siku moja hamjawahi kupanda kwenye jukwaa la siasa japo kusalimia lakini huku mitandaoni mnajifanya mafundi wa kuchambua.

Kuonekana kwa Lisu ktk viunga vya Ivory coast kwa wakati huu ni mkakati mahususi wa kisiasa. Ni bahati mbaya mwenzetu wewe umekariri neno majadiliano. Nakupa pole kujikunja na kuandika hizi pumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…