Lissu alivyomkaanga Mpelelezi Mkuu wa kesi yake

Aisee...

Ni ngumu sana kuutetea uongo...

Washenzi hawa wametengeneza uongo, wanaupeleka mahakamani na kuufanya kama uhaini ili kumtesa mtu asiye na hatia...

Mahakama na Majaji na mahakimu nao ni washenzi kabisa kwa sbb wanakubali ushenzi wa waongo hawa..!

Mahakama chombo cha haki kinakubali kushiriki ushenzi huu wa kumtesa mtu ambaye wanajua kabisa anashitakiwa kwa uongo...!

Mahakama ilipaswa kuwa imei - dismiss kesi hii mapema ikiwa kule Kisutu..

Washenzi na wajinga sana hawa..!
 
Hivi ni Saa Nane? au Saa Mbili?
 
Sijui kama mnaelewa, huyu siyo Mahamba mwenyewe, hili bomu litafumuka kesho
Kwahiyo huyu ameji impersonate kuwa ni Amini kumbe siye! Ni jinai for impersonation
Impersonation—legally termed "false personation" or "personation"—is a criminal offense under penal codes where an individual falsely pretends to be someone else, or pretends to hold a public office, with the intent to deceive, defraud, or gain an unlawful benefit
 
Incompetence iliyopo kwenye hivyo vyombo ni very very huge inatisha. Ni kutumia nguvu tu ila kichwani ni empty heads
 
Ni wa kukamatwa hapo hapo kwa kujifanya afisa wa serikali.
 
Msitoe siri jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…